Generations na love making, yajayo yanaogopesha!

Hahahaa, hili sasa ni jipya kwangu, yaani watu wapo wamekaa tu wanasubiri kutongoza! Hahahaa hiyo kali mkuu

Si pale tu....usione watu wamejazana tu vituoni, pale kuna vibaka, watongozaji, na mabingwa wa kupiga punyeto. Mtu anakaa, akiona demu mzuri...anakimbilia kichakani kuwahi kupiga punyeto, akirudi utamsikia nishamla yule demu hana nini wala nini.
 
Kumbe Dar ni zaidi ya uijuavyo, dah! Nitaanza kufatilia taarifa hii mkuu
 
Be u usibadilike hata kidogo.

ila hakuna cha ajabu duniani unayoyasikia leo Tanzania, America washafanya miaka 20 iliyopita tena wamehalalisha kabisa.

Ni vitu vya kawaida sana kikubwa ni jinsi gani unatatua tatizo hilo kwenye jamii yako.

[emoji4]
 
Tatizo watoto wetu kipindi chao kitakua cha majaribu makubwa sana. Hao Wamarekani mtoto wa kiume anaenda kumtembelea baba yake akiwa kaongozana na basha wake na kumtambulisha kua ni mumewe mtarajiwa! Mungu Atuepushe na balaa hilo
 
Hii ni laana tosha... Mungu atunusuru. [emoji4] [emoji120]
 
Back
Top Bottom