Viongozi wa Tanzania mjifunze jambo hapa...
Ubaya wa hawa Generation Z ni wanakuja kwako haijalishi upo kitengoni au ulishastaafu wakija wanakushughulikia....
Tukumbuke kutenda mema at some point, na tuache alama kwa kizazi kichopo au kinachokuja.
Mungu wa mbinguni atuliende, moja ya dalili mbaya ninayoiona kwasasa kama kiongozi anapata matatizo watu wanashangilia au kufurahia na hawajali...
Sumu inayowekwa na kuaminishwa kwao hao Gen Z kuwa mnakula kwenye viyoyozi na Vieetiiii... Tuombeane uzima 🙏
Am out