foreign er
Member
- Jul 19, 2016
- 81
- 27
Wako vizur hawa jamaa....au laɓda wana makuɓaliano.Halafu naona WhatsApp GB imewashinda wamiliki wa WhatsApp(original) kui block maana nishaitumia karibu mwaka sasa ila bado haijapigwa chini kama ilivyokua kwa WhatsApp +
Sent using Jamii Forums mobile app
How..?....nichane ,,,niidownload!5.80 imekuja na features mpya ila nmependa nw unaweza kubadili font MOD 11
Hakuna makubaliano yoyote basi tu itakua wamewazidi kete kwenye tech issues...Wako vizur hawa jamaa....au laɓda wana makuɓaliano.
motorolaXz
Mbona kama process inakua ndefu mkuu hakuna link ya kila WhatsApp kivyake, kwamba uki hitaji una fungua tu kisha unapakua...kwa wale wanaotaka kupata gbwhatsapp na nyenginezo downloadini 4shared playstore kisha login kisha search zipo zoooote updated na non updated
sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
Mbona kama process inakua ndefu mkuu hakuna link ya kila WhatsApp kivyake, kwamba uki hitaji una fungua tu kisha unapakua...
Maana hii ya ili uwe na App lazima tena u download App nyingine, naona kama ni kamzunguko kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii mkuu haipo lbd utumie android emulator km MEmu, bluestack, andy, nox n.kWakuu msaada wa application ya whatssApp kwa ajili ya Windows pc bila kudcan qr code
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii Yowhatsapp inajitegemea au ni sehemu ya whatsapp km tunavyotumia Gwhatsapp?nimetumia whatapp+,gbwhatsapp,ogwhatsapp lakini sijaona kama YOWHATSAPP daaadeki ina features nyingi kuliko hizo nilizotaja hapo juu
sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
Embu nieleweshe vizuri hapo kwenye font mku mku5.80 imekuja na features mpya ila nmependa nw unaweza kubadili font MOD 11
Kama una version 5.80 nenda gb settings mod 11Embu nieleweshe vizuri hapo kwenye font mku mku
Let it flow
Ndio ninayo ningependa uniambia hizo fonts ni za style ganiKama una version 5.80 nenda gb settings mod 11
Sasa si uende ukachague yani naanzaje kukuelezea font zilivyo...Ndio ninayo ningependa uniambia hizo fonts ni za style gani
Let it flow
Sawa maana nilikua nadownload ikifika 100% inaanza tena moja mara kibaoSasa si uende ukachague yani naanzaje kukuelezea font zilivyo...