FF avunja ukimya asema kula kiti moto ni suna kama haikudhuru peleka puani asema mbona pemba inaenda??na wote karibu ni waislamu??aeleza ndo maana mwezi mtukufu wa Ramadan ndo maana kiti moto udoda na mabaa kukaukiwa na watu na guest kukuta vibao vikisema vyumba vipo hadi saa6 usiku! hivyo ni jinsi gani waislamu wanahusika na zoezi hili na kwa maana hiyo ikifika Idd vitu alivyo vitaja huwa adimu mpaka baada ya wiki!!..............mwisho wakunukuu!!
Rejao kummwaga Lizzy..!!?? Afumwa na mwandishi wa JK udaku manzese vichochoroni karibu na gest akiwa na Smile majira ya saa tatu usiku..wakana kuwa na uhusiano wadai walikuwa kwenye kikao..watu wahoji ofisi gani zipo manzese vichochoroni tena saa tatu usiku..!!?Tuachane na hawa waandishi uchwara wa udaku JF...ngoja nikupigie tulonge fresh
Gazeti lenu la JF udaaku mlipendalo leo liko mtaani na habari motomoto.......
Klorokwin akamatwa akipiga chabo watu wakibanjua amri ya sita ajitetea asema ni moja ya staili zake za kupandisha mzuka akirudi kwa mke wake....
Asprin akamatwa juu paa la mwenye nyumba wake akiwanga mchana kweupe yeye asema alikuwa akiangalia kama mabati ni chapa Simba....
Fidel akamatwa akiwa uchi huku akiwa ameshikilia Jogoo asinginzia Joto ndio lilimfanya avue nguo...
Kongosho akamatwa akimbemenda Bujibuji
Yagundulika pedesheee aliyekuwa akimuweka mjini Husninyo ni Mwanakijiji, awakimbia waandishi wa habari na kuacha visigino vyake..
Lizzy ashikiliwa na polisi kwa kuiba pedo kwenye duka AfroDenzi
TANMO azua kizazaa msikitini baada ya simu yake kutoa mlio ambao haukutegemewa
Mwandishi na muasisi wa gazeti la JF udaku TANMO hatarini! Watu wamwendea kwa mganga kuzima nyota yake ya gazeti...wamo afrodenzi,the finest,kongosho na klorokwini...Mzee mwanakijiji aonekana duka la silaha..adai kuna mtu anamchafua na anataka kummaliza kwa risasi...TANMO mwenyewd yasemekana kajichimbia kwa kimada wake faiza foxy kujificha..faiza mwenyewe akana hamjui mtu huyo...
Hahahaha...duh..inaonekana wanatuchezea akili hawa...tehetehe..Baada ya faiza kukana tuhuma hizo afumwa nyumbani kwa mwanakijiji,TANMO aja juu ataka kwenda kortini kumshitaki mwanakijiji.
View attachment 42939
Rev. Masanilo afumaniwa na muumini wake akiwa amejichimbia ndani ya hii gesti awasihi wapiga picha wasizitoe picha zake....
SIRI zaidi zafichuka kuhusu kufaniwa kwa Rev.masanilo kumbe walikuwa wakipeana raha na FAIZA FOXY huku wakila kitimoto.View attachment 42939
Rev. Masanilo afumaniwa na muumini wake akiwa amejichimbia ndani ya hii gesti awasihi wapiga picha wasizitoe picha zake....
:lol::lol:...Masanilo ana hali tete sasa hivi kabikia na boxer tu...hahahahahahahahahahahahah
The Finest umezidi vichekesho jamani lohhhhh
sina mbavu mwehh
View attachment 42939
Rev. Masanilo afumaniwa na muumini wake akiwa amejichimbia ndani ya hii gesti awasihi wapiga picha wasizitoe picha zake....
hahahahahahahahahahahahah
The Finest umezidi vichekesho jamani lohhhhh
sina mbavu mwehh
Wigi la afrodenzi ladondoka. Watu wote wapigwa na mshangao baada ya kumuona ana bonge la kipara na kichogo cha nguvu.
Siri zaidi zafichuka kuhusu wigi la afrodenzi,aliliazima kwa lizzy,yeyebmwenyewe akataa kumzungumzia sakata hilo akwepa kamera aingia mitini.
inasemekana sulphurdioxide ni mpika majungu dar nzima wanamjua.
Afrodenzi afumaniwa akipiga chabo kwenye chumba cha Rev.masanilo.
Wigi la afrodenzi ladondoka. Watu wote wapigwa na mshangao baada ya kumuona ana bonge la kipara na kichogo cha nguvu.
Ahahahaaah!! Mbavu zangu jamani...duhhhhhhhh chabo tena
hahahahahaahah
naona umenianzia ..
Breaking news Husninyo adokeza anataka kuweka avatar ya sura yake kabisa . Husninyo alipiga picha hii dakika 30 zilizopita.. na mpiga picha wenu Da mie..