Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,557
- 19,107
- Thread starter
- #21
Miaka kumi ijayo sijui itakuaje!"Wanaume" tunazidi kupungua kila siku aisee!!
Miaka kumi ijayo sijui itakuaje!"Wanaume" tunazidi kupungua kila siku aisee!!
Mpe mwanao hasa wa kiume malezi ya kizamani sio ya kisasa, jitahidi kujua marafiki zake, mahali anapopenda kua wakati wa muda wake wa uhuru, michezo anayopendelea ikiwa ni pamoja na filamu na nyimbo...muongoze katika njia sahihi na kama unamume mshrikiane katika malezi kwa ukamilifuNaziogopa sana siku zijazo hasa kwa watoto wetu,Mungu awasaidie na hii laana ya shetani.
Hahahaa hizo zinaitwa adventures mkuu, eti kudinyana sehemu isiyo rasmi na hatarishi hizo ulizozitaja kuna raha yakeMapenzi ya siku hizi watu wanashindana mbinu na maujanja kwani kuna wale wanaofanya mapenzi ndani ya gari, wengine kwenye Bajaj, na kuna hawa wa sasa ambao wanafanya mapenzi kwenye viwanja vya mpira na jalalani kusingizia usiku watu hawapiti uwanjani na jalalani.
Bilashaka mkuu,mimi ni legendari katika bahari hii na utafiti huu nimeuishi wala sio wa kusoma kwenye vitabu, ila hayo yajayo naomba Mungu Aniptishie mbali nayo mimi na kizazi changuMkuu umefaidi generation zote sio?
Hahaaa yataendelezwa na kizazi chakoBilashaka mkuu,mimi ni legendari katika bahari hii na utafiti huu nimeuishi wala sio wa kusoma kwenye vitabu, ila hayo yajayo naomba Mungu Aniptishie mbali nayo mimi na kizazi changu
Kwangu Mimi ninae kula tembele nasubiri kuwatibia wapenzi wenu na bango naweka bao moja 20
Ukisema hivo natamani niende nikafanye vasectomy, niwe nagegeda tu ila nisiache mbegu itakayoleta uharibifu dunianiHahaaa yataendelezwa na kizazi chako
Skuhiz unatongoza
asubuh saa 4 ikifka saa
Kumi jion umepewa majibu
Kuna mtu alisema eti alitongoza kwenye daladala, wakashuka kituo cha mwisho na mzigo akaenda kuukula!Si kweli, siku hizi ni dakika tu hata lisaa halichukui....na watu wana mbinu mbadala. Vijana wamekuwa wajanja zaidi aana wengi wao bado hawamiliki magari, hivyo wanatumia kushikishana kuta za nyumba na miti, makaburini, na kwenye baiskeli pamoj na mikokoteni huku wakijifunika magunia.
Sijui kama utaeleweka ila kwa upande fulani ndio tulipofikia sasa.
Na tunakoelekea ndio hatari sana aisee.
Ufunge tu sababu ndio ukweli huo Mshenga. TehAiseee nimebaki mdomo waziii
Kuna mtu alisema eti alitongoza kwenye daladala, wakashuka kituo cha mwisho na mzigo akaenda kuukula!
Hahahaa, hili sasa ni jipya kwangu, yaani watu wapo wamekaa tu wanasubiri kutongoza! Hahahaa hiyo kali mkuuSiku hizi mambo ni mwendo kasi tu...Pale Kinondoni (Komakoma) kuna jamaa kazi yao kushinda pale kusubiri wanawake tu ili wawatongoze. Kuna jamaa nilishuhudia alitongoza wanawake 5 kwa siku akapata 3 akawapangia muda na siku ndani ya wiki ile ile. Akala mizigo na sasa kahamia kituo cha Magomeni Mapipa kuatafuta tenda ingine. Hakuna mwanamke asiyependa kuliwa, mtombo mtamu jamani msidanganyike na walokole na unafiki wao.
Na aufunge tu kwa kweli nzi wasijemnyea.Ufunge tu sababu ndio ukweli huo Mshenga. Teh