Generations na love making, yajayo yanaogopesha!

Nimeshazaa tayari. Naogopa malezi na huku nje kunavyoogopesha.
Ndio ujifunge kibwebwe sasa Mzigua, hakuna kilchokua na thamani kama mwanao....tusiogope kuwafinyanga watoto kama tunavyofinyanga udongo tupate umbo zuri la chungu. Tusiwapende watoto kama properties ila tuwapende kama binadamu ambapo furaha ya mzazi hukamilika wakati mwanae anakua ni 'MTU', mwenye maadili na anaekubalika na jamii na mwenye manufaa kwa jamii, pia omba kila siku Mungu Amuongoze
 
Tuko katika kipindi kigumu mno..hasa kizazi chetu kijacho wazazi tuombee sana vizazi vyetu mambo yanazidi kua mabaya..laana kila kukicha..shetani yupo kazini tusichoke kumuomba Mungu
 
na hii ya wazazi kuwaacha watoto free na mitandao or hii hali ya utandawazi kuwa rahis sana ni shida na janga kwa Taifa.
Wazazi wa siku hizi wanapenda watoto kama properties, yaani hamgusi, hamsemi hamuongozi, bahati mbaya matokeo yake hayaonekani upesi. By the time mzazi unakuja kushtuka imeshakua too late. Kuna watoto wa Primary moja ya boarding darasa la tano walikuja gundulika wanatumia drugs! Niliumia kama wanangu wa kuwazaa
 
duuuuh, halafu wazazi wanasahau/tunasahau kuwa ukimdekeza mtoto awapo mkubwa na kupoteza muelekeo hulaumu sana kwa nini wazazi hawakukemea hii hali. Nakumbuka nikiwa mdogo hata sasa watoto wengi wa matajiri hupoteza muelekeo kulinganisha na watoto wa maskini au wa hali ya kawaida. Ni wakati halisi wa kuchukua tahadhari na hatua kwa kizazi hiki.
Zamani msichana akiwa anasoma hutomsikia akisema ana boyfriend ila sasa wasiposikia wanahisi unashida.
Tunakoelekea mimi sijui kabisaaaaaaaaaaaa
 
Tena kwa saikolojia ya mtoto akija kukua hua anakumbuka kwa mapenzi sana sehemu alipokua analelewa kwa kukanywa na kufundishwa kuliko anavokumbuka sehemu aliyokua analelewa kwa kudekezwa na kuharibiwa. Atamkumbuka kama shujaa wake shangazi, au ma mdogo au mjomba au mama mzazi au baba mzazi aliyekua anamuongoza kwa kumwambia anapokosea na kumuelekeza
 
haswaaaa, you said it all jaman
I wish watu tungefunguka na kujua what to do in our new generation. Heshima imepungua sana siku hizi kulingana na malezi tunayofanyia hivi vizazi vijavyo, nilishangaa siku moja though ni kawaida ila kwangu ilikuwa mshangao, mtoto alitukuta tuko mahali wawili akasalimia yule anayemjua tu, loooh zamani haikuwa hivi maana utachapwa tu.
Mungu tusaidie, nimetaja hili dogo tu kuonyesha tunakoelekea
 
The future is not so bright.......Mungu Atuongoze
 
Yote ni tisa,kumi ni namna vijana wa kiume wanavyovaa. Kijana kavaa suruali lakini makalio yote nje. Anamuonyesha nani? Akishayaona iweje? Akikuoshea gari muda mwingi ni suruali anapandishapandisha! Ama kweli kila zama na kitabu chake.
 
Hawa ni vijana wajinga, wanafikiri kila wakionacho toka Marekani ni cha kuiga....Huko Marekani mtu mweusi ni mtu wa mwisho kabisa na anadharauliwa ile mbaya, kule kuvaa mlegezo wanavaa wajinga wa kule ila huku Bongo mtu anaona ujiko kuigiza kuwa chizi. Mkuu wa mkoa LAZIMA akamate wapuuzi hawa, tunahaibisha taifa letu mno.
 
Back
Top Bottom