Gazeti letu la Udaku JF..

Last edited by a moderator:
Asprin wacha kupotosha Umma, au umenifananisha na AshaDii??? Mimi na wewe tulicheza Kombolela, itakuaje ukamfunza baba mistari ya kumtongoza mama? Kiumri mimi naweza fananishwa na Mamndenyi tu humu ndani. Avatar isiwadanganye.
 
Last edited by a moderator:
NitakuPM kama unaitaka.
EMT Kweli wewe ndie yule babu hatari. Hivi hata kurudisha profile picture lazima PM? Basi acha tu, nitatumia kumbukumbu yangu na nguvu ya visiualisation kwa kuivuta akilini. I really loved it ... Or else I can do it for you. do you want me to do it for you? lol
 
Last edited by a moderator:
Bibie@RussianRoulette umempania Mkuu@[B][URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=20903"]EMT[/URL] asije kukasirika ukatumia Upanga wako (BAN) Muachie apumzike vipi bibi unapata usingizi mapema siku hizi? au bado ugonjwa wako wa kutolala upo?[/B]
 
Alhamdulilah mkuu, siku hizi napata usingizi wa kutosha, labda tu niamue mwenyewe kukesha (kama leo). hiyo PM anayo taka kutuma si atume tu? kwani wengine wananiomba ruhsa kabla ya kutuma?
 
Asprin wacha kupotosha Umma, au umenifananisha na AshaDii??? Mimi na wewe tulicheza Kombolela, itakuaje ukamfunza baba mistari ya kumtongoza mama? Kiumri mimi naweza fananishwa na Mamndenyi tu humu ndani. Avatar isiwadanganye.
Hahahahaha haya RussianRoulette nipe haki yangu. Kama umri wako ni sawa na wa Mamndenyi piga goti la kushoto wakati unanisalimu. Mamndenyi mi ni swahiba wa anko wake. Wakati tuko yunivasite na mamndenyi kakiwa nasare skuli mi na anko wake ndo tulicheza dili la kumtorosha ili asikeketwe na wale mabaradhuli wakata vimeo. Kwa kifupi ningeanza mchezo mchafu mapema kama swahiba wangu klorokwini wewe ungekuwa binti yangu wa tatu.

Nasubiri shikamoo yangu.
 
Last edited by a moderator:
Asprin itabidi tupange siku tukutane pale ofisini kwa Mtambuzi
tukapate breakfast ili uweze kunipa heshima stahili.

 
Tatizo watu ni kutokukubali hivi vitu mkuu,
mimi huwa natumia unga wa majani ya mlonge
naongeza na habasoda kidogoo,
kweli ngozi yangu ni nyororo kama ya mtoto mchanga,

Kivyangu nakushukuru sana mkuu.
@Mamndenyi Ongeza kula kila sikuTunda la Avocado Uso wako hautaonyesha kujikunja maishani mwako utakuwa kijana pasipo na kujipaka marangi mengi ya uso.



Tunda la Avocado tumia hili tunda kila siku kisha unipe feedback.
 

Unatafuta maandamano mengine wewe
 
Asprin itabidi tupange siku tukutane pale ofisini kwa Mtambuzi
tukapate breakfast ili uweze kunipa heshima stahili.
Hahahaha Mamndenyi naona siku hizi umekua. Yaani uaniita jina langu kavukavu badala ya kuanza na cheo Anko Asprin.

Si kosa lako, ndo madhara ya kulelewa na wajomba.
 
Last edited by a moderator:

RussianRoulette heshima kwako kwa kila kitu mkuu,
ila kwa umri sijui.

Kumbe umri dili eeeh?:biggrin:
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…