General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,316
- 23,178
Kumbe ndo wewe??
Nani?Kumbe ndo wewe??




Okay nimezaliwa miaka 30 iliyopita Mhimbili DSM nimeishi Dar nimekulia Dar,Shinyanga kidogo,Dodoma na Simiyu(Maswa)
Sent using Jamii Forums mobile app
Pale ambapo usiku alikuwa mwingine na asubuhi akawa mwingine![]()
mwifa weweee!!!Jf hii kubadili jina halafu ulipokotiwa panabaki
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mimi toka zamani nilikujua tu, kuna siku nilikuambia ''kumbe ndio wewe..." wakati ukiwa na siku chache baada ya kubadili jina
sasa hivi mmekua mjanjaaa!!ngoja nianze kua mlokole tenaa![]()
![]()
![]()
sasa hivi mmekua mjanjaaa!!ngoja nianze kua mlokole tenaa





Hapana sio hii kuna mtu kazini aliona I'd yangu nkabadili jioni fastaa...nakumbuka ilikua alhamis ile
Kumbe lengo la kubadili jina ni kificha makovu ya nyuma eee..
Aya lala sasa mtoto mzuri GenHapana sio hii kuna mtu kazini aliona I'd yangu nkabadili jioni fastaa...nakumbuka ilikua alhamis ile
Jf hii kubadili jina halafu ulipokotiwa panabaki
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()




Hapana sio hii kuna mtu kazini aliona I'd yangu nkabadili jioni fastaa...nakumbuka ilikua alhamis ile