Gazeti la Tanzania Daima latumika kumsafisha Membe(?)

hapo ndo huwa nachoka na siasa za bongo...... yaani hadi wapinzani wanashabikia kuwa 2020 twende na membe.
sasa target yao ni kuondoa Ccm au magufuli.

maana hata membe akiingia still ni ccm so mifumo ile ile itaendelea tu. Au wapinzani wa nchi hii wanamipango ya kuwa wapinzani milele?
jiwe kwanza litoke mengineyo tutajua mbere kwa mbere
 
Kwa wiki mbili mfulilizo gazeti la Chadema linalomilikiwa na Mbowe ,Tanzania daima limekuwa likija na front page za kumsafisha na kumsifia Membe kuwa anafaa kuwa rais wa Tanzania.

Hata kipindi ambacho Lisu amepigwa risasi gazeti la Tanzania daima halikuja na front page ya kuhusu tukio kwa wiki mbili mfululizo. Pia hata sasa hivi Mbowe yuko gerezani lakini gazeti haliandiki habari zake badala yake limejikita kumsafisha mwana ccm Membe!!

View attachment 958860View attachment 958861View attachment 958862
Naomba kujua urefu wa kimo chako tafadhali.
 
hapo ndo huwa nachoka na siasa za bongo...... yaani hadi wapinzani wanashabikia kuwa 2020 twende na membe.
sasa target yao ni kuondoa Ccm au magufuli.

maana hata membe akiingia still ni ccm so mifumo ile ile itaendelea tu. Au wapinzani wa nchi hii wanamipango ya kuwa wapinzani milele?
Huelewi michezo ya kisiasa,tulia tu wajuzi tuzichange karata!
Siasa ni sayansi!
 
Back
Top Bottom