Umeona eeh mkuu kawaida katika kila meza ilitakiwa kuwe na uma na kisu. Ila ukiangalia meza ya no 4 utakuta ana uma hana kisu na 3 ana kisu hana uma kwahyo hapo kuna exchange ilifanyika aidha no 4 alimpa no3 uma alafu yeye akabakiwa na kisu.Hapo ni mchezo wa number 4 na 3 .Wameshirikiana pamoja ila aliyeingia kukamilisha mauaji ni 3
Sent using Jamii Forums mobile app
sigara na bastola zingetoka mikononi wakati akitapatapaPicha lina anza jamaa kakaa kweny hcho kiti huku akiwa anavuta sigara wakat huo huo bastola kaiweka pembeni...akaanza kuandika hyo barua zen baada ya kumalza kuandka akachukua bastola ilyokuwa pemben akaijpga risasi kwa kutumia mkono wake wa kulia....hiyo bastola aliiwekeza upande wa kulia wa kichwa chake ndo maana damu ili luka had ukutan kule....ule mshindo wa risas ukafanya marehemu aanguke chini kwa kutapatapa ndio maana vitu vme vurugika
ha ha ha!!
Sawa mkuu..ha ha haa!! tuendelee kuwazua hapo