Gazeti letu la Udaku JF..


JF Radio mbao yafunguliwa rasmi..masupastaa kibao wa jf wamiminika kuomba kazi..wamo the finest,klorokwini,firstlady,kongosho na rejao..wadai wataka wajisafishe na watoa onyo wakipata kazi waliowachafua kwa skendo chafu wote wakae chonjo..
 
The Boss si mkweli, arudi kimya kimya kutoka UK, Kongosho aapa kulipa kisasi cha kusafiri bila kuaga.
JF UK yaandamana: "Itakuaje tumlipie The Boss tiketi ya kuja UK kuwakilisha wauza vocha wa TZ kwenye mkutano wa "celphone stakeholders" alafu aje na aondoke bila kutuona?" asema mwenyekiti wa JF UK (Fe Lady) huku akionesha risiti ya tiketi ya ndege alio mlipia sharobaro maarufu wa JF.
 

The boss sasa aishi kama digidigi...amuogopa first lady,ni baada ya kuingia mitini na vocha alizotumwa UK..mwenyewe aulizwa na kusema mwandishi mwenye ubavu wa kuandika habari hii ajitaje jina aweke na picha yake..
 
sweetlady anusurika 'kusutwa'...lol
akimbilia nyumbani kwa preta.....lol
Hapatoshi kati ya The Boss na kongosho: kisa? Yabainika The Boss anapenda sana wadada wenye makalio kutoka china wakati kongosho ni kimbau mbau!,..


Kongosho ajiapiza kwenda kufuatilia dawa za kuongeza makalio.
 
Kongosho afumaniwa na mme wa mtu ndani ya hoteli moja maarufi dar es salaam
 
FaizaFoxy ajutia uamuzi wa kupokea pesa za mafisadi: asema shetani alipita jirani yao na kumshawishi, aahidi kuwa makini zaidi
Aahidi pia kurudisha kadi ya chama cha mapinduzi..., akinukuu maneno ya hayati baba wa Taifa kuwa ccm sio mama yake hivyo kuihama ni haki yake..
 
Excellent aanda party kubwa ya kuzaliwa mpenziwe Kabakana, Kabakana atinga ndani ya party hiyo na mpenzi wake mwingine wa kizungu.
party yageuka uwanja wa mapambano
FFU waingilia kati, mzungu atoweka kusikojulikana

Kongosho afumaniwa na mme wa mtu ndani ya hoteli moja maarufi dar es salaam
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…