Gazeti la Tanzania Daima latumika kumsafisha Membe(?)

Twendeni na membe ...jiwe tulipasue tujengee msingi wa taifa letu Tanzania!
 
Wacha wasambaratike ndiyo watakuwa na heshima
Alivyokuwa anawashambulia wapinzani kwa tuhuma zake za kitaahira walikuwa wanakenua kama mabaamedi vile, sasa kawageuka wanapiga mayowe. Hovyo sana hawa fisiem.
 
Kwa wiki mbili mfulilizo gazeti la Chadema linalomilikiwa na Mbowe ,Tanzania daima limekuwa likija na front page za kumsafisha na kumsifia Membe kuwa anafaa kuwa rais wa Tanzania.

Hata kipindi ambacho Lisu amepigwa risasi gazeti la Tanzania daima halikuja na front page ya kuhusu tukio kwa wiki mbili mfululizo. Pia hata sasa hivi Mbowe yuko gerezani lakini gazeti haliandiki habari zake badala yake limejikita kumsafisha mwana ccm Membe!!

View attachment 958860View attachment 958861View attachment 958862

Gazet la TANZANITE lahongwa kumchafua MEMBE
 
Huna ushahidi wa hilo unalolisema ni Bora tu kufyata mdomo. Tukio la lissu wananchi walipost sana labda kama ww hukuwa na hela za kununua hilo gazeti. Walipost mnooo...

Anyway, mbona kigazeti cha musiba kinachotukana watu hukioni?
 
Ushahidi ni kuja na front page ya Membe kila siku
 
Kwa wiki mbili mfulilizo gazeti la Chadema linalomilikiwa na Mbowe ,Tanzania daima limekuwa likija na front page za kumsafisha na kumsifia Membe kuwa anafaa kuwa rais wa Tanzania.

Hata kipindi ambacho Lisu amepigwa risasi gazeti la Tanzania daima halikuja na front page ya kuhusu tukio kwa wiki mbili mfululizo. Pia hata sasa hivi Mbowe yuko gerezani lakini gazeti haliandiki habari zake badala yake limejikita kumsafisha mwana ccm Membe!!

View attachment 958860View attachment 958861View attachment 958862
kama umikasirika kanye
 
ule msiba umehongwa na nani.. tuanzie hapa
 
Back
Top Bottom