Talkandtalk
JF-Expert Member
- Jan 28, 2014
- 291
- 184
Any way hiyo yakupewa medal na serikali ya Rwanda i don`t know anything abt it labda kuniondelea mashaka unaweza kupost link.1. kabla ya movie kutoka in 2002, Rusesabagina was awarded a medal kwa mchango wake by the Rwandan government, tena kama angehudhuria sherehe za kuadhimisha genocide angevalishwa kagame himself. Sasa wewe unaleta porojo eti he was not a hero? Tafadhali explain what was that medal for, na kwa nini yeye tu. remember movie ilikuwa hata haijatungwa hapo.
Kwa nini baada ya yeye kuanza siasa 2005 ndio suddenly mnakuja na versions nyingine za who rusesabagina was? wale watutsi waliokuwa wanahojiwa na kumsifu 2002 walikuwa wanadanganya?
How ever ukweli unabaki palepale, i don`t see any heroism in him.
Watu walikimbilia kwenye hotel Mille Collines wakitegemea msaada wa raia wakigeni wengi waliokuwa wakiishi hotelini humo.
Rusesabagina has a duty to make sure that hotel guests ambao wengi walikuwa ni diplomats hawakutani nashida yoyote:
For the detailed story about Paul Rusesabagina read below:
Hollywood Debunked: What Really Happened Inside the Hotel RwandaÂ-|Â-Georgianne Nienaber