GEITA raha

Nimecheka peke yangu..yaani hizo comment raha tupu..msameheni uyo kakosea njia,akija kustuka ageuki nyuma.
 
naomba mnisamehe mimi kwa niaba yake

huyu msukuma kanitia aibu
 
Duuh!.Swaga Za Fb Anazileta Jf.Amejiunga Na Jf Toka 2014.Lakini Mpaka Sasa Hajajua Kama Jf Sio Mahali Pa Kuuza Nyago.Kweli Wasukuma Ni Jipu!
 
Back
Top Bottom