William,- Cha muhimu ni kuelimishana mkuu the authorty wa Vita vya Nigeria na kwa nini tuliounga mkono maaasi, vipi ukiweka darasa hapa!!
William.
Ritz1,Jasusi, hunijui sikujui sasa sijui unapinga nini kama sikuwepo wewe ndio ulikuwepo peke yako wakati General Ojukwu, na wenzake wanajitangazia taifa lao la Biafra...lakini sikushangai wewe kila sehemu ulikuwepo nakumbuka ulituambia hata pale Mkapa alipompa sumu Mwl Nyerere, ulikuwepo.
William,
Nimesema soma hicho kitabu. Pia kuna kitabu kingine ameandika Godfrey Mwakikagile, "Nyerere and Africa: End of an Era". Kuna hoja za kujadilia humo kuhusu vita ya Nigeria. Huwezi kufikia hitimisho kwamba sera zetu wakati wa Mwalimu zilikuwa wrong bila kuwa na full knowledge of what you are talking about. That is what makes us great thinkers here. And yet still, hapa hapa JF kwenye archives zake kuna mjadala mrefu kuhusu vita vya Nigeria na kwa nini Tanzania iliunga mkono Biafra. Sasa unaanzisha thread ambayo umeshafikia hitimisho kwamba Tanzania tulifanya makosa kuiunga mkono Biafra bila kuwa na data sahihi na relevant. No research no speak.
Ritz1,
Tuheshimiane kijana. Ni wapi nilisema nilikuwepo Mkapa alipompa sumu Mwalimu? Naomba unitafutie thread hiyo.
Sasa kwa mtazamo wako Jasusi ndiye Vicenti Nyerere kwenye forum hii?Maneno yako yapo kwenye thread ya Vicent Nyerere alipomjibu Mkapa kule Arumeru Mashariki.
Mbona unazunguka sana Tanzania waliunga mkono Biafra sababu kubwa ni udini tu...Kaskazini na Kusini.
Sasa kwa mtazamo wako Jasusi ndiye Vicenti Nyerere kwenye forum hii?
Na PLO (Palestine) Tanzania wamewaunga mkono kwa sababu gani?
FJM,
Tusaidie mkuu wangu PLO nao walikuwa wanataka kujitenga kama Biafra?
ritz acha kujichanganya wewe mwenyewe, umesema Tanzania imeunga mkono Biafra kwa sababu ya udini, hapa unatueleza kwamba Serikali ya Tanzania ina dini rasmi kama ile ya Uingereza, ndio maana FJM amekuuliza kule Palestine Tanzania inaiunga mkono PLO kwa sababu zipi? ni kwa nini tusiiunge mkono Israel kama Marekani walivyo wazi katika hili? wacha porojo lete majibu.FJM,
Tusaidie mkuu wangu PLO nao walikuwa wanataka kujitenga kama Biafra?
Mazingira sawa tu, wapalestina nao hawawataki jews na ni Muslims, umeshikwa pabaya, we potezea tu kiume.FJM,
Tusaidie mkuu wangu PLO nao walikuwa wanataka kujitenga kama Biafra?
Wewe imagine mtu kama huyu ritz atakuwa ana kaupewa fulani ka kuchanganuwa mambo lakini tayari ameshalishwa chuki dhidi ya Crusader, sasa hali ikoje kwa ambao wameishia madrasa tu na Elimu dunia hawana? haya ndio matunda yanayopatikana Zanzibar sasa hivi.Mazingira sawa tu, wapalestina nao hawawataki jews na ni Muslims, umeshikwa pabaya, we potezea tu kiume.
kumbe mkapa alimpa sumu mwalimu nyerereJasusi, hunijui sikujui sasa sijui unapinga nini kama sikuwepo wewe ndio ulikuwepo peke yako wakati General Ojukwu, na wenzake wanajitangazia taifa lao la Biafra...lakini sikushangai wewe kila sehemu ulikuwepo nakumbuka ulituambia hata pale Mkapa alipompa sumu Mwl Nyerere, ulikuwepo.
- - JE have we ever apologize to the Nigerians kwa makosa yetu ya kuuunga mkono uasi wa Ojukwu, dhidi ya serikali halali ya nchi hiyo?
William J. Malecela.
Niwekee hapa hiyo nukulu ambapo nimesema nilikuwepo Mkapa alipomuua Mwalimu. That is all I am saying.Maneno yako yapo kwenye thread ya Vicent Nyerere alipomjibu Mkapa kule Arumeru Mashariki.