GEITA raha

Wasukuma muwe mnauliza basiii,, JF sio FB kaka..
Itabidi tukuunganishe na bro wako mmoja kichwa sana Akupe maujanja ya maana.. USA baby
Saint Ivuga, Wasukuma umetuonea bure. Huyu dogo kwao halisi ni Morogoro na inawezekana ni Mruguru huyu au makabila mengine ya huko. Kaja huku migodini Geita kutafuta pesa tu. Tena kumbe ni mhitimu wa UDSM kabisa. Wasukuma tunaomba tuombwe radhi kwa hili.
f7f30088d3ce2d87ce950ff74cf5d405.jpg
 
Km Kweli Ni Graduate.Basi Degree Yake Itakua Ya Ufugaji Nyuki Au Upandaji Maua.Dogo Hajielewi Kabisa Network Zimekata.!!
 
Back
Top Bottom