Gazeti la Uhuru na Habari Feki

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,767
7,115
Ni jambo la kushangaza sana kuona gazeti la Uhuru likiandika habari za matukio yasiyo sahii, hii inaonyesha kukurupuka na kutokuwa makini na utendaji wake, Jana Gazeti hili liliandika habari inayohusu kuporwa bunduki askari Police pale kijitonyama Benk ya Posta ambavyo haikuwa sahihi, sahihisho lake ni kwamba Bunduki iliporwa maeneo ya mwananyamala kwenye bank ya akiba Commercial bank karibu ba bar ya Meridian, na sio benk ya posta pale kijitonyama, Jamani wahariri kuweni makini na habari za kiuchunguzi sio mnatuma maandishi wa habari wa Udaku ndio wanaandika wasichokijua!!!
 
ni gazeti la kishenzi linalomilikiwa na taasisi ya kishenzi. wala usishangae
 
kama kuna watu hawaamini kwamba waliandika habari feki watafute gazeti la Jana jini la Dar leo lenye habari sahihi na lile la uhuru lenye habari feki na vichwa vya habari vya ajabu wakti yaliandikwa ni tofauti,
 
wewe umestuka leo hata likitolewa bure sintalichukuwa na kirus kilichooza ambacho kikiingia mwilini kinaharibu kila kitu. Liogope kama ukoma.
 
Back
Top Bottom