Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,380
- 56,078
Nilicheat na wewe au umesahau?Yani nimesoma posts zote ila hii imeniumiza roho sana...
Kwanini ulinicheat lakini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilicheat na wewe au umesahau?Yani nimesoma posts zote ila hii imeniumiza roho sana...
Kwanini ulinicheat lakini?
Hivi kumbe? Mbona hukunambia?
Hivi kumbe? Mbona hukunambia?
Basi fanya hima tucheat tena. Maana hatukucheat vizuri ujue...
si umenikimbia sa hv tena waniona kizeeUsifanye hivo bhana... mi na wewe hatujafahamiana gengeni
We s umenikimbia sasa ntakuona wapi tenaUsifanye hivo bhana... mi na wewe hatujafahamiana gengeni
Si palepale pa siku ile?
Ayaaa... hapa naona ishakula kwangu mazima
Kumbe je?pambana na hali yako tu!!Ayaaa... hapa naona ishakula kwangu mazima
Ayaaa jamani...
Roho imeniuma
Moyo nimeuachia kazi ya kusukuma damu
Hahaha....Moyo nimeuachia kazi ya kusukuma damu
Sasa pambana na kiherehere hichoMoyo nimeuachia kazi ya kusukuma damu
cha kutaka kunisumbuaHapana hatuna unduguHalafu sijui kwa nini siku zote nakiwa nakufananisha na everlenk nahisi mna undugu hivi eenh