GDP ya Tanzania na matajiri wake

GDP ya Tanzania na matajiri wake

Hahaaa!

Kwa hiyo Tanzania inaweza kuwa na tajiri namba moja duniani eh?
Hilo linawezekana kabisa.

Ni suala oa kuuza nchi tu.

Ila lazima watanzania Watanzania watakuwa hohe hae viazi.

Unawapa mabepari wanachotaka, ukianza na Ardhi, madini na raslimali zote forever.

Watajenga kila unachotaka, na nchi itapendeza sana kupigia picha kabla hujaenda kulala zako kwenye nyimba za udongo.
 
fikiria tu kwa mfano raisi wa anatoa fedha kugawia wacheza mpira baada ya bajeti kupitishwa, anazitoa wapi hizo fedha? kwa maana kwenye nchi yenye “uchumi” ni lazima kila shilingi ijulikane ilipotoka na iwe na bajeti yake na ndiyo maana ya bajeti, sasa kama raisi anaweza kutoa fedha wakati wowote anazitoa wapi? ina maana kuna mahali kuna minus kwenye bajeti ya sehemu fulani, na huo ni mfano tu kila waziri anafanya hivyo, mkuu wa mkoa, ceo wa mashrika ya umma kila mahali ni hivyo hakuna accountability yoyote huko kwenye halmashauri ndiyo usiseme ni self service …
Sijawahi kuona kiongozi wa nchi zenye chumi zilizoendelea kugawa gawa hela kwa timu za mpira, makanisa, misikiti, wala watu binafsi.

Huku kwetu Rais anawaga tu hela na watu walio wengi wala hawahoji hizo hela anazozigawa zinatoka wapi!
 
Achana na takwimu za IMF.

Hivi hujiulizi mambo yafutayo:

- Kwanini sarafu ya Ethiopia, BIRR na GDP yao ilikuwa kubwa kiasi kwamba IMF waliona Ethiopia inapika Data, wakawaamuru washushe thamani ya BIRR.

- Kwanini kila siku Marekani inaishutumu China, kwa kuweka thamani yao ya shilingi, YUAN chini wakati kwa exports wanazofanya ilitakiwa kuwa HIGH??

Hizi ni hoja zinahitaji fikra huru kabisa.
Nipashe basi mie sijui
 
Hizi GDP binafsi huwa naina ni za mchongo sana.

GDP ni rahisi sana kuoiwa na kuwekwa kwenye namba unayotaka mwenyewe.

Nchi kama Marekani haizidi China kwa chpchpte kwa sasa.

Quality ya maisha ya China ni zaidi ya Marekani ila Marekani ana GDP kunwa sana kuliko China.

Nenda Kwnya hapo uome Wakenya wanavyotaabika, ila wana GDP kubwa kuliko Tanzania.

======

Katika pita pita zangu nimegundua GDP inapikwa sana.

Kwanaza Kenya kwasasa pamoja na ukubwa wa GDP yao ni kama haikopesheki.

Kenya inachonga mpaka bodaboda eti wanachangia 4.4% ya GDP yao, yaani Ksh 660 billioms kila mwaka, kitu ambaocho ni possibly cha kupika.

====
Kiuhalisia Tanzania inaweza kuwa hata namba 5 kwa ukunwa wa GDP kwa Afrika ikitaka, ila hakuna sababu hoyo sasa maana haina mantiki.

View attachment 3328033
Duh!

Hata sijaelewa ulichoandika hapo!
 
Hivi nchi kama Tanzania yenye GDP ya dola bilioni 85 [kwa muktadha tu, Marekani ina GDP ya dola trilioni 30], inaweza kuzalisha matajiri wenye utajiri zaidi ya dola bilioni 85?
Mkuu, nikujibu eneo hili tu.
Iko hivi Pato la serikali kwa mwaka,GDP linajumlisha government spending na investment, ukijumlisha pia mapato ya hao matajiri na watu wa pato la kati.

Kwa mantiki hiyo, pato la matajiri wa nchi husika halifikii hata ¼ ya pato la taifa kwa mwaka,GDP.
Mathalan, pato la matajiri wote wa America na middle class yao hawafikii hata robo ya hiyo trillioni 30 GDP.

Hata kwa Tanzania hali iko hivyo.
 
Duh!

Hata sijaelewa ulichoandika hapo!
Hoja yangu ni kwamba, Serikali ingeweza kusema bodaboda wanaingiza mapato ya billion 800 kwa mwaka kwenye pato la taifa, ukijumlisha na sekta nyingine basi TZ inakuwa na GDP ya 150 Trillions.

Unaona kama Kenya wanasema Bodaboda zao zinaingiza billions 660 kwenye pato la taifa kwa mwaka, ambayo ni 4.4% ya GDP yao.

Screenshot_20250501_121219_X.jpg
 
Ni nini maana ya income inequality kwako?
Income inequality ni utofauti baina ya mwenye Nacho na asiye nacho, kuna mwalimu kwa mwezi analipwa Laki 3 na kuna mtu anatumia Mshahara wa mwalimu wa mwaka mmoja kulipa tu chakula cha usiku. Data zipo Zinaitwa Gini coefficient Google utazipata.
Nchi hii kila jamii ilikuwa na tamaduni zake.

Masai na ng'ombe
Wasukuma ni kilimo na ufugaji
Wachagga na maduka
Wahindi na maduka.
Sababu unachunga Ng'ombe ama Unalima haimaanishi umeondolewa majukumu ya kulipa kodi na kusaidia Jamii yako.

Mfanyabishara ana turnover milioni 80 Analipa hadi milioni 3 Tra kule, Why Anayeuza Ng'ombe 100 ama 200 asilipe kodi?
Ulitaka kila mtu auze duka ili ionekane kila mmoja ni tajiri wa maduka kama wahindi??

Watu wanalipwa miahahara kwasababu wqnazalisha?

Nani analipwa msgahara wa bure nchi hii?

Hao wanaolipwa mishahara ndio walipa kodi wakubwa nchi hii.
Sijakataa wanalipwa mishahara hawalioni kodi, the point is unahitaji kuwa na hela ulipe mishahara ili uje upate kodi ya mishahara.
Deni la taifa linapaswa kujenga miundombinu ili uzalishaji uongezeje.

Kwa akili yako unafikiri mtu akiwa taniri ndio analipa kodi kubwa??
Yes Matajiri ndio wanalipa kodi Kubwa, Hata akikimbia kodi Tajiri lest say alitakiwa kulipa kodi Bilioni 10 atalipa 8, amekwepa ila pia kalipa.

Small to medium Business nyingi hazilipi kabisa, mtu alitakiwa alipe Milioni 5 Analipa 0, mtu toka kazaliwa Nyumba na usafiri hajawahi lipa kodi kipato chake.
Mfumo wa kodi nchi hii unategema zaidi Consumerism, VAT ambao walipaji wakubwa ni watu wa kawaida.

Tanzania mali za kitajiri kama majumba hayatozwi kodi kwa usahihi.

Hakuna kodi ya kikundi kidogo inayoemdesha nchi hii.

kodinza kuendesha nchi ni watu wa chini.
We jamaa huna data kabisa, ushawahi hata kuangalia List ya walipa Kodi wakubwa? Ni NMB, TBL, Tanga Cement, Bakhresa, Mitandao ya Simu,etc. Hao ndio wanaendesha Nchi kila siku Zikitoka Report za walipa kodi utasikia lawama kwa wafanyabiashara wadogo. Ukishakua biashara kubwa kukwepa kodi inakua Ngumu sana.
Soma tena sherua za fedha kisha urudi hapa unambie ni sheria ipi ina target matajiri.

Juzi tu tumetoka kwenye Tozo za miamala ambazo walipaji ni masikini
Anaelipa hio kodi ni Tigo na Voda etc sio wewe, wewe umetozwa hio gharama kwa huduma uliopewa, umelipa tu indirect, tu nazungumzia hapa kipato chako, unaingiza Milioni 1 ama 2 ama 5 kwa mwezi, toka kipato chako umelipa kodi? Una Tin TRA?
Kwahiyo madiniwanachimava wahindi??

Unadharaunwakukima kwasababu siyo wanaosafiriaha kwenda nje??

Wewe jamaa ni boya.

Check mwaka jana, Nchinimepata kiasi ganinkwenye exports ya korosho.

Kuna Mhindi ana shamba la korosho Mtwara??
Hao wahindi walipogoma kununua korosho zilidoda ama Hazikudoda? Serikali iliweza kulipa Wakulima?
 
Achana na takwimu za IMF.

Hivi hujiulizi mambo yafutayo:

- Kwanini sarafu ya Ethiopia, BIRR na GDP yao ilikuwa kubwa kiasi kwamba IMF waliona Ethiopia inapika Data, wakawaamuru washushe thamani ya BIRR.

- Kwanini kila siku Marekani inaishutumu China, kwa kuweka thamani yao ya shilingi, YUAN chini wakati kwa exports wanazofanya ilitakiwa kuwa HIGH??

Hizi ni hoja zinahitaji fikra huru kabisa.
@Xi Jiping tafadhari!
 
Takwimu zinaweza kutofautiana kutokana na chanzo cha taarifa na sababu zinginezo.

Kwa mujibu wa IMF, GDP ya Tanzania ni dola [za Kimarekani] bilioni 85.

Kuna watu huwa wanadai Tanzania kuna hela na Watanzania wana hela.

Okay, sawa. Labda sisi wengine tuonavyo tofauti huwa hatuelewi, hatujui, au yawezekana tuna matatizo mengine tu.

Ukiwasikiliza wanaodai kuwa Watanzania wana hela, unaweza kudhani Tanzania ndo nchi yenye uchumi mkubwa zaidi duniani.

Watanzania wananunua na kujenga majumba ya mabilioni ya dola [au ni shilingi?]. Hivyo, Watanzania wana hela.

Sasa, pengine kwa ujinga wangu mimi, nauliza hivi:

Hivi nchi kama Tanzania yenye GDP ya dola bilioni 85 [kwa muktadha tu, Marekani ina GDP ya dola trilioni 30], inaweza kuzalisha matajiri wenye utajiri zaidi ya dola bilioni 85?

Yaani Tanzania yenye GDP ya dola bilioni 85, iwe na matajiri wenye utajiri wa zaidi ya dola bilioni 85, tuseme labda bilioni 90, bilioni 100, na kadhalika?

Hilo linawezekana kweli?

The math ain’t mathing, please make it make sense.

Tanzania tuna viongozi waajabu sana .
Pesa nyingi Tanzania zimefichwa majumbani .
Wahindi na Waarabu na mawaziri wengi hawawezi pesa benki .

Wahindi ,waarabu ,Wasomalia wengi hawaweki pesa benki kwa sababu riba kwao ni haramu .
Wazungu wanatorosha madini bila mfumo rasmi wa kujua kiasi chake.

Wakubwa wanaogopa kuweka pesa benki maana sio za halali .
Watu wanaiba pesa za umma na kwenda kununua apartment Dubai.

Shirika la Nyumba ,Bandari , Tenapa na TANESCO ndiyo mashirika yaliyotakiwa kuingiza Nusu ya pato la nchi lakini bado yanapewa ruzuku kutoka kwenye mikopo na kodi za wauza vocha
 
Hizi GDP binafsi huwa naina ni za mchongo sana.

GDP ni rahisi sana kuoiwa na kuwekwa kwenye namba unayotaka mwenyewe.

Nchi kama Marekani haizidi China kwa chpchpte kwa sasa.

Quality ya maisha ya China ni zaidi ya Marekani ila Marekani ana GDP kunwa sana kuliko China.

Nenda Kwnya hapo uome Wakenya wanavyotaabika, ila wana GDP kubwa kuliko Tanzania.

======

Katika pita pita zangu nimegundua GDP inapikwa sana.

Kwanaza Kenya kwasasa pamoja na ukubwa wa GDP yao ni kama haikopesheki.

Kenya inachonga mpaka bodaboda eti wanachangia 4.4% ya GDP yao, yaani Ksh 660 billioms kila mwaka, kitu ambaocho ni possibly cha kupika.

====
Kiuhalisia Tanzania inaweza kuwa hata namba 5 kwa ukunwa wa GDP kwa Afrika ikitaka, ila hakuna sababu hoyo sasa maana haina mantiki.

View attachment 3328033
Mzee we ni lumumba et
 
Income inequality ni utofauti baina ya mwenye Nacho na asiye nacho, kuna mwalimu kwa mwezi analipwa Laki 3 na kuna mtu anatumia Mshahara wa mwalimu wa mwaka mmoja kulipa tu chakula cha usiku. Data zipo Zinaitwa Gini coefficient Google utazipata.
Vipato havifanani, lakini hiyo siyo tafsiri ya income inequality. Unless kwako ulitaka watu wote kila mmoja kama malipo ni lakinna nusu basi kila mtu alipwe hivyo.
Sababu unachunga Ng'ombe ama Unalima haimaanishi umeondolewa majukumu ya kulipa kodi na kusaidia Jamii yako.
Hakuna mtu anaysema watu wasilipe kodi. Hiyo ni tafsiri yako. Kama hawalipi direct taxes hiyo ni weakness ya mifumo ya nchi.
Mfanyabishara ana turnover milioni 80 Analipa hadi milioni 3 Tra kule, Why Anayeuza Ng'ombe 100 ama 200 asilipe kodi?
Nani kasema muuza ng'ombe asilipe kodi?
Sijakataa wanalipwa mishahara hawalioni kodi, the point is unahitaji kuwa na hela ulipe mishahara ili uje upate kodi ya mishahara.
Wanalipwa mishahara kwasababu ya kazi wanazofanya.

Mishahara siyo misaada.
Yes Matajiri ndio wanalipa kodi Kubwa, Hata akikimbia kodi Tajiri lest say alitakiwa kulipa kodi Bilioni 10 atalipa 8, amekwepa ila pia kalipa.
Leta hapa uthibitisho kuwa matajiri wanalipa kodi kubwa. Unless kama una-include PAYE, na VAT ambayo kiuhalisia siyo pesa yao.
Small to medium Business nyingi hazilipi kabisa, mtu alitakiwa alipe Milioni 5 Analipa 0, mtu toka kazaliwa Nyumba na usafiri hajawahi lipa kodi kipato chake.
Hilo ni tatizo la mfumo wa nchi. Sijui hoja yako ni nini hapa, maana hueleweki.
We jamaa huna data kabisa, ushawahi hata kuangalia List ya walipa Kodi wakubwa? Ni NMB, TBL, Tanga Cement, Bakhresa, Mitandao ya Simu,etc. Hao ndio wanaendesha Nchi kila siku Zikitoka Report za walipa kodi utasikia lawama kwa wafanyabiashara wadogo. Ukishakua biashara kubwa kukwepa kodi inakua Ngumu sana.
Leta hapa hizo takwimu kama zipo kwa public consumption
Anaelipa hio kodi ni Tigo na Voda etc sio wewe, wewe umetozwa hio gharama kwa huduma uliopewa, umelipa tu indirect, tu nazungumzia hapa kipato chako, unaingiza Milioni 1 ama 2 ama 5 kwa mwezi, toka kipato chako umelipa kodi? Una Tin TRA?

Hao wahindi walipogoma kununua korosho zilidoda ama Hazikudoda? Serikali iliweza kulipa Wakulima?
Wewe jamaa ni kiazi.

Makampuni yanalipa Kodi, ila VATA na PAYE siyo mali ya makampuni. Yanakusanya hizo pesa kwa niaba tu ya serikali kutoka kwa consumer wao.
 
Ukimwondoa Bakhressa, Mo Dewji anabaki Diamondi na Harmonizer tu. Hawa ndio role model wetu.

Nje ya hapo ni mafisadi tu
FYI , 3/4 ya uchumi wa tanzagiza unamilikiwa na wahindi ambao idadi yao ni < laki 2 ya population yote, hivyo black economy ni way way too small kama ukiondoa wahindi …
 
Nadhani wanaweza kuwepo matajiri wenye mali kubwa kuliko GDP kwasababu kuna matajiri wana kampuni za kimataifa, hawafanyi biashara tanzania pekee.

Mfano MeTL group, Bakhresa group, Lake group/Azania group nk. za familia ya Awadh...

Mo Dewji alizungumzia hichi kitu vizuri nadhani;
Mo Dewji on diversification
 
Hahaaa!

Kwa hiyo Tanzania inaweza kuwa na tajiri namba moja duniani eh?
Tanzania itakapokuwa na tajiri nammba moja duniani kuna masuala mawili.
1.Huyo tajiri wa kitanzania atakuwa amefanya investment pia katika nchi nyingine zenye uchumi mkubwa au nchi mbalimbali kama unavyomuona Elon Musk.
2. Tanzania yenyewe kama nchi itakuwa na GDP kubwa sana kwa wakati huo.

Kiufupi,GDP ya nchi husika kwa namna fulani ni kioneshi cha ukubwa wa utajiri wa watu waliomo.
Hawa matajiri uinaowaona wakubwa sana,tunawaona hivyo kwa vile sisi wa daraja la chini yake hatuna kitu kabisa....lakini katika hali halisi ukilinganisha na wenzetu pato la matajiri hawa liko chini sana....na ndo kielelezo cha umaskini wa nchi yetu.

Pata picha kwa mfano kampuni ya Walmart pato lake la mwaka jana pekee ni $648 Billioni. Hilo ni pato la mwaka la nchi za Kenya,Tanzania ,Uganda,rwanda,Burundi,Zambia Mozambique, Malawi,Zimbabwe....na bado chenji inabaki.
Bado ni maskini sisi,tupigane kweli kweli kujitoa tulipo
 
Sijawahi kuona kiongozi wa nchi zenye chumi zilizoendelea kugawa gawa hela kwa timu za mpira, makanisa, misikiti, wala watu binafsi.

Huku kwetu Rais anawaga tu hela na watu walio wengi wala hawahoji hizo hela anazozigawa zinatoka wapi!

ndiyo hapo mjue kwamba hata hiyo bajeti wanaosoma bungeni siajabu ni feki kwa maana ya kwamba haitekelezeki na sijui cag na ripoti yake usanii mtupu kwani hizo fedha wanazochezea ni lzm ingeonekana mahali kwenye hizo ripoti za cag …
 
Back
Top Bottom