Geita inaongoza kuwa na madini lakini ina stendi mbovu

Yule jamaa nilipingana naye kwa mambo mengi sana, karibia 80% sikukubaliana naye!

Lakini katika jambo ambalo nashindwa kumkosoa ni kuchukua billion 700 (0.7 trillion) na kuziweka Busisi - Kigongo kwa ajili ya daraja...
Ndio maana mnapomlaumu JPM Kwa yale aliyoyafanya au kuyaanzisha katika mkoa huo wa Geita huwa Mimi nawashangaa sana, mikoa ya Geita na Shinyanga na Mwanza imetoa madini ya Dhahabu na Almasi tangu na kabla hata ya Kupatikana Uhuru, Williamson Diamonds pale Mwadui ilianza kuchimba Almasi tangu mwaka 1947 mpaka leo hii bado Almasi zinatoka tu, lakini ukiingalia hiyo mikoa haina maendeleo yeyote ya maana,
 
Kwa hiyo!?
 
Mikoa hiyo inastahili pia kupata maendeleo sio dhambi
Sasa nimekuelewa kwani mwanzo uliishia hewani tu. Ni kweli hiyo ni haki yao ingawa mimi nitawalaumu sana Wabunge na Madiwani wa huko Geita; hawa ndio walipaswa kuwa mstari wa mbele katika kupigania maendeleo yao, siyo kuwasubiri Wakuu wa Mikoa au MA - DC! Hawa ni wateuliwa tu, ni wapita njia.
 
John alihamishia miradi yote wilayani chato akasahau mkoa wake geita,chato wana bonge la standi japo kuna lala mabasi makubwa mawili tu,moja la mwanza na la bukoba
 
Bora hata unaweza kusema Geita ni mkoa wa juzi.

Bukoba magari yanalala hapo na yanaanzia hapo kabisa

Serikali hata huku ni Tanzania
images%20(90).jpg
images%20(89).jpg
 
John alihamishia miradi yote wilayani chato akasahau mkoa wake geita,chato wana bonge la standi japo kuna lala mabasi makubwa mawili tu,moja la mwanza na la bukoba
Chato hakuna stendi,mpaka sasa hivi haijaanza kutumika ambayo ilikuwa inajengwa
 
Bora hata unaweza kusema Geita ni mkoa wa juzi.

Bukoba magari yanalala hapo na yanaanzia hapo kabisa...
Tatizo la Bukoba na Moshi ni special case stendi zao za hovyo sana na sababu kuu wenye vyeo na uwezo serikalini na sekta binafsi hujenga sana mikoa mingine na vijijini kwao Miji yao wala hawahangaiki nayo ndio maana stendi ya Moshi. Mjini na bukoba mjini utafikiri stendi za boda boda
 
Hela za mrahaba zimeongezeka kipindi cha Magufuli na ndipo wakaanza kupata vilami hapo mjini,imagine miaka ya 2009 GGM ndo ilikuwa cash cow ya migodi yote ya Anglo Gold Ashanti lakini mji wote kulikuwa hakuna maji ya bomba wala rami,haya yote yamekuja tekelezwa na Magufuli
Hii inaonyesha Wabunge ni zero,
 
Back
Top Bottom