Gazeti letu la Udaku JF..

Last edited by a moderator:
Kongosho unajaribu sana kumimina sumu kwenye asali ila umekutana na asali ya moyo ambayo hata sumu haiingiii Mamndenyi asante sana Love you too dear
Halafu nimemuona the boss humu ndani anachungulia na kutoka

Sijaanza kumimina sumu, hapa natoa taarifa tu kuwa you might be the next
Namalizana na babu DC kwanza
Afu niitie basi The Boss, sijamtia machoni kitambo

Kongosho kumbe we bado una mambo ya kizamani
ukatengeneze nywele?
Mi natoka hivi hivi nilivyo ili Mr Rocky anione how beauty am I.

Mwanamke kupendeza, hasa unapokuwa na kibabu

Mr Rocky hapa ulipofikia Kongosho kakubali yote, The Boss anamfuatilia huyo mchovu wake Kongosho hana la zaidi.

HE he he, laki hilo
Linakuuma mie kumfuata Mr Rocky, ntakukimbiza kama nilivyokukimbiza kwa ze boss
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
ha ha ha ha ha haaaa
keleuwiiiiiiiii mbavu zangu miye dah
Kupendwa kuna raha zake jamani
Mr Rocky '.........Nakupenda.......'

Mamndenyi eti Kongosho alisema ana aleji na neno Love akilisema tuu anapata brain konkosheni
Si unauona uwongo wake hawezi kusema maana na kumwambia The Boss kwa kuwa siri zake humu zitaumbuka maana kashawaambia wengi
I Love you Mamndenyi
 
Mr Rocky
you made my day,
thank you, thank you,
nafika hapo mlimani city once
pengine tutaonana baadae

Na Kongosho hapa kwa Mr Rocky haupati kitu
tena ungejua nilivyompata kwa shida wala usingesema,
neno 'i love you; kalisema kwangu tu,
tena hajawahi mbali na kulisema hukoooo ambako sitaki kupataja, Mr Rocky .......nakupenda.........

Kongosho bora ungefanya kimya kimya ila kwa kusema hivi hunipati ng'oooo Mamndenyi kashateka kila sehem ya mwili wangu may be utaambulia tuu kivuli changu nitakapopita nae
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…