GEITA raha

TMPDOODLE1468092343515.jpg
Huyo tayari battery LOW..
 
Hahaaaaaaa nimejua kuwa akheri tuweke majina na avatars zisizohusiana na sisi kabisaaaa maana yawezekanaje GT kulumbana na mtu kama huyu.......

Licha ya mazingira aliyopo lakini pozi la uso wake linaakisi akili yake...
Ili ndilo kundi kubwa linaloivamia jf " MINDLESS ATTENTION SEEKERS"

Mods naomba muwe active na kazi yenu hasa ya kutoa ban kama mna nia nzuri na jf
 
Back
Top Bottom