Elitwege
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 5,154
- 10,809
Kwa wiki mbili mfulilizo gazeti la Chadema linalomilikiwa na Mbowe ,Tanzania daima limekuwa likija na front page za kumsafisha na kumsifia Membe kuwa anafaa kuwa rais wa Tanzania.
Hata kipindi ambacho Lisu amepigwa risasi gazeti la Tanzania daima halikuja na front page ya kuhusu tukio kwa wiki mbili mfululizo. Pia hata sasa hivi Mbowe yuko gerezani lakini gazeti haliandiki habari zake badala yake limejikita kumsafisha mwana ccm Membe!!