Gemu nzito

Gemu nzito

Kabelwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
684
Reaction score
201
Wadau wenyekuzijua zile gemu nzito naomba mziweke hapa ili nijaribu kwenye tecno h6
 
sijaelewa lengo lako, unataka game nzito ili uone simu yako ikishindwa kucheza au unataka game lenye graphic nzuri?

kama unataka game zito zaidi emulate nintendo wii kwenye simu yako. nenda store download dolphin emulator halafu tafuta rom yoyote ya nintendo wii download halafu load kwenye emulator.
 
Hizo gemu nzito zina kilo ngapi utaweza kubeba kwenye hiyo tecno ah ah ah...
[TABLE="width: 603"]
[TR]
[TD]Internal[/TD]
[TD]8GB[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]OS[/TD]
[TD]Android 4.4.2 KitKat[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Processors[/TD]
[TD]1.3GHz quad-core Cortex-A7 CPU, MediaTek MT6582 chipset, Mali-400MP2 GPU[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]RAM[/TD]
[TD]1GB
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Tafuta[h=2]
AngryBirds-Icon.png
Angry Birds (all of them)[/h]

[h=2]
Assassins-Creed-Pirates-icon.jpg
Assassin's Creed Pirates[/h]

[h=2]
Asphalt8-icon.png
[/h][h=2]Asphalt8: Airborne[/h]
 
sijaelewa lengo lako, unataka game nzito ili uone simu yako ikishindwa kucheza au unataka game lenye graphic nzuri?

kama unataka game zito zaidi emulate nintendo wii kwenye simu yako. nenda store download dolphin emulator halafu tafuta rom yoyote ya nintendo wii download halafu load kwenye emulator.
Chief naomba utuelezee kdogo wanaemulate VP Nintendo wii kwny Android
 
hakuna simu ya android yenye uwezo wa kucheza game za nintendo wii ndio maana nikamuuliza lengo lake nini? wii inataka processor iwe na nguvu sana. processor ya nvidia inayoitwa x1 ndio atleast inaweza kucheza wii kwa android, lakini ni chip ya tablet na sio simu.

ila kama unataka kutest hivyo hivyo slow then nenda playstore search dolphin emulator halafu idownload

then test rom yoyote ya nintendo wii au gamecube mfano super mario hii

Super Mario Sunshine ISO < GCN ISOs | Emuparadise
 
sijaelewa lengo lako, unataka game nzito ili uone simu yako ikishindwa kucheza au unataka game lenye graphic nzuri?

kama unataka game zito zaidi emulate nintendo wii kwenye simu yako. nenda store download dolphin emulator halafu tafuta rom yoyote ya nintendo wii download halafu load kwenye emulator.
Chief mkwawa hebu tupe elimu kidogo hapo
 
Back
Top Bottom