GDP ya Tanzania na matajiri wake

GDP ya Tanzania na matajiri wake

"wa fanya biashara wakubwa ambao mauzo yao ya zaidi Bilioni 20 wana contribute Trilioni 11 sawa na asilimia 40 na kitu idadi yao wapo 158 tu."

Hayo hapo juu 👆 ni maneno yako kwenye comment iliyopita ambayo yalinifanya nikakunukuu, kwani ulikuwa unamaanisha nini hasa?

Nilichoelewa mimi unaaminisha kuwa wakulima/wauzaji wa korosho pekee tu ambao wako 158 wanaliingizia taifa trillion 11 ambazo ni sawa na $4b serious?

Jombaa hivi unaifahamu hata how big $4b is? Yaani leo tuwe na zao moja tu linalotuingizia kiasi hicho cha pesa, si sekta ya kilimo pengine ingeweza kutuletea hata income ya $10b ukiongeza ma mazao mengine tukasahau kabisa na mambo ya kutembeza bakuli?

Hiko hivi haijalishi utanipa data gani mlizopika huko, hakuna zao lolote liwe la biashara aula chakula lililowahi kutuingizia pato hata la $2b kwa mwaka, halipo nasema halipo.
Hio ni comprehension yako, hakuna sehemu yoyote nimesema figure ni ya korosho wewe sijui hata umeungaje hizo dot. Soma kwa makini utaona toka juu nazungumzia watu wachache wanamiliki utajiri mkubwa.
 
Yaani katika taifa lenye population ya watu 61m ambapo working population(hapa nazungumzia watanzania ambao wako energetic wenye umri wa kuanzia 17-50) ni 35m tuna mamilionea wa dollar 2,400 tu halafu unasema eti si haba tuna matajiri kias chake? Tafsiri yake ni katika kila watanzania 14,500 tuna milionea mmoja tu huoni kwamba hii ni mediocrity na kiashairia cha umaskini wa hali ya juu mno?

Kuna nchi kama Astralia yenye jumla ya watu 21m ila wana mamilionea wa dollar wapato 2m, tafsiri yake ni kwamba palipo na Waustralia 10 basi kuna milionea mmoja... sasa nchi kama hiyo hata ukisema "waustralia wana hela bhana" tutakuelewa maana hata purching power yao ni kubwa sana, na sio bongo hapa eti taifa lenye 61m multimillionaire wa dola hawafiki hata 3,000 halafu bado wabongo wanapiga kelele eti watu wana hela bana hii nchi kisa tu akienda mlimani City pale nje anakuta kuna rage rovers used zimapaki wamiliki wake wako ndani wameenda kununua chocolate na perfumes...😇

Kiashiria kingine cha umaskini ni kutokuwa na mifumo thabiti ambayo inatupa taarifa sahihi za kimapato kwa kila mwanainchi, hii sio tu kwamba inazuia upotevu wa mapato bali pia inasaidia hata kwenye kufanya projections muhimu za kimaendeleo hili kuweka sustainability ya welbeing ya kila mwanainchi.

Sasa kama biashara nyingi ni biashara bubu huko ni kushindwa kusimamia kwa watu tuliowakabidhi mamlaka na kama wameshindwa, basi hawastahili kuendelea kuwepo maana kuendelea kwao ni kuendeleza kupoteza mapato na umaskini kwa ujumla.

Kuna nchi kama Namibia mtu akinunua hata karanga tu njiani anapewa risiti ya EFD, hapa bongo unaweza kwenda hata kwenye min supermarket ukanunua vitu vya laki 3 na ukaondoka kienyeji tu bila kupewa risiti wala nini...

ukisikia mtu anasema tunaishi bora liende tu nchi yetu ni manisfestation sahihi wa kauli hiyo.
Soma mada, Mleta mada a nazungumzia specific uwepo wa matajiri mimi nimekuja na specific figure tuna Milionea 2400,

Pia huwezi fananisha Tanzania na Australia unajua fika hilo wametuacha mbali ila unataka tu ulete Ubishi wa kitoto.

Kwa wenzetu Wa ndondo cup, tupo top 10 kwenye Both Matajiri wa milionea na matajiri wenye Atleast $10M,

Source

Kwa wenzetu ni rahisi kupata $1M usd ila kutokana na Gharama za maisha ata afford vitu vichache compare na huku,

Mfano angalia bei za Apartment za Sydney hapo, Dola 600,000 unapata Chumba, ukitaka Apartment nzuri ndio hio 1m+

Ila Tanzania Same apartment utaipata dola 40,000-150,000 kutegemea na location.

So kwa maisha ya kwetu huku kuwa millionaire kunakupa purchasing power kubwa sababu cost of living ni ndogo.
 
Kupika data ili kuonesha mna uchumi unaofanya vizuri hamfiki mbali....,mfano mzuri ni kilichowakuta Nigeria. Utakumbuka miaka kama 13 nyuma, Nigeria walidai kuna vyanzo vya mapato ambavyo hawajavipigia hesabu sawasawa. Sasa baada ya kufanya mapitio ya hivyo vyanzo vingine vidogo vidogo ambavyo awali walisema haviko registered wakaja na jumla ya pato zima la mwaka ambalo mwelekeo wake ungezidi pato la South Africa kwa mbali.
Sisi wengine tukabaki kushangaa na kujiuliza ni vyanzo gani hivyo vya kimapato vilivyosaulika kiasi kwamba pato lake likijumlishwa na pato la vyanzo vikuu vilivyozoeleka eti vifanye pato la Nigeria kuizidi South Africa kwa ghafla.... South Africa kwa wakati huo ikiwa na GDP ya $250 bilioni ikazidiwa mara 2....kwa $500 GDP ya kupika ya Nigeria.
Sasa imejulikana walikuwa wakijidanganya wenyewe kwa kupika data, ..kwa sasa wamejirudi na kutangaza uchumi wao katika rangi zake halisi....hadi hiyo currency yao Naira nayo waliiipika kitahamani..ikaonekana ina nguvu kuliko hali halisi sokoni. Wameumbuka,wameporomoka vibaya.
Unajitangaza ni tajiri wakati unajijua ni maskini.
Nakubaliana na wewe kwa 100%.

Na nchi nyingi zinazopenda kupika GDP, sababu kubwa ni kujaribu kutengeneza mazingira ya kukopesheka hasa wanapoona Debt to GDP ratio yao imepanda sana.
 
Hii ni hatari sana Kwa Taifa maskini kama hili watu kutumia fedha ovyo ovyo kama hivi na hazijulikani zinatoka wapii
Msigwa ambaye ndio msemaji mkuu wa serikali aliulizwa pesa ya goli la mama inatoka mfuko gani hakuwa na jibu .

Sasa unaweza kupata picha ni serikali ya aina gani iko madarakani.
 
We hujui hata kusoma data
1. Umeambiwa mafuta Trilioni 2.7 nani analeta Mafuta kama sio matajiri wakubwa?
2. Bidhaa toka Nje, kwa kiasi kikubwa nani anaagiza bidhaa toka Nje? Mwalimu wa shule ya Msingi? Machinga? Ama hao wafanyabiashara wakubwa?
3. Huduma za mawasiliano unahisi nani Anamiliki hio mitandao? Kina Mufuruki na Rostam ama ni kina Mwijaku na Steve Nyerere?
4. Bia na sigara unahisi wana hisa wake ukitoa makampuni ya nje nani anazimiliki?
Tufanye ulivyoelewa wewe ni sahihi?

Kwahiyo kwa akili yako, unadhani nchi hii inaendeshwa kwa Trilioni 24 za mapato ya kodi pekee???
 
Takwimu zinaweza kutofautiana kutokana na chanzo cha taarifa na sababu zinginezo.

Kwa mujibu wa IMF, GDP ya Tanzania ni dola [za Kimarekani] bilioni 85.

Kuna watu huwa wanadai Tanzania kuna hela na Watanzania wana hela.

Okay, sawa. Labda sisi wengine tuonavyo tofauti huwa hatuelewi, hatujui, au yawezekana tuna matatizo mengine tu.

Ukiwasikiliza wanaodai kuwa Watanzania wana hela, unaweza kudhani Tanzania ndo nchi yenye uchumi mkubwa zaidi duniani.

Watanzania wananunua na kujenga majumba ya mabilioni ya dola [au ni shilingi?]. Hivyo, Watanzania wana hela.

Sasa, pengine kwa ujinga wangu mimi, nauliza hivi:

Hivi nchi kama Tanzania yenye GDP ya dola bilioni 85 [kwa muktadha tu, Marekani ina GDP ya dola trilioni 30], inaweza kuzalisha matajiri wenye utajiri zaidi ya dola bilioni 85?

Yaani Tanzania yenye GDP ya dola bilioni 85, iwe na matajiri wenye utajiri wa zaidi ya dola bilioni 85, tuseme labda bilioni 90, bilioni 100, na kadhalika?

Hilo linawezekana kweli?

The math ain’t mathing, please make it make sense.
Nafikiri miradi inayoweza kumfanya mtu au taasisi kuwa na utajiri zaidi ya GDP ya nchi itahitaji soko kubwa zaidi ya kuhudumia. Yaani bidhaa na huduma mbalimbali zitahitajika kuuzwa nje ya Tanzania na kukubalika katika masoko mbalimbali
 
Kuna hela za mikopo na wafadhili, ila wafadhili mostly si miradi ya maendeleo bali vitu kama chanjo, dawa za ukimwi, uzazi wa mpango, miradi ya malaria na Ngos nyengine,
 
Sasa bila huyo mfanyabiashara ku brainstorm na kufanya biashara inayomuingizia pesa unahisi Atakusanyaje kodi kwa niaba ya serikali?

Ama unahisi Biashara tu ni uteuzi unamaliza chuo unawekwa pale unakuwa mfanyabiashara, kulishwa mnalishwa ila hata shukran tu hamna?

Nimekupa tu mfano Wafanyabiashara walipogoma kuuza Korosho nje nini kilitokea? korosho hazikudoda?

-wa fanya biashara wakubwa ambao mauzo yao ya zaidi Bilioni 20 wana contribute Trilioni 11 sawa na asilimia 40 na kitu idadi yao wapo 158 tu.

So kuna Watu 158 wana contribute karibia nusu ya Makusanyo ya Nchi, Lami unayotembelea, Mshahara unaolipwa, Taa ya barabarani inayokumulika, Fly over unayoisifia, Treni unayopanda, Ukiona V8 linapita, Ukiskia Kina Musukuma wa naongea Bungeni, Ukiona sijui Maghorofa ya Serikali, Pikipiki za ma Afisa kilimo hadi zile chaki za shule za Serikali ujue kuna Watu 158 hawa wame contribute karibia nusu.

Source

-Hapo bado huja weka Wafanyabiashara wa kati ambao ndio wengi zaidi wenye Milioni Mia kadhaa hadi bilioni 19.

Hivyo mkuu Zunguka unavyotaka kuna watu wachache wanaendesha hii nchi, wengi wetu humu tupo tupo tu tunamaliza soli za Viatu.
Unaeleza Vizuli sana ila kuna kitu unachanganya Mfanyabiashara ni agent tu anaeisaidia serikali kukusanya kodi kutoka kwa hao unaofikili hawalipi kodi, Ipo kama hivi tuseme gharama za Uzalishaji wa Mfuko mmoja wa Cement ni Tsh 12,000/= basi Mzalishaji huongeza faida yake tuseme 3,000/= kisha serikali inaongeza VAT 18% fanya 2000, Hivyo Cement itauzwa 12,000/=+3,000/=+2000= Jumla 17,000/= Kodi zote zitakazolipwa zinatoka kwa Mlaji wa Mwisho hata ile direct Tax itakayolipwa na kampuni bado inakatwa kwenye Faida wala sio kwenye Mtaji wake hupaswi kuwazarau hao watu wa kati na chini kimsingi ndio walipa kodi wakuu
 
Soma mada, Mleta mada a nazungumzia specific uwepo wa matajiri mimi nimekuja na specific figure tuna Milionea 2400,

Pia huwezi fananisha Tanzania na Australia unajua fika hilo wametuacha mbali ila unataka tu ulete Ubishi wa kitoto.

Kwa wenzetu Wa ndondo cup, tupo top 10 kwenye Both Matajiri wa milionea na matajiri wenye Atleast $10M,

Source

Kwa wenzetu ni rahisi kupata $1M usd ila kutokana na Gharama za maisha ata afford vitu vichache compare na huku,

Mfano angalia bei za Apartment za Sydney hapo, Dola 600,000 unapata Chumba, ukitaka Apartment nzuri ndio hio 1m+

Ila Tanzania Same apartment utaipata dola 40,000-150,000 kutegemea na location.

So kwa maisha ya kwetu huku kuwa millionaire kunakupa purchasing power kubwa sababu cost of living ni ndogo.
Nimesoma mada nikailewa vizuri sana na comment yangu haiko nje ya mantiki ya mleta mada. Sina ubishi wa kitoto mimi, ila wewe ndio unataka kuleta ubishi wa kichawa hapa.

Ni kweli siwezi fananisha Australia na Tanzania ila ni aibu sana taifa lenye watu 61m kuwa na millionaire 2,400 tu wanaotambulika, sasa wewe CHAWA unataka kufanya ionekane ni jambo la kujivunia... na ndio maana unatumia maneno kama "si haba" yaan unachofanya ni kutaka wote tu embrace mediocrity upuuzi huo.

Na pia kujilinganisha au kujipima na watu walioshindwa kama wewe na kisha kuishia kujipongeza kwamba eti una ahueni huo ni ufinyu wa maarifa, yaan kwa vile tu Congo ina population ya watu 102m ila wana mamilionea wasiofika hata 1,500 wakati huo sisi tuna population ya watu 61m ila idadi ya mamilionea tunawazidi Congo basi ndio yapaswa tujipongeze? Wewe jamaa inavyoonekana hata darasani ilikuwa ukishika nafasi ya kwanza hata kama umepata 20% ulikuwa unajipongeza japo umekuwa wa kwanza kwa wajinga.

Na pia kuhusu suala la bei za apartments please usiongee kitu usichokijua na kudanganya watu hapa sababu ya uchawa wako, bei za apartments kwa bongo ni za kipuuzi sana.... yaan nyumba yq $200,000 kwenye nchi yoyote ile iloyoendelea ukija bongo hapa mitaa ya Masaki utaambiwa sio chini ya bilioni moja ya madafu.

Ukitembela pages za madalali wa bongo hapa utakuta wanazitangaza nyumba za kawaida sana eti zinauzwa kwa mabilioni ya pesa.. yaani house market pricing haiendani kabisa na purchasing power ya wabongo.

Kwa maisha ya kwetu huku ni sawa ukiwa milionea utaishi kifahari sana sababu ya higher puchasing power, ila sasa je unaweza kuufikia huo umilionea kwa hii mifumo iliyopo? Bongo hapa mtu anafanya kibarua kwanzia hasubui alfajiri hadi saa 2 usiku halafu analipwa 10,000/= na wakati wenzetu kule kibarua kila saa moja inayokatika analipwa $15.
 
Nafikiri miradi inayoweza kumfanya mtu au taasisi kuwa na utajiri zaidi ya GDP ya nchi itahitaji soko kubwa zaidi ya kuhudumia. Yaani bidhaa na huduma mbalimbali zitahitajika kuuzwa nje ya Tanzania na kukubalika katika masoko mbalimbali
Kuna mtu kasema hapo kuwa zao la korosho tu pekee linatuingizia zaidi ya $4b kwa mwaka, sasa labda atuambie mbinu iliyotumika kukuza pato hilo kwa kiasi kikubwa hivyo hili tutumie mbinu hizo hizo kukuza mapato ya sekta zingine
 
Unaeleza Vizuli sana ila kuna kitu unachanganya Mfanyabiashara ni agent tu anaeisaidia serikali kukusanya kodi kutoka kwa hao unaofikili hawalipi kodi, Ipo kama hivi tuseme gharama za Uzalishaji wa Mfuko mmoja wa Cement ni Tsh 12,000/= basi Mzalishaji huongeza faida yake tuseme 3,000/= kisha serikali inaongeza VAT 18% fanya 2000, Hivyo Cement itauzwa 12,000/=+3,000/=+2000= Jumla 17,000/= Kodi zote zitakazolipwa zinatoka kwa Mlaji wa Mwisho hata ile direct Tax itakayolipwa na kampuni bado inakatwa kwenye Faida wala sio kwenye Mtaji wake hupaswi kuwazarau hao watu wa kati na chini kimsingi ndio walipa kodi wakuu
Hapo ndio mnapokosea mfanya biashara ni mtu anayeweza fanya kodi ikalipwa 5,000 ama 5,000,000,000,000, as I said biashara si uteuzi bali ujasiriamali, mfanyabiashara ni creative kila siku anafikiria namna gani ataingiza hela On process na serikali nayo inapata hela.

Unapokuwa na mfanyabiashara mzuri ndio jinsi serikali nayo inapata hela zaidi.

Hao wajasiriamali walioweza kutengeneza mabilioni hadi Matrilioni ya hela kwa uwezo wao ndio wanatulea na sisi.
 
Nimesoma mada nikailewa vizuri sana na comment yangu haiko nje ya mantiki ya mleta mada. Sina ubishi wa kitoto mimi, ila wewe ndio unataka kuleta ubishi wa kichawa hapa.

Ni kweli siwezi fananisha Australia na Tanzania ila ni aibu sana taifa lenye watu 61m kuwa na millionaire 2,400 tu wanaotambulika, sasa wewe CHAWA unataka kufanya ionekane ni jambo la kujivunia... na ndio maana unatumia maneno kama "si haba" yaan unachofanya ni kutaka wote tu embrace mediocrity upuuzi huo.

Na pia kujilinganisha au kujipima na watu walioshindwa kama wewe na kisha kuishia kujipongeza kwamba eti una ahueni huo ni ufinyu wa maarifa, yaan kwa vile tu Congo ina population ya watu 102m ila wana mamilionea wasiofika hata 1,500 wakati huo sisi tuna population ya watu 61m ila idadi ya mamilionea tunawazidi Congo basi ndio yapaswa tujipongeze? Wewe jamaa inavyoonekana hata darasani ilikuwa ukishika nafasi ya kwanza hata kama umepata 20% ulikuwa unajipongeza japo umekuwa wa kwanza kwa wajinga.

Na pia kuhusu suala la bei za apartments please usiongee kitu usichokijua na kudanganya watu hapa sababu ya uchawa wako, bei za apartments kwa bongo ni za kipuuzi sana.... yaan nyumba yq $200,000 kwenye nchi yoyote ile iloyoendelea ukija bongo hapa mitaa ya Masaki utaambiwa sio chini ya bilioni moja ya madafu.

Ukitembela pages za madalali wa bongo hapa utakuta wanazitangaza nyumba za kawaida sana eti zinauzwa kwa mabilioni ya pesa.. yaani house market pricing haiendani kabisa na purchasing power ya wabongo.

Kwa maisha ya kwetu huku ni sawa ukiwa milionea utaishi kifahari sana sababu ya higher puchasing power, ila sasa je unaweza kuufikia huo umilionea kwa hii mifumo iliyopo? Bongo hapa mtu anafanya kibarua kwanzia hasubui alfajiri hadi saa 2 usiku halafu analipwa 10,000/= na wakati wenzetu kule kibarua kila saa moja inayokatika analipwa $15.
Bosi hizo apartments siongei tu kutojua unaifahamu vizuri nina family/Family friends kibao wanamiliki hizo apartments including masaki, tofautisha nyumba na Apartment, Nyumba moja inakua na apartment hata 20, labda kama hujui Apartment ni nini kusema Apartment masaki ni bilioni huna unalolijua. Hio Apartment inayozidi 100,000 itakua masaki beach kabisa na mafacilities kibao
images (56).jpeg

Hio ni project ya masaki.

Sehemu za kawaida za wafanyabiashara kama Kariakoo na mjini Apartment unapata milioni 100-120 ambayo ni 40k-50K tena Kubwa vyumba vitatu.

Na hatuongelei vibarua tunaongelea Milionea.

Again Tanzania ifananishe na watu wa Ukanda wake, Kama Africa Nzima inashika nafasi ya 6-7 huku kukiwa na Mataifa kama South Africa, Nigeria, Egpty, Algeria, Libya, Morocco, Ghana, Kenya, Ethiopia etc inaonesha Ukanda wetu tupo vizuri, hayo Ya Australia malizia wewe.
 
View attachment 3328416

Wewe ndio hujui kabisa hata maana ya apartment, nakuona umekariri maana ya apartment kwa mintarafu ya kibongo bongo, nyie wabongo si hata mkiona nyumba zinazofanana tu ziko karibu mnaziita apartments?😂 sasa na wewe umechotwa na akili na mkondo huo.

Nani amekwambia apartment ni chumba? Unajifanya mjuaji kumbe bogasi tu..

Na pia kama ungekuwa na akili ungeona kwenye comment yangu nimeongelea house market pricing kwa ujumla kuwa kwa tanzania hii bei za nyumba haijalishi ni apartment au normal residential house tu, bei za hapa bongo ni za kipuuzi sana yaani hazilingani na ubora wa nyumba.

Unakuta kigorofa cha ajabu ajabu tu ambacho very substandar eti agent anakuropokea kinauza 800m mpaka huwa nabaki nashangaa.

Modern luxury house ambayo kwenye fukwe za Capetown unaipata kwa $500k ukija bongo hapa maeneo ya mbezi beach unaambiwa tsh.3b tena unakuta material yake hayana ubora kama yale ya ile ya Capetown.... Halafu wewe chawa uko hapa kupiga kelele eti tanzania kuna unafuu wa bei kwenye real estate industry kulinganisha na nchi zilizoendelea?

Na pia nimekwambia usipende kujilinganisha na walioshindwa kama wewe, hizo ni dalili za kuridhika na umaskini.

Ukiridhika kuwa mtu wa 6 kwenye wajinga 54 ambao kihalisia dunia inawatambua kuwa ni kundi la wajinga, huko ni kukubali kabisa wewe ni mjinga.
 
Comprehension janga la Taifa still hii comment inaonesha hujajua lolote na bado una misrepresent maana ya apartment.

Long story short weka ushahidi wa hio apartment ambayo Australia ni 200k usd na bongo ni 1B tsh

Nipo hapa nasubiria
 
Kwamba unataka nikuletee picha za Nyumba zinazouzwa Sydeny kwanzia mandhari ya nje, ndani, areal view na bei zake sio kisha nije na nikupostie na zile nyumba zenu za masaki nifanye hivyo hivyo?... yaani yote hiyo nafanye kwa ajili ya kuprove nini hasa wakati mtu mwenyewe chawa wa serikali ambaye huko hapa kufanya kazi yako ya kichawa kuaminisha watu tanzania ina ahueni ya maisha kinyume na uhalisia?

Sina huo muda mchafu wa kufanya hicho unachoniambia, ninachoweza kukwambia nenda wewe mwenyewe kwenye site kama Broomrivesrstone na Horizonhustiville, angalia nyumba zilizopo na bei zake kisha ukimaliza hapo upite kule instagram kwenye pages za madalali maarufu wa bongo uone bei za ajabu na nyumba zilizopo kisha ufanye comparison mwenyewe.
 
Nyie pro lumumba endeleeni kusifu na kuabudu huku mkisema mama mitano Tena ,mama anaupiga mwingi,goli la mama,lumumba Mambo yenye akili kubwa kaeni pembeni,uko serious kabisa Tanzania inauchumi mkubwa kuliko marekani,umewahi kufika huku nanjilinji
 
Ha

Hawa jamaa signal zao hazisomi
 
Takwimu zinaweza kutofautiana kutokana na chanzo cha taarifa na sababu zinginezo.

Kwa mujibu wa IMF, GDP ya Tanzania ni dola [za Kimarekani] bilioni 85.

Kuna watu huwa wanadai Tanzania kuna hela na Watanzania wana hela.

Okay, sawa. Labda sisi wengine tuonavyo tofauti huwa hatuelewi, hatujui, au yawezekana tuna matatizo mengine tu.

Ukiwasikiliza wanaodai kuwa Watanzania wana hela, unaweza kudhani Tanzania ndo nchi yenye uchumi mkubwa zaidi duniani.

Watanzania wananunua na kujenga majumba ya mabilioni ya dola [au ni shilingi?]. Hivyo, Watanzania wana hela.

Sasa, pengine kwa ujinga wangu mimi, nauliza hivi:

Hivi nchi kama Tanzania yenye GDP ya dola bilioni 85 [kwa muktadha tu, Marekani ina GDP ya dola trilioni 30], inaweza kuzalisha matajiri wenye utajiri zaidi ya dola bilioni 85?

Yaani Tanzania yenye GDP ya dola bilioni 85, iwe na matajiri wenye utajiri wa zaidi ya dola bilioni 85, tuseme labda bilioni 90, bilioni 100, na kadhalika?

Hilo linawezekana kweli?

The math ain’t mathing, please make it make sense.
Kwa mara ya kwanza unaonesha ulivyo ngwini.
 
Nyie pro lumumba endeleeni kusifu na kuabudu huku mkisema mama mitano Tena ,mama anaupiga mwingi,goli la mama,lumumba Mambo yenye akili kubwa kaeni pembeni,uko serious kabisa Tanzania inauchumi mkubwa kuliko marekani,umewahi kufika huku nanjilinji
Comment ya juu imejibu comment yako hii, comprehension bado ni janga la Taifa, Soma uelewe. Na si kila mtu ni lumumba na Chadema, hutaniona kokote kwenye hivyo vyama vyenu.
 
Kwamba unataka nikuletee picha za Nyumba zinazouzwa Sydeny kwanzia mandhari ya nje, ndani, areal view na bei zake sio kisha nije na nikupostie na zile nyumba zenu za masaki nifanye hivyo hivyo?... yaani yote hiyo nafanye kwa ajili ya kuprove nini hasa wakati mtu mwenyewe chawa wa serikali ambaye huko hapa kufanya kazi yako ya kichawa kuaminisha watu tanzania ina ahueni ya maisha kinyume na uhalisia?

Sina huo muda mchafu wa kufanya hicho unachoniambia, ninachoweza kukwambia nenda wewe mwenyewe kwenye site kama Broomrivesrstone na Horizonhustiville, angalia nyumba zilizopo na bei zake kisha ukimaliza hapo upite kule instagram kwenye pages za madalali maarufu wa bongo uone bei za ajabu na nyumba zilizopo kisha ufanye comparison mwenyewe.
Za Sydney tunaziona online, eka hio ya masaki, Google unavyoweza data Zote zipo mtandaoni tutoane ushamba wa Apartment za Bilioni.
 
Back
Top Bottom