Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,278
- 8,868
- Thread starter
- #21
utafiti inalipa sana haswa vya kike na wateja wake ni watu waungwana sana kama huyo aliyesitisha zoezi la usomaji wa newzMr Rocky naskia biashara ya viatu inalipa sana
Tujichange na Mr Rocky tuanze kukamata frusa Honey Faith na miss chagga watakuwa wateja wazuri sana kwetu na niwajuwavyo ni wahamasishaji wazuri sana.
Last edited by a moderator: