mkulungu mkuyengo
JF-Expert Member
- Feb 5, 2015
- 786
- 566
uchepuke ili iweje sasa kama sio uduanzi huo?Usiwaweke kapu moja. Tupo na wake zetu miaka 30 sasa.
Hata tukichepuka tunaziheshimu ndoa.
uchepuke ili iweje sasa kama sio uduanzi huo?Usiwaweke kapu moja. Tupo na wake zetu miaka 30 sasa.
Hata tukichepuka tunaziheshimu ndoa.
huyu inaonekana alikua na true love sema huyo jamaa wa kwanza kumuoa ni duanzi bonge la ndezi,haiwezekani mwanamke kabadili dini,kabadili career na worse enough ka-abandon her family kwa ajili yako halafu wewe unamuona fala unaleta madharau huo ni upimbi wa hali ya juu sana,Nikiunga dots naona ulijitoa zaidi ya uwezo ili tu ndoa iende,hongera
Mumeo alikuwa Na nn special labda
DJ sepetu
Hayo ndo maisha yanayotuzunguka hv vitu sio vya kwenye video tunilikua nimejilaza had nimekaa ghafla !una haki ya kupata presha kwakweli ! POLE ! mie siwez toshea !hapana siwez
huyu inaonekana alikua na true love sema huyo jamaa wa kwanza kumuoa ni duanzi bonge la ndezi,haiwezekani mwanamke kabadili dini,kabadili career na worse enough ka-abandon her family kwa ajili yako halafu wewe unamuona fala unaleta madharau huo ni upimbi wa hali ya juu sana,
geniveros mark my words huyo jamaa hana muda mrefu mbio zake za sakafuni zitaishia ukingoni atajuta sana atarudi kuomba msamaha sasa ole wako umkaribishe tena.
hayo yalishatokea mbona nimesema hapana kwa herufi kubwaHivi haya maswali yanayoulizwaga kwenye interview haswa hayo ya personal kabisa huwa mnajibu ukweli kabisaaaaa!!!! Sipatii picha ambavyo ningedanganya, teh teh teeeeh!!
Cc Heaven Sent
haina haja ya kudanya magumu hujibu unaskip paap!!We siskip kitu, hata jepesi nadanganya tu.
Ameen my dearTeh tulitegemea utakuwa umefubaa sasa hivi, uso hauna nuru na mashavu yanachuma kunde, unaanzaje kuachika?. Sana sana ungeolewa na divorcee au mgane, ila kweli Mungu sio HS. Binamu ukijitahmini wewe binafsi na as long as Mungu anakuthamini, basi inatosha sana tu. Enjoy mama angu, Mungu azidi kukufanyia amani
Nimefuzu
Huu uzi ni inspirational kwa single moms....waoaji wapo tu hawajali una mtoto au lah...ila kuna single moms wengine wako hot hata ukiwa na msimamo unnaweza kubadili.
sawa bwanaHaaaa!!we kauzu we wee!ntakubanaaaWe siskip kitu, hata jepesi nadanganya tu.
Ila una bonge la package
Ila una bonge la package
cha 500 tu!sio kikubwa Mungu ni Mungu tuHaha unlimited
Maserati ni aina ya luxury cars made in Modena-Italy among cares yenye pesa ndefu. Sijui nime clear the cloud???Kila nionapo jina hili najiuliza sana, huyu mtu aliwaza nn kujipa hili jina
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app