VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,489
- 1,465
Nyerere alisema Maskini hana cha kupoteza, na Binadamu akichanganikiwa ni hatari kuliko kitu chochote Duniani, moja ya visababishi ni utawala wa mabavu na umaskini wa kupitiliza. Gen - Z ni kizazi hatarii, haya unayoyaona ni madogo kuliko yajayo.