Gen Z kuhusu viongozi wanapofariki: Hatuhuzunishwi, kazi ya Mungu yatupasa tufurahie

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Ukisikiliza hii video ya huyu Gen Z utaona mwendelezo wa tabia isiyo ya kawaida katika jamii, hasa viongozi wanapofariki, wananchi badala ya kuomboleza hucheka na kufurahi. Katika siku za hivi karibuni, vifo vya viongozi wa umma vimekuwa vikikabiliwa na kejeli, mzaha na kubezwa badala ya huzuni, dua au heshima ya mwisho.

Hili si jambo la kawaida kwa jamii iliyo na afya ya kisiasa, kiroho na kimaadili; ni ishara dhahiri ya kuwepo kwa pengo kubwa kati ya serikali na raia wake.

Ukisikiliza hii video ya huyu Gen Z utaona mwendelezo wa tabia isiyo ya kawaida katika jamii—viongozi wanapofariki, wananchi badala ya kuomboleza hucheka na kufurahi. Katika siku za hivi karibuni, vifo vya viongozi wa umma vimekuwa vikikabiliwa na kejeli, mzaha na kubezwa badala ya huzuni, dua au heshima ya mwisho.

Hili si jambo la kawaida kwa jamii iliyo na afya ya kisiasa, kiroho na kimaadili; ni ishara dhahiri ya kuwepo kwa pengo kubwa kati ya serikali na raia wake.

huo ni miongoni mwa ujasiri wa kilofa zaidi miongoni mwa gen z wa Tanzania waliokata tamaa.
uskute kashafiwa na mama, baba au ndugu yake na alilia kinyama, na sasa anafanya unafiki tu katika ujasiri wa kifo cha mwanadamu mwenzake,
hata hivyo,

Imeandikwa,
kuishi ni Kristo, Kufa ni faida.

hakuna haja ya kubaika au kua na kiherehere kwenye habari ya kufa, kwani kila nafsi itaonja umauti kwa wakati wake muafaka bila kuwahi wala kuchelewa.

kujiepusha na viherehere ni jambo la maana zaidi.

R.I.P JENISTER :NoGodNo:
 
Huzuni inatokana na UKARIBU NA UMUHIMU WA MTU ALIEFARIKI KWAKO. Kama huna ukaribu au huyo mtu hana umuhimu kwako huzuni inatoka wapi? Kusema pole,rip ni utamaduni haina maana umehuzunika na mtu asie karibu wala umuhimu kwako.
Hata mimi sina huzuni yoyote na huyu aliefariki na haina maana nimefurahia kifo chake.
 
Kufananisha kifo cha mama baba au ndugu wa damu na kifo cha stranger tena snitch anayesababisha maafa fulani fulani ktk taifa huo ni ujinga.
 
ni ulofa ule ule kwa mwanadamu kudhani eti kufa kwa binadamu kuna utofauti :pedroP:

kukosa maarifa na imani ni mzigo mzito mno kiroho
 
Huzuni inatokana na UKARIBU NA UMUHIMU WA MTU ALIEFARIKI KWAKO. Kama huna ukaribu au huyo mtu hana umuhimu kwako huzuni inatoka wapi? Kusema pole,rip ni utamaduni haina maana umehuzunika na mtu asie karibu wala umuhimu kwako.
Hata mimi sina huzuni yoyote na huyu aliefariki na haina maana nimefurahia kifo chake.
gentleman,
kua na imani,

hakuna haja ya kua na huzuni wala furaha mwanadamu kiumbe cha Mungu anapo R.I.P.

Muhimu zaidi ni kumshukuru Mungu kwa maisha ya huyo mwenda zake, na kujiombea wenyewe tufe kifo chema na sio kifo cha kilofa kama ma gen z waleta fujo na kuchoma moto mali za umma na binafsi wakidhani kuna mtua atawachekea.

zaidi ya hapo ni ushirikina na kuabudu sanamu :NoGodNo:
 
huo ni miongoni mwa ujasiri wa kilofa zaidi miongoni mwa gen z wa Tanzania waliokata tamaa.
uskute kashafiwa na mama, baba au ndugu yake na alilia kinyama, na sasa anafanya unafiki tu katika ujasiri wa kifo cha mwanadamu mwenzake,
hata hivyo,

Imeandikwa,
kuishi ni Kristo, Kufa ni faida.

hakuna haja ya kubaika au kua na kiherehere kwenye habari ya kufa, kwani kila nafsi itaonja umauti kwa wakati wake muafaka bila kuwahi wala kuchelewa.

kujiepusha na viherehere ni jambo la maana zaidi.

R.I.P JENISTER :NoGodNo:

Wanaohuzunika wapo msibani...

Sisi wengine tumeguswa tu...
 
ni ulofa ule ule kwa mwanadamu kudhani eti kufa kwa binadamu kuna utofauti :pedroP:

kukosa maarifa na imani ni mzigo kiroho
Sa100 amewavuruga akili na ile falsafa yake ya “kifo ni kifo”,kufa kwa binadamu kuna tofauti,kufa hakuishii kukata kauli kuna hisia pia kwa wale wanaobaki.

jenista kadondoka kafa mwili wanazika ndugu zake hao unaodhani wewe wana imani sana 29th Oct waliamuru watoto wa watu kupigwa risasi kama kuku na miili yao wakapeleka wanakojua sasa jiulize mzazi ayawazie maumivu makali ya risasi kwa mtoto wake halafu asiuone mwili wake ukizikwa.
 
wewe na mimi tutakufa tu hakuna haja ya kiherehere au kujitia ujasiri wa kilofa kwenye kifo cha mawanadamu awaye yeyote.

Just thank God for the gift of life na usonge mbele, kubabaika na kifo cha mwanadamu au hizo porojo zingine hakukupi credit yoyote zaidi ya kuexpose uelewa finyu na kutafuta public sympathy kwa uzushi:NoGodNo:
 
huo ni miongoni mwa ujasiri wa kilofa zaidi miongoni mwa gen z wa Tanzania waliokata tamaa.
uskute kashafiwa na mama, baba au ndugu yake na alilia kinyama, na sasa anafanya unafiki tu katika ujasiri wa kifo cha mwanadamu mwenzake,
hata hivyo,

Imeandikwa,
kuishi ni Kristo, Kufa ni faida.

hakuna haja ya kubaika au kua na kiherehere kwenye habari ya kufa, kwani kila nafsi itaonja umauti kwa wakati wake muafaka bila kuwahi wala kuchelewa.

kujiepusha na viherehere ni jambo la maana zaidi.

R.I.P JENISTER :NoGodNo:
Screenshot_20251212-173144~2.png
 
Anaweza KUFA hata mzazi wako usipate kuumia

Maumivu hutokea endapo aliyekufa alikuwa na mchango gani chanya kwako.

Tofauti na hapo hakuna.
 
Back
Top Bottom