GB 50 za Vodacom

GB 50 za Vodacom

Sawa sawa mkuu
Siyo kubashiri kuna app za kubashiri / kuzalisha imei zaidi kutoka kwa ile imei og au wanamunipulate zile last five digits za imei husika bila kuchange zile first 10 digts... Zitakazo zaliwa hapo ndyo zinaingizwa kwenye kifaaa ila ni uhuni/ wizi usijaribu hii mambo ni kinyume na sheria ya nchi yetu ukidakwa tisialaei ni utapata tabu sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu kuna kamchezo naona kakifanywa na baadhi ya watu kuunga kifurush cha vodacom cha ofa ya watumia vodaphone.

Kwa kawaida huwa walionunua voda phone kuungiwa kifurush hcho kwa kutumia IMEI ya simu aliyonunua ya vodaphone. hupewa kifurush hicho cha GB 50, unatumiwa GB kumi kumi kila mwezi,

Nauliza wakuu naweza pata mtu ambae anajua menu hiyo ya kuunga kifurush hicho kwa kutumia IMEI ya voda phone

Vodacom sio baba zetu kama inawezekana kupatikana kwa menu hyo, tujarbu kupata ma bando ya bure.

Asanten
Nilishawahi kutumia hii 2018 ila sidhan kama bado ipo
 
Imekubali
 

Attachments

  • IMG-20230514-WA0001.jpg
    IMG-20230514-WA0001.jpg
    19.8 KB · Views: 23
Back
Top Bottom