Gazeti la Tanzania Daima latumika kumsafisha Membe(?)

Mbinuka utunguliwe ili upate kuishi mjini
Wewe utaishia hivi hivi hapo Lumumba.
tapatalk_1541832657263.jpeg
 
Kwa wiki mbili mfulilizo gazeti la Chadema linalomilikiwa na Mbowe ,Tanzania daima limekuwa likija na front page za kumsafisha na kumsifia Membe kuwa anafaa kuwa rais wa Tanzania.

Hata kipindi ambacho Lisu amepigwa risasi gazeti la Tanzania daima halikuja na front page ya kuhusu tukio kwa wiki mbili mfululizo. Pia hata sasa hivi Mbowe yuko gerezani lakini gazeti haliandiki habari zake badala yake limejikita kumsafisha mwana ccm Membe!!

View attachment 958860View attachment 958861View attachment 958862
uhuru wa habari upo kulinda habari usiozipenda wewe na huyo nyapara wako. cha ajabu mnataka uhuru huu ulinde habari mzioendazo ! mmekataza hata tusione taarifa za habari kupitia vingamuzi kwa hoja za ajabu kabisa bado mnataka MAGAZETI nayo?
 
Ni vema ukileta vichwa vya habari vyote kwa matukio yote mawili kwa wiki mbili....ili nasi tujiridhishe...bila hivyo utakuwa unajipigia ngoma halafu unacheza mwenyewe
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom