GDP ya Tanzania na matajiri wake

GDP ya Tanzania na matajiri wake

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
97,070
Reaction score
136,458
Takwimu zinaweza kutofautiana kutokana na chanzo cha taarifa na sababu zinginezo.

Kwa mujibu wa IMF, GDP ya Tanzania ni dola [za Kimarekani] bilioni 85.

Kuna watu huwa wanadai Tanzania kuna hela na Watanzania wana hela.

Okay, sawa. Labda sisi wengine tuonavyo tofauti huwa hatuelewi, hatujui, au yawezekana tuna matatizo mengine tu.

Ukiwasikiliza wanaodai kuwa Watanzania wana hela, unaweza kudhani Tanzania ndo nchi yenye uchumi mkubwa zaidi duniani.

Watanzania wananunua na kujenga majumba ya mabilioni ya dola [au ni shilingi?]. Hivyo, Watanzania wana hela.

Sasa, pengine kwa ujinga wangu mimi, nauliza hivi:

Hivi nchi kama Tanzania yenye GDP ya dola bilioni 85 [kwa muktadha tu, Marekani ina GDP ya dola trilioni 30], inaweza kuzalisha matajiri wenye utajiri zaidi ya dola bilioni 85?

Yaani Tanzania yenye GDP ya dola bilioni 85, iwe na matajiri wenye utajiri wa zaidi ya dola bilioni 85, tuseme labda bilioni 90, bilioni 100, na kadhalika?

Hilo linawezekana kweli?

The math ain’t mathing, please make it make sense.
 
Kwani kipato cha mtu wa nchi kama Tanzania kwa siku kinapimwaje
Economist mnijibu tafadhali

tanzagiza hakuna uchumi, hivyo huwezi kupima kwa kutumia kigezo cha kiuchumi, nitakupa mfano serikali ya tanzagiza itakwambia employement rate ni >80% lkn ukitumia kigezo cha kiuchumi watu wasio na kazi tanzagia ni > 90%, hivyo hata hizo data wanazotoa ni guess work tu lkn hkn kitu hapo …
 
Ko hapo inakuaje sasa
 
Takwimu zinaweza kutofautiana kutokana na chanzo cha taarifa na sababu zinginezo.

Kwa mujibu wa IMF, GDP ya Tanzania ni dola [za Kimarekani] bilioni 85.

Kuna watu huwa wanadai Tanzania kuna hela na Watanzania wana hela.

Okay, sawa. Labda sisi wengine tuonavyo tofauti huwa hatuelewi, hatujui, au yawezekana tuna matatizo mengine tu.

Ukiwasikiliza wanaodai kuwa Watanzania wana hela, unaweza kudhani Tanzania ndo nchi yenye uchumi mkubwa zaidi duniani.

Watanzania wananunua na kujenga majumba ya mabilioni ya dola [au ni shilingi?]. Hivyo, Watanzania wana hela.

Sasa, pengine kwa ujinga wangu mimi, nauliza hivi:

Hivi nchi kama Tanzania yenye GDP ya dola bilioni 85 [kwa muktadha tu, Marekani ina GDP ya dola trilioni 30], inaweza kuzalisha matajiri wenye utajiri zaidi ya dola bilioni 85?

Yaani Tanzania yenye GDP ya dola bilioni 85, iwe na matajiri wenye utajiri wa zaidi ya dola bilioni 85, tuseme labda bilioni 90, bilioni 100, na kadhalika?

Hilo linawezekana kweli?

The math ain’t mathing, please make it make sense.
1. Tanzania na Nchi nyingi za Africa income inequality ni kubwa, wenye Hela wana hela sana na wasio nacho nao hawana kabisa

Tanzania Tuna Multi millionaire 2400 hivyo si haba kuna matajiri kiasi chake.

Pia Ukiangalia wale wenye ukwasi Mkubwa watu kama MO, Oil com, Bakhresa, Rostam, Mufuruki family, Mengi Family etc unakuta ukwasi wao unazidi hata Robo ya GDP ya Nchi, Metl pekee Revenue yao ni $9.4B Usd hio tayari ni zaidi ya 10% ya Gdp.

Kuna Data zinatembea humu jukwaani sina ushahidi nazo ila Wahindi/Waarabu/Wenye ukwasi Mjini, Upanga, Masaki etc wana contribute 70% ya Mapato ya Nchi.

So kwa Hichi kikundi kidogo cha watu wanaweza kuwa Top 1% ya Nchi karibia zote Duniani.

2. GDP zenu pia haziaminiki, pengine ikawa hata ni mara 2 ya hapo. Tanzania pekee unakuta mtu anaingiza Pikipiki, Magari, Mafuta ya kula, Sukari etc kupitia Mipakani na Bandari bubu, vinaenda Madukani na mpaka Vinaisha hata Risiti havitolewi.

Wanaofika Tra ni milioni 2-3 kwenye Nchi ya watu milioni 60, Biashara nyingi sio Rasmi, kuna mamilionea na hawalipi kodi wala kukaguliwa.
 
Ko hapo inakuaje sasa

fikiria tu kwa mfano raisi wa anatoa fedha kugawia wacheza mpira, anazitoa wapi hizo fedha? kwa maana kwenye nchi yenye “uchumi” ni lazima kila shilingi ijulikane ilipotoka na iwe na bajeti yake na ndiyo maana ya bajeti, sasa kama raisi anaweza kutoa fedha wakati wowote anazitoa wapi? ina maana kuna mahali kuna minus kwenye bajeti ya sehemu fulani, na huo ni mfano tu kila waziri anafanya hivyo, mkuu wa mkoa, ceo wa mashrika ya umma kila mahali ni hivyo hakuna accountability yoyote huko kwenye halmashauri ndiyo usiseme ni self service …
 
Takwimu zinaweza kutofautiana kutokana na chanzo cha taarifa na sababu zinginezo.

Kwa mujibu wa IMF, GDP ya Tanzania ni dola [za Kimarekani] bilioni 85.

Kuna watu huwa wanadai Tanzania kuna hela na Watanzania wana hela.

Okay, sawa. Labda sisi wengine tuonavyo tofauti huwa hatuelewi, hatujui, au yawezekana tuna matatizo mengine tu.

Ukiwasikiliza wanaodai kuwa Watanzania wana hela, unaweza kudhani Tanzania ndo nchi yenye uchumi mkubwa zaidi duniani.

Watanzania wananunua na kujenga majumba ya mabilioni ya dola [au ni shilingi?]. Hivyo, Watanzania wana hela.

Sasa, pengine kwa ujinga wangu mimi, nauliza hivi:

Hivi nchi kama Tanzania yenye GDP ya dola bilioni 85 [kwa muktadha tu, Marekani ina GDP ya dola trilioni 30], inaweza kuzalisha matajiri wenye utajiri zaidi ya dola bilioni 85?

Yaani Tanzania yenye GDP ya dola bilioni 85, iwe na matajiri wenye utajiri wa zaidi ya dola bilioni 85, tuseme labda bilioni 90, bilioni 100, na kadhalika?

Hilo linawezekana kweli?

The math ain’t mathing, please make it make sense.
Hizi GDP binafsi huwa naona ni za mchongo sana.

GDP ni rahisi sana kuoiwa na kuwekwa kwenye namba unayotaka mwenyewe.

Nchi kama Marekani haizidi China kwa chpchpte kwa sasa.

Quality ya maisha ya China ni zaidi ya Marekani ila Marekani ana GDP kunwa sana kuliko China.

Nenda Kwnya hapo uome Wakenya wanavyotaabika, ila wana GDP kubwa kuliko Tanzania.

======

Katika pita pita zangu nimegundua GDP inapikwa sana.

Kwanaza Kenya kwasasa pamoja na ukubwa wa GDP yao ni kama haikopesheki.

Kenya inachonga mpaka bodaboda eti wanachangia 4.4% ya GDP yao, yaani Ksh 660 billioms kila mwaka, kitu ambaocho ni possibly cha kupika.

====
Kiuhalisia Tanzania inaweza kuwa hata namba 5 kwa ukunwa wa GDP kwa Afrika ikitaka, ila hakuna sababu hoyo sasa maana haina mantiki.

2025050516053308.jpg
 
I

Hapo watakuwa wametumia Logarithms ili wapate mikopo huko duniani, bila kufanya hivyo hawawezi kupata mikopo, kikikiki
 
fikiria tu kwa mfano raisi wa anatoa fedha kugawia wacheza mpira baada ya bajeti kupitishwa, anazitoa wapi hizo fedha? kwa maana kwenye nchi yenye “uchumi” ni lazima kila shilingi ijulikane ilipotoka na iwe na bajeti yake na ndiyo maana ya bajeti, sasa kama raisi anaweza kutoa fedha wakati wowote anazitoa wapi? ina maana kuna mahali kuna minus kwenye bajeti ya sehemu fulani, na huo ni mfano tu kila waziri anafanya hivyo, mkuu wa mkoa, ceo wa mashrika ya umma kila mahali ni hivyo hakuna accountability yoyote huko kwenye halmashauri ndiyo usiseme ni self service …
Hii ni hatari sana Kwa Taifa maskini kama hili watu kutumia fedha ovyo ovyo kama hivi na hazijulikani zinatoka wapii
 
1. Tanzania na Nchi nyingi za Africa income inequality ni kubwa, wenye Hela wana hela sana na wasio nacho nao hawana kabisa
Hii ni uongo. Inaonekana hujawahi kutoka nje ya nchi au bujawahi kufanya tafiti ndogo, ndio maana hujui tafsiri halisi ya inequality.

Nenda Kenya, Djibouti au Madagascar uone tafsiri ya INEQUALITY.
Tanzania Tuna Multi millionaire 2400 hivyo si haba kuna matajiri kiasi chake.

Pia Ukiangalia wale wenye ukwasi Mkubwa watu kama MO, Oil com, Bakhresa, Rostam, Mufuruki family, Mengi Family etc unakuta ukwasi wao unazidi hata Robo ya GDP ya Nchi, Metl pekee Revenue yao ni $9.4B Usd hio tayari ni zaidi ya 10% ya Gdp.
Hao watu ni matajiri kweli ila watu wanaweza kyishi bila wao vizuri tu.

Masikini wa TZ,
  • Ana ardhi
  • Ana nyimba hata kama ya tope
  • Ana mashamba analima chakula chake
Kuna Data zinatembea humu jukwaani sina ushahidi nazo ila Wahindi/Waarabu/Wenye ukwasi Mjini, Upanga, Masaki etc wana contribute 70% ya Mapato ya Nchi.
Hii ni uwongo

Uchumi wa nchi hii unaongozwa na kilimo, na madini ndio exports kubwa

Plus, consumerism ndio inayotozwa kodi kila kukicha.
So kwa Hichi kikundi kidogo cha watu wanaweza kuwa Top 1% ya Nchi karibia zote Duniani.
TZ aunayemuina taniri anayeweza kupukutishwa dakika sifuri tu, na maisha yakaenda, mfano Manji.
2. GDP zenu pia haziaminiki, pengine ikawa hata ni mara 2 ya hapo. Tanzania pekee unakuta mtu anaingiza Pikipiki, Magari, Mafuta ya kula, Sukari etc kupitia Mipakani na Bandari bubu, vinaenda Madukani na mpaka Vinaisha hata Risiti havitolewi.
GDP ni uhuni.
Wanaofika Tra ni milioni 2-3 kwenye Nchi ya watu milioni 60, Biashara nyingi sio Rasmi, kuna mamilionea na hawalipi kodi wala kukaguliwa.
TZ tuna changamoto kwenye kutoza kodi utajiri
 
Hizi GDP binafsi huwa naina ni za mchongo sana.

GDP ni rahisi sana kuoiwa na kuwekwa kwenye namba unayotaka mwenyewe.

Nchi kama Marekani haizidi China kwa chpchpte kwa sasa.

Quality ya maisha ya China ni zaidi ya Marekani ila Marekani ana GDP kunwa sana kuliko China.

Nenda Kwnya hapo uome Wakenya wanavyotaabika, ila wana GDP kubwa kuliko Tanzania.

======

Katika pita pita zangu nimegundua GDP inapikwa sana.

Kwanaza Kenya kwasasa pamoja na ukubwa wa GDP yao ni kama haikopesheki.

Kenya inachonga mpaka bodaboda eti wanachangia 4.4% ya GDP yao, yaani Ksh 660 billioms kila mwaka, kitu ambaocho ni possibly cha kupika.

====
Kiuhalisia Tanzania inaweza kuwa hata namba 5 kwa ukunwa wa GDP kwa Afrika ikitaka, ila hakuna sababu hoyo sasa maana haina mantiki.
Ulipoanza kuandika ati Marekani ipo nyuma ya China kwa GDP basi naona hujui unachoongea.
 
Achana na takwimu za IMF.

Hivi hujiulizi mambo yafutayo:

- Kwanini sarafu ya Ethiopia, BIRR na GDP yao ilikuwa kubwa kiasi kwamba IMF waliona Ethiopia inapika Data, wakawaamuru washushe thamani ya BIRR.

- Kwanini kila siku Marekani inaishutumu China, kwa kuweka thamani yao ya shilingi, YUAN chini wakati kwa exports wanazofanya ilitakiwa kuwa HIGH??

Hizi ni hoja zinahitaji fikra huru kabisa.
 
Hii ni uongo. Inaonekana hujawahi kutoka nje ya nchi au bujawahi kufanya tafiti ndogo, ndio maana hujui tafsiri halisi ya inequality.

Nenda Kenya, Djibouti au Madagascar uone tafsiri ya INEQUALITY.
Unaongelea Abdalla na Dulla hapa, sababu wao wana Income inequality kubwa haimaanishi na sisi yetu ni ndogo, hata Darasani mtu akipata F ya 5% mwengine kapata F ya 15% wote wamefeli. Huwezi fananisha income inequality yetu na Nchi za Ulaya, Middle East etc.

Hao watu ni matajiri kweli ila watu wanaweza kyishi bila wao vizuri tu.
Huwezi, unahisi sababu unamiliki Ardhi barabara zitajijenga zenyewe? Kila mwaka Trilioni zaidi ya 10 Kulipa Mishahara zinatoka wapi? Una deni la taifa Kila mwaka ulipe, umekopa Sgr, Bwawa la umeme etc unahisi nani Analipa?
Masikini wa TZ,

  • Ana ardhi
  • Ana nyimba hata kama ya tope
  • Ana mashamba analima chakula chake
Vyote ulivyotaja nimekupa Jibu lake juu, Asilimia kubwa ya wananchi ni kupe, wanatengemea kikundi kidogo cha watu Kilipe Kodi ili maisha yao yaende.
Hii ni uwongo

Uchumi wa nchi hii unaongozwa na kilimo, na madini ndio exports kubwa
Hayo Madini anachimba nani na kuuza? Kilimo nani analima, kununua na Kuuza soko la kimataifa? Vyote hivyo haviji tu Automatic.
Plus, consumerism ndio inayotozwa kodi kila kukicha.

TZ aunayemuina taniri anayeweza kupukutishwa dakika sifuri tu, na maisha yakaenda, mfano Manji.

GDP ni uhuni.

TZ tuna changamoto kwenye kutoza kodi utajiri
 
1. Tanzania na Nchi nyingi za Africa income inequality ni kubwa, wenye Hela wana hela sana na wasio nacho nao hawana kabisa

Tanzania Tuna Multi millionaire 2400 hivyo si haba kuna matajiri kiasi chake.

Pia Ukiangalia wale wenye ukwasi Mkubwa watu kama MO, Oil com, Bakhresa, Rostam, Mufuruki family, Mengi Family etc unakuta ukwasi wao unazidi hata Robo ya GDP ya Nchi, Metl pekee Revenue yao ni $9.4B Usd hio tayari ni zaidi ya 10% ya Gdp.

Kuna Data zinatembea humu jukwaani sina ushahidi nazo ila Wahindi/Waarabu/Wenye ukwasi Mjini, Upanga, Masaki etc wana contribute 70% ya Mapato ya Nchi.

So kwa Hichi kikundi kidogo cha watu wanaweza kuwa Top 1% ya Nchi karibia zote Duniani.

2. GDP zenu pia haziaminiki, pengine ikawa hata ni mara 2 ya hapo. Tanzania pekee unakuta mtu anaingiza Pikipiki, Magari, Mafuta ya kula, Sukari etc kupitia Mipakani na Bandari bubu, vinaenda Madukani na mpaka Vinaisha hata Risiti havitolewi.

Wanaofika Tra ni milioni 2-3 kwenye Nchi ya watu milioni 60, Biashara nyingi sio Rasmi, kuna mamilionea na hawalipi kodi wala kukaguliwa.
Hahaaa!

Kwa hiyo Tanzania inaweza kuwa na tajiri namba moja duniani eh?
 
Unaongelea Abdalla na Dulla hapa, sababu wao wana Income inequality kubwa haimaanishi na sisi yetu ni ndogo, hata Darasani mtu akipata F ya 5% mwengine kapata F ya 15% wote wamefeli. Huwezi fananisha income inequality yetu na Nchi za Ulaya, Middle East etc.
Ni nini maana ya income inequality kwa tafsiri yako?

Nchi hii kila jamii ilikuwa na tamaduni zake.

Masai na ng'ombe
Wasukuma ni kilimo na ufugaji
Wachagga na maduka
Wahindi na maduka.

Ulitaka kila mtu auze duka ili ionekane kila mmoja ni tajiri wa maduka kama wahindi??
Huwezi, unahisi sababu unamiliki Ardhi barabara zitajijenga zenyewe? Kila mwaka Trilioni zaidi ya 10 Kulipa Mishahara zinatoka wapi? Una deni la taifa Kila mwaka ulipe, umekopa Sgr, Bwawa la umeme etc unahisi nani Analipa?
Watu wanalipwa mishahara kwasababu wanazalisha?

Nani analipwa mshahara wa bure nchi hii?

Hao wanaolipwa mishahara ndio walipa kodi wakubwa nchi hii.

Deni la taifa linapaswa kujenga miundombinu ili uzalishaji uongezeke.

Kwa akili yako unafikiri mtu akiwa tajiri ndio analipa kodi kubwa??

Mfumo wa kodi nchi hii unategema zaidi Consumerism, VAT ambao walipaji wakubwa ni watu wa kawaida.

Tanzania mali za kitajiri kama majumba hayatozwi kodi kwa usahihi.
Vyote ulivyotaja nimekupa Jibu lake juu, Asilimia kubwa ya wananchi ni kupe, wanatengemea kikundi kidogo cha watu Kilipe Kodi ili maisha yao yaende.
Hakuna kodi ya kikundi kidogo inayoemdesha nchi hii.

kodi za kuendesha nchi ni watu wa chini.

Soma tena sheria za fedha kisha urudi hapa unambie ni sheria ipi ina target matajiri.

Juzi tu tumetoka kwenye Tozo za miamala ambazo walipaji ni masikini
Hayo Madini anachimba nani na kuuza? Kilimo nani analima, kununua na Kuuza soko la kimataifa? Vyote hivyo haviji tu Automatic.
Kwahiyo madini wanachimba wahindi??

Unadharau wakulima kwasababu siyo wanaosafirisha kwenda nje??

Wewe jamaa ni boya.

Check mwaka jana, Nchi imepata kiasi gani kwenye exports ya korosho.

Kuna Mhindi ana shamba la korosho Mtwara??
 
Takwimu zinaweza kutofautiana kutokana na chanzo cha taarifa na sababu zinginezo.

Kwa mujibu wa IMF, GDP ya Tanzania ni dola [za Kimarekani] bilioni 85.

Kuna watu huwa wanadai Tanzania kuna hela na Watanzania wana hela.

Okay, sawa. Labda sisi wengine tuonavyo tofauti huwa hatuelewi, hatujui, au yawezekana tuna matatizo mengine tu.

Ukiwasikiliza wanaodai kuwa Watanzania wana hela, unaweza kudhani Tanzania ndo nchi yenye uchumi mkubwa zaidi duniani.

Watanzania wananunua na kujenga majumba ya mabilioni ya dola [au ni shilingi?]. Hivyo, Watanzania wana hela.

Sasa, pengine kwa ujinga wangu mimi, nauliza hivi:

Hivi nchi kama Tanzania yenye GDP ya dola bilioni 85 [kwa muktadha tu, Marekani ina GDP ya dola trilioni 30], inaweza kuzalisha matajiri wenye utajiri zaidi ya dola bilioni 85?

Yaani Tanzania yenye GDP ya dola bilioni 85, iwe na matajiri wenye utajiri wa zaidi ya dola bilioni 85, tuseme labda bilioni 90, bilioni 100, na kadhalika?

Hilo linawezekana kweli?

The math ain’t mathing, please make it make sense.
Usiumize kichwa. Wanaosemwa wana hela ni kwa local standards. Unakumbuka Dr. Shika (RIP) alivyopata umaarufu wa kitaifa ghafla kutokana na ile winning bid yake ya TZS 900 million kwenye mnada wa nyumba za Lugumi? If a $350,000 bid nayo inakuwa gumzo nchi nzima, basi hakuna sababu ya kuamini kwamba wanaosemwa wana hela kweli wana hela (by international standards)!
 
Back
Top Bottom