GDP ya Tanzania na matajiri wake

GDP ya Tanzania na matajiri wake

Mimi sio mchumi ila kwa common sense kwa Muktadha wa swali, Tanzania hili mtu awe na hadhi ya kuitwa Tajiri au milionea awe na uwezo kiasi gani wa kifedha?million 100-500? Or billion?1-10? Au zaidi??tukijua itakua rahisi, mfano marekani unakua na status milionea ukiwa na USD 40M,means unaweza fanya matumizi anayofanya bilionea,ila ukiwa na 2M or 5 matumizi yako yatakua limited Sana
 
Hoja yangu ni kwamba, Serikali ingeweza kusema bodaboda wanaingiza mapato ya billion 800 kwa mwaka kwenye pato la taifa, ukijumlisha na sekta nyingine basi TZ inakuwa na GDP ya 150 Trillions.

Unaona kama Kenya wanasema Bodaboda zao zinaingiza billions 660 kwenye pato la taifa kwa mwaka, ambayo ni 4.4% ya GDP yao.

View attachment 3328078
Nilijbu vile kwa namna ulivyoandika.
Hicho ulichokifafanua sasa mbona huwa kinafanyika mkuu...labda kama hawajumlishi au hawaweki bayana mapato yanayotokana na hivi vyanzo vidogo vya kiuchumi kama ulivyotaja bodaboda.
Lakini tunafahamu sekta kama utalii omeingiza pato kiasi gani kwa mwaka. Na ndivyo ilivyo kwa sekta ya madini.
Na serikali lazima ijue vyanzo vyake vya mapato ili ijue namna ya kuviboresha na kuangalia uwezekano wa kuongeza vingine.
 
Yes Matajiri ndio wanalipa kodi Kubwa, Hata akikimbia kodi Tajiri lest say alitakiwa kulipa kodi Bilioni 10 atalipa 8, amekwepa ila pia kalipa
Hizi ni takwimu recently, zinaonesha HAO MATAJIRI wa MAKAMPUNI walilipa Trillioni 2.9 pekee kati ya makusanyo ya TRA ya Tsh Trillion 24.
images (3).jpeg

We jamaa huna data kabisa, ushawahi hata kuangalia List ya walipa Kodi wakubwa? Ni NMB, TBL, Tanga Cement, Bakhresa, Mitandao ya Simu,etc. Hao ndio wanaendesha Nchi kila siku Zikitoka Report za walipa kodi utasikia lawama kwa wafanyabiashara wadogo. Ukishakua biashara kubwa kukwepa kodi inakua Ngumu sana.
Ndio hiyo Trilion 2.9 kwa mwaka, Total.
images (3).jpeg

Anaelipa hio kodi ni Tigo na Voda etc sio wewe, wewe umetozwa hio gharama kwa huduma uliopewa, umelipa tu indirect, tu nazungumzia hapa kipato chako, unaingiza Milioni 1 ama 2 ama 5 kwa mwezi, toka kipato chako umelipa kodi? Una Tin TRA?
Kipato changu kwenye nini, kama ni mshahara nalipa kodi.

Kama nina kampuni hata kama ni sole proprieator nalipa kodi.

Sijawahi kuona kiongozi wa nchi zenye chumi zilizoendelea kugawa gawa hela kwa timu za mpira, makanisa, misikiti, wala watu binafsi.

Huku kwetu Rais anawaga tu hela na watu walio wengi wala hawahoji hizo hela anazozigawa zinatoka wapi!
Mamabo ya kugawa gawa pesa ni mambo ya matumizi siyo mambo ya GDP.

Na ukisema hujawahi kuona, Marekani walikuwa wanagawa gawa sana pesa kupitia USAID.

Ni matumizi ingawa ni ya ovyo, wala huo siyo mjadala.
 
Attachments

  • images (2).jpeg
    images (2).jpeg
    62.5 KB · Views: 15
Hilo linawezekana kweli?
Ni akili ndogo na siyo ya darasani: Kuna mtu ana hela kuliko serikali??? Huwezi kuwa na hela kuliko dola!

Nb: Nimechukulia kila raia na taifa lake! Mfano :Elon Musk vs Serikali ya Marekani!
 
Tanzania itakapokuwa na tajiri nammba moja duniani kuna masuala mawili.
1.Huyo tajiri wa kitanzania atakuwa amefanya investment pia katika nchi nyingine zenye uchumi mkubwa au nchi mbalimbali kama unavyomuona Elon Musk.
2. Tanzania yenyewe kama nchi itakuwa na GDP kubwa sana kwa wakati huo.

Kiufupi,GDP ya nchi husika kwa namna fulani ni kioneshi cha ukubwa wa utajiri wa watu waliomo.
Hawa matajiri uinaowaona wakubwa sana,tunawaona hivyo kwa vile sisi wa daraja la chini yake hatuna kitu kabisa....lakini katika hali halisi ukilinganisha na wenzetu pato la matajiri hawa liko chini sana....na ndo kielelezo cha umaskini wa nchi yetu.

Pata picha kwa mfano kampuni ya Walmart pato lake la mwaka jana pekee ni $648 Billioni. Hilo ni pato la mwaka la nchi za Kenya,Tanzania ,Uganda,rwanda,Burundi,Zambia Mozambique, Malawi,Zimbabwe....na bado chenji inabaki.
Bado ni maskini sisi,tupigane kweli kweli kujitoa tulipo
Hakika wewe unaelewa na umeelezea vyema sana kuliko ambavyo ningeweza kuelezea!

Well done!
 
Mimi nisaidieni kati ya GDP NA GNP na calculations au components kwenye formula, best regards
 
Nilijbu vile kwa namna ulivyoandika.
Hicho ulichokifafanua sasa mbona huwa kinafanyika mkuu...labda kama hawajumlishi au hawaweki bayana mapato yanayotokana na hivi vyanzo vidogo vya kiuchumi kama ulivyotaja bodaboda.
Lakini tunafahamu sekta kama utalii omeingiza pato kiasi gani kwa mwaka. Na ndivyo ilivyo kwa sekta ya madini.
Na serikali lazima ijue vyanzo vyake vya mapato ili ijue namna ya kuviboresha na kuangalia uwezekano wa kuongeza vingine.
Tanzania inaonekana hawajaanza kupika Data
images (4).jpeg
za GDP
 
Vipato havifanani, lakininhiyo siyo tafsiri ya income inequality. Unless kwako ulitaka watu wote kila mmoja kama malipo ni lakinna nusu basi kila mtu alipwe hivyo.

Hakuna mtu anaysema watu wasilipe kodi. Hiyo ni tafsiri yako. Kama hawalipi direct taxes hiyo ni weakness ya mifumo ya nchi.

Nani kasema muuza ng'ombe asilipe kodi?

Wanalipwa mishahara kwasababu ya kazi wanazofanya.

Mishahara siyo misaada.

Leta hapa uthibitisho kuwa matajiri wanalipa kodi kubwa. Unless kama una-include PAYE, na VAT ambayo kiuhalisia siyo pesa yao.

Hilo ni tatizo la mfumo wa nchi. Sijui hoja yako ni nini hapa, maana hueleweki.

Leta hapa hizo takwimu kama zipo kwa public consumption

Wewe jamaa ni kiazi.

Makampuni yanalipa Kodi, ila VATA na PAYE siyo mali ya makampuni. Yanakusanya hizo pesa kwa niaba tu ya serikali kutoka kwa consumer wao.
Sasa bila huyo mfanyabiashara ku brainstorm na kufanya biashara inayomuingizia pesa unahisi Atakusanyaje kodi kwa niaba ya serikali?

Ama unahisi Biashara tu ni uteuzi unamaliza chuo unawekwa pale unakuwa mfanyabiashara, kulishwa mnalishwa ila hata shukran tu hamna?

Nimekupa tu mfano Wafanyabiashara walipogoma kuuza Korosho nje nini kilitokea? korosho hazikudoda?

-wa fanya biashara wakubwa ambao mauzo yao ya zaidi Bilioni 20 wana contribute Trilioni 11 sawa na asilimia 40 na kitu idadi yao wapo 158 tu.

So kuna Watu 158 wana contribute karibia nusu ya Makusanyo ya Nchi, Lami unayotembelea, Mshahara unaolipwa, Taa ya barabarani inayokumulika, Fly over unayoisifia, Treni unayopanda, Ukiona V8 linapita, Ukiskia Kina Musukuma wa naongea Bungeni, Ukiona sijui Maghorofa ya Serikali, Pikipiki za ma Afisa kilimo hadi zile chaki za shule za Serikali ujue kuna Watu 158 hawa wame contribute karibia nusu.

Source

-Hapo bado huja weka Wafanyabiashara wa kati ambao ndio wengi zaidi wenye Milioni Mia kadhaa hadi bilioni 19.

Hivyo mkuu Zunguka unavyotaka kuna watu wachache wanaendesha hii nchi, wengi wetu humu tupo tupo tu tunamaliza soli za Viatu.
 
kwanza kabla ya kuendelea na mjadala mlipaswa kuainisha aina ya GDP mnayoitumia kama moja ya key factor kwenye mjadala huu, kama mmetumia Nominal GDP mko sawa, ila kama mnatumia GDP at PPP basi inazidi hiyo $85b GDP at purchasing power parity ya bongo inazidi $200b na kitaalamu hii GDP at PPP ndio inafaa kufanyia assessment of standar of living.

Pamoja na hilo, binafsi yangu naamini bongo hapa hakuna mabilionea wa kiwango cha dunia(billionaire in $$) na kama wapo basi hawazidi watatu, mind you hapa nazungumzia mabilionea wa halali ambao ni wafanya biashara, sizungumzii akina Mwigulu Nchemba na mama Abdul.

Hii nchi watu wake wengi bado ni maskini sana na ukitaka kuthibitisha hilo tembelea mikoa ambayo haina hadhi ya jiji ujionee umaskini ulivyotamalaki. Watu hata ku afford tu milo mitatu hawawezi, wakiugua wanaenda kwa waganga na sio mahospitalini kwa sababu hawana pesa.

Ukiona mtu anasema eti hii nchi watu wana hela sijui kuna matajiri kibao, ujue huyo ni mkazi wa arusha au dar tena maeneo ya mijini ambako kila siku amezoea kupishana na marange rovers na BMWs, sasa akilini mwake ameweka picha kuwa Tanzania yote iko hivyo hivyo.

Kwa kitendo tu cha kuwa na walipa kodi wanaotambulika 3m katika taifa la watu milioni 61m inaonesha dhairi kabisa hii nchi watu hawana pesa, hawana vyanzo vya kuingiza pesa... sasa kivipibmtu anakuja anaropoka tu eti "hii nchi kuna watu wana hela bhana"??? wametoa wapi? Huyo ni mwehu.
 
Hizi ni takwimu recently, zinaonesha HAO MATAJIRI wa MAKAMPUNI walilipa Trillioni 2.9 pekee kati ya makusanyo ya TRA ya Tsh Trillion 24.
View attachment 3328091

Ndio hiyo Trilion 2.9 kwa mwaka, Total.
View attachment 3328091

Kipato changu kwenye nini, kama ni mshahara nalipa kodi.

Kama nina kampuni hata kama ni sole proprieator nalipa kodi.

Mamabo ya kugawa gawa pesa ni mambo ya matumizi siyo mambo ya GDP.

Na ukisema hujawahi kuona, Marekani walikuwa wanagawa gawa sana pesa kupitia USAID.

Ni matumizi ingawa ni ya ovyo, wala huo siyo mjadala.
We hujui hata kusoma data
1. Umeambiwa mafuta Trilioni 2.7 nani analeta Mafuta kama sio matajiri wakubwa?
2. Bidhaa toka Nje, kwa kiasi kikubwa nani anaagiza bidhaa toka Nje? Mwalimu wa shule ya Msingi? Machinga? Ama hao wafanyabiashara wakubwa?
3. Huduma za mawasiliano unahisi nani Anamiliki hio mitandao? Kina Mufuruki na Rostam ama ni kina Mwijaku na Steve Nyerere?
4. Bia na sigara unahisi wana hisa wake ukitoa makampuni ya nje nani anazimiliki?
 
Sasa bila huyo mfanyabiashara ku brainstorm na kufanya biashara inayomuingizia pesa unahisi Atakusanyaje kodi kwa niaba ya serikali?

Ama unahisi Biashara tu ni uteuzi unamaliza chuo unawekwa pale unakuwa mfanyabiashara, kulishwa mnalishwa ila hata shukran tu hamna?

Nimekupa tu mfano Wafanyabiashara walipogoma kuuza Korosho nje nini kilitokea? korosho hazikudoda?

-wa fanya biashara wakubwa ambao mauzo yao ya zaidi Bilioni 20 wana contribute Trilioni 11 sawa na asilimia 40 na kitu idadi yao wapo 158 tu.

So kuna Watu 158 wana contribute karibia nusu ya Makusanyo ya Nchi, Lami unayotembelea, Mshahara unaolipwa, Taa ya barabarani inayokumulika, Fly over unayoisifia, Treni unayopanda, Ukiona V8 linapita, Ukiskia Kina Musukuma wa naongea Bungeni, Ukiona sijui Maghorofa ya Serikali, Pikipiki za ma Afisa kilimo hadi zile chaki za shule za Serikali ujue kuna Watu 158 hawa wame contribute karibia nusu.

Source

-Hapo bado huja weka Wafanyabiashara wa kati ambao ndio wengi zaidi wenye Milioni Mia kadhaa hadi bilioni 19.

Hivyo mkuu Zunguka unavyotaka kuna watu wachache wanaendesha hii nchi, wengi wetu humu tupo tupo tu tunamaliza soli za Viatu.
Wewe jamaa unaongea kama kiazi.

Wakati tuko zama za ujamaa, serikali ilikuwa inapata wapi pato lake??

Serikali inamiliki watu na raslimali, hata hivyo serikali ni ya watu.

Unabonga as if mtu kufanya biashara kunahitaji rocket science wakati matajiri wengi wakubwa wanatengenezwa na serikali hizo hizo.

Unabweka kuwa una brainstorm ideas za biashara utafikiri unarusha rocket kumbe biashara yenyewe ya Bar na danguro. MFs
 
kwanza kabla ya kuendelea na mjadala mlipaswa kuainisha aina ya GDP mnayoitumia kama moja ya key factor kwenye mjadala huu, kama mmetumia Nominal GDP mko sawa, ila kama mnatumia GDP at PPP basi inazidi hiyo $85b GDP at purchasing power parity ya bongo inazidi $200b na kitaalamu hii GDP at PPP ndio inafaa kufanyia assessment of standar of living.

Pamoja na hilo, binafsi yangu naamini bongo hapa hakuna mabilionea wa kiwango cha dunia(billionaire in $$) na kama wapo basi hawazidi watatu, mind you hapa nazungumzia mabilionea wa halali ambao ni wafanya biashara, sizungumzii akina Mwigulu Nchemba na mama Abdul.

Hii nchi watu wake wengi bado ni maskini sana na ukitaka kuthibitisha hilo tembelea mikoa ambayo haina hadhi ya jiji ujionee umaskini ulivyotamalaki. Watu hata ku afford tu milo mitatu hawawezi, wakiugua wanaenda kwa waganga na sio mahospitalini kwa sababu hawana pesa.

Ukiona mtu anasema eti hii nchi watu wana hela sijui kuna matajiri kibao, ujue huyo ni mkazi wa arusha au dar tena maeneo ya mijini ambako kila siku amezoea kupishana na marange rovers na BMWs, sasa akilini mwake ameweka picha kuwa Tanzania yote iko hivyo hivyo.

Kwa kitendo tu cha kuwa na walipa kodi wanaotambulika 3m katika taifa la watu milioni 61m inaonesha dhairi kabisa hii nchi watu hawana pesa, hawana vyanzo vya kuingiza pesa... sasa kivipibmtu anakuja anaropoka tu eti "hii nchi kuna watu wana hela bhana"??? wametoa wapi? Huyo ni mwehu.
💯%.
 
Matajiri wa TZ wengi wao wanyonyaji na wakwepa kodi wezi tu ndio maana sahv wakimbilia kwenye siasa
 
Sasa bila huyo mfanyabiashara ku brainstorm na kufanya biashara inayomuingizia pesa unahisi Atakusanyaje kodi kwa niaba ya serikali?

Ama unahisi Biashara tu ni uteuzi unamaliza chuo unawekwa pale unakuwa mfanyabiashara, kulishwa mnalishwa ila hata shukran tu hamna?

Nimekupa tu mfano Wafanyabiashara walipogoma kuuza Korosho nje nini kilitokea? korosho hazikudoda?

-wa fanya biashara wakubwa ambao mauzo yao ya zaidi Bilioni 20 wana contribute Trilioni 11 sawa na asilimia 40 na kitu idadi yao wapo 158 tu.

So kuna Watu 158 wana contribute karibia nusu ya Makusanyo ya Nchi, Lami unayotembelea, Mshahara unaolipwa, Taa ya barabarani inayokumulika, Fly over unayoisifia, Treni unayopanda, Ukiona V8 linapita, Ukiskia Kina Musukuma wa naongea Bungeni, Ukiona sijui Maghorofa ya Serikali, Pikipiki za ma Afisa kilimo hadi zile chaki za shule za Serikali ujue kuna Watu 158 hawa wame contribute karibia nusu.

Source

-Hapo bado huja weka Wafanyabiashara wa kati ambao ndio wengi zaidi wenye Milioni Mia kadhaa hadi bilioni 19.

Hivyo mkuu Zunguka unavyotaka kuna watu wachache wanaendesha hii nchi, wengi wetu humu tupo tupo tu tunamaliza soli za Viatu.
Kwamba eti wafanya biashara wa zao la korosho wanaliingizia taifa trilion 11? Please pardon me, huo uongo mwingine uwe unabaki nao huko huko kwa machawa wenzio.

Halafu eti chanzo chako mwenyewe ni gazeti la mwanaunchi? Nyie machawa bwana unaijua trilion 11 wewe lakini?
 
Wapi nimesema korosho inaingiza Trilioni 11? Naomba quote usinilishe matango pori.

Hizo ni data za Tra walipa kodi Wakubwa nchi hii Estimation yao wana contribute Trilioni 11 sawa na Asilimia 43 ya makusanyo yote ya Tra,

Definition ya mlipa kodi ni mkubwa ni awe na Mauzo ya Bilioni 20 ama zaidi kwa mwaka, wapo 158 tu nchi Nzima.

Hawa hawahudumiwi na Tra hizi zetu za mtaani bali Benjamin mkapa Tower Ohio street ofisi maalum.
 
Mjadala mzuri. Acheni kuitana viazi. Hoja ijibiwe kwa hoja. Kwa maoni yangu serekali bado kabisa haijaweza kukusanya kodi.
Kama idadi ya walipa kodi wanaotambulika na TRA ni 3m basi kuna shida mahali. Kuna watu wengi tu wanafanya kazi/shughuli kwenye sekta isiyo rasmi, hawa seeekali imeshindwa kuwafikia ili waweze kuingia kwenye mfumo wa kulipa kodi.
Watu wa hivi wapo wengi.
 
Tanzania inaonekana hawajaanza kupika Data View attachment 3328102za GDP
Kupika data ili kuonesha mna uchumi unaofanya vizuri hamfiki mbali....,mfano mzuri ni kilichowakuta Nigeria. Utakumbuka miaka kama 13 nyuma, Nigeria walidai kuna vyanzo vya mapato ambavyo hawajavipigia hesabu sawasawa. Sasa baada ya kufanya mapitio ya hivyo vyanzo vingine vidogo vidogo ambavyo awali walisema haviko registered wakaja na jumla ya pato zima la mwaka ambalo mwelekeo wake ungezidi pato la South Africa kwa mbali.
Sisi wengine tukabaki kushangaa na kujiuliza ni vyanzo gani hivyo vya kimapato vilivyosaulika kiasi kwamba pato lake likijumlishwa na pato la vyanzo vikuu vilivyozoeleka eti vifanye pato la Nigeria kuizidi South Africa kwa ghafla.... South Africa kwa wakati huo ikiwa na GDP ya $250 bilioni ikazidiwa mara 2....kwa $500 GDP ya kupika ya Nigeria.
Sasa imejulikana walikuwa wakijidanganya wenyewe kwa kupika data, ..kwa sasa wamejirudi na kutangaza uchumi wao katika rangi zake halisi....hadi hiyo currency yao Naira nayo waliiipika kitahamani..ikaonekana ina nguvu kuliko hali halisi sokoni. Wameumbuka,wameporomoka vibaya.
Unajitangaza ni tajiri wakati unajijua ni maskini.
 
Tanzania Tuna Multi millionaire 2400 hivyo si haba kuna matajiri kiasi chake.
Yaani katika taifa lenye population ya watu 61m ambapo working population(hapa nazungumzia watanzania ambao wako energetic wenye umri wa kuanzia 17-50) ni 35m tuna mamilionea wa dollar 2,400 tu halafu unasema eti si haba tuna matajiri kias chake? Tafsiri yake ni katika kila watanzania 14,500 tuna milionea mmoja tu huoni kwamba hii ni mediocrity na kiashairia cha umaskini wa hali ya juu mno?

Kuna nchi kama Astralia yenye jumla ya watu 21m ila wana mamilionea wa dollar wapato 2m, tafsiri yake ni kwamba palipo na Waustralia 10 basi kuna milionea mmoja... sasa nchi kama hiyo hata ukisema "waustralia wana hela bhana" tutakuelewa maana hata purching power yao ni kubwa sana, na sio bongo hapa eti taifa lenye 61m multimillionaire wa dola hawafiki hata 3,000 halafu bado wabongo wanapiga kelele eti watu wana hela bana hii nchi kisa tu akienda mlimani City pale nje anakuta kuna rage rovers used zimapaki wamiliki wake wako ndani wameenda kununua chocolate na perfumes...😇
Wanaofika Tra ni milioni 2-3 kwenye Nchi ya watu milioni 60, Biashara nyingi sio Rasmi, kuna mamilionea na hawalipi kodi wala kukaguliwa.
Kiashiria kingine cha umaskini ni kutokuwa na mifumo thabiti ambayo inatupa taarifa sahihi za kimapato kwa kila mwanainchi, hii sio tu kwamba inazuia upotevu wa mapato bali pia inasaidia hata kwenye kufanya projections muhimu za kimaendeleo hili kuweka sustainability ya welbeing ya kila mwanainchi.

Sasa kama biashara nyingi ni biashara bubu huko ni kushindwa kusimamia kwa watu tuliowakabidhi mamlaka na kama wameshindwa, basi hawastahili kuendelea kuwepo maana kuendelea kwao ni kuendeleza kupoteza mapato na umaskini kwa ujumla.

Kuna nchi kama Namibia mtu akinunua hata karanga tu njiani anapewa risiti ya EFD, hapa bongo unaweza kwenda hata kwenye min supermarket ukanunua vitu vya laki 3 na ukaondoka kienyeji tu bila kupewa risiti wala nini...

ukisikia mtu anasema tunaishi bora liende tu nchi yetu ni manisfestation sahihi wa kauli hiyo.
 
Wapi nimesema korosho inaingiza Trilioni 11? Naomba quote usinilishe matango pori.

Hizo ni data za Tra walipa kodi Wakubwa nchi hii Estimation yao wana contribute Trilioni 11 sawa na Asilimia 43 ya makusanyo yote ya Tra,

Definition ya mlipa kodi ni mkubwa ni awe na Mauzo ya Bilioni 20 ama zaidi kwa mwaka, wapo 158 tu nchi Nzima.

Hawa hawahudumiwi na Tra hizi zetu za mtaani bali Benjamin mkapa Tower Ohio street ofisi maalum.
"wa fanya biashara wakubwa ambao mauzo yao ya zaidi Bilioni 20 wana contribute Trilioni 11 sawa na asilimia 40 na kitu idadi yao wapo 158 tu."

Hayo hapo juu 👆 ni maneno yako kwenye comment iliyopita ambayo yalinifanya nikakunukuu, kwani ulikuwa unamaanisha nini hasa?

Nilichoelewa mimi unaaminisha kuwa wakulima/wauzaji wa korosho pekee tu ambao wako 158 wanaliingizia taifa trillion 11 ambazo ni sawa na $4b serious?

Jombaa hivi unaifahamu hata how big $4b is? Yaani leo tuwe na zao moja tu linalotuingizia kiasi hicho cha pesa, si sekta ya kilimo pengine ingeweza kutuletea hata income ya $10b ukiongeza ma mazao mengine tukasahau kabisa na mambo ya kutembeza bakuli?

Hiko hivi haijalishi utanipa data gani mlizopika huko, hakuna zao lolote liwe la biashara aula chakula lililowahi kutuingizia pato hata la $2b kwa mwaka, halipo nasema halipo.
 
Back
Top Bottom