GB 50 za Vodacom

GB 50 za Vodacom

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
9,761
Reaction score
15,577
Wakuu kuna kamchezo naona kakifanywa na baadhi ya watu kuunga kifurush cha vodacom cha ofa ya watumia vodaphone.

Kwa kawaida huwa walionunua voda phone kuungiwa kifurush hcho kwa kutumia IMEI ya simu aliyonunua ya vodaphone. hupewa kifurush hicho cha GB 50, unatumiwa GB kumi kumi kila mwezi,

Nauliza wakuu naweza pata mtu ambae anajua menu hiyo ya kuunga kifurush hicho kwa kutumia IMEI ya voda phone

Vodacom sio baba zetu kama inawezekana kupatikana kwa menu hyo, tujarbu kupata ma bando ya bure.

Asanten
 
Duuu wakuu hii inshu ni private ama nn?
 
sasa lengo lako nini bando hilo likafungiwe au nini kupost humu
 
Back
Top Bottom