Gazeti la Tanzania Daima limepigwa pini?

Duh!, .. yaani hata baada ya zile nyaraka mbili za EU name US kuhusu media suppression bado wanafanya hizi makitu!. Anyway thanks kwa taarifa, hii sio new situation, tumeisha zoea tena thanks God mambo yanayotukuta sisi individual critical journalists, hatuyasemi, tunakufa tuu kizungu na tai shingoni. Ila hawa watu Mungu anawaona!.

Fungia Fungia Magazeti: Ni Udikiteta wa Serikali Magufuli, Yalaaniwa na Yasulubiwa - Jicho Letu Ndani ya Habari!. - JamiiForums
P
Paskali si umetoa nasaha kwamba JPM do not bow!!! Tz is a sovereign state; vipi tena unashangaa hili?!
 
Mkuu Mbase, kidonge hiki ni kichungu, lakini hakuna jinsi, nimekichukua na kukimeza kwa sababu ni ukweli mtupu.
P.
Unajua hata kama tajiri ni CCM ama UKAWA lazima kuna siku hivyo vyama vitakua vimefanya kweli, Tangu nianze kuona vichwa vya habari vya TANZANITE wao kusifu tu kila kukicha na hilo TANZANIA DAIMA vilevile.

USA Fox News ni chombo cha habari za Conservative na kina kera mno maana kazi yao kumtetea Trump kwenye Prime Time mfano Fox and Friends, Tuck Carlson, Sean Hannity, Judge Pirlo na Laura Ingrham hawa mpaka wanaudhi maana wanatetea na wamekua kama wapiga zumari wa Trump, lakini Shep Smith na Chris Wallace ukiwasikiliza unaweza ukadhani siyo waajiriwa wa Fox News.

CNN ni Liberal nao vile vile kazi kumkosoa Trump lakini wanakosoa ubovu zaidi na pale kwenye ukweli wanausema hapa nyumbani tumekuwa kama Urusi kazi kusifiu kusifu na kuwaita makamanda huku wengine wanaitana wazalendo hata kama ni pumba tu zinaandikwa. Hapo ndipo ninakosa kutoa utetezi hivi vyombo vyenu vikifungiwa.
 
Paskali si umetoa nasaha kwamba JPM do not bow!!! Tz is a sovereign state; vipi tena unashangaa hili?!
Kuna issues ni mambo ya ndani, na mambo ya nje. Kama ilivyo kwenye mechi za ndani za Simba na Yanga, washabiki wa Simba au Yanga, wataishaghilia timu yao, na ikishindwa watasikitika kuwa ni bahati mbaya, na kujifariji kuwa japo wamefungwa lakini chenga wamewala.

Katika mechi za kimataifa, Simba ikicheza, mashabiki wote wa Simba na wa Yanga wanaungana kuishangilia Simba, the same applies to Yanga, hapa tunatanguliza mbele maslahi ya taifa.

Hivyo katika zile nyaraka mbili za EU na US, hawa ni mabeberu na wakoloni mambo leo against nchi yetu na rais wetu, hivyo uzalendo wa kweli ni kuipigania nchi yako dhidi ya mabeberu na wakoloni mambo leo.

P.
 
P kuna mtu leo asubuhi amekufunguulia uzi humu eti siku hizi unaandika makala za shobo kwa watawala ili upate uteuzi sijui kama umeuona uzi huo!
Duh!, .. yaani hata baada ya zile nyaraka mbili za EU name US kuhusu media suppression bado wanafanya hizi makitu!. Anyway thanks kwa taarifa, hii sio new situation, tumeisha zoea tena thanks God mambo yanayotukuta sisi individual critical journalists, hatuyasemi, tunakufa tuu kizungu na tai shingoni. Ila hawa watu Mungu anawaona!.

Fungia Fungia Magazeti: Ni Udikiteta wa Serikali Magufuli, Yalaaniwa na Yasulubiwa - Jicho Letu Ndani ya Habari!. - JamiiForums
P
 
Kuna issues ni mambo ya ndani, na mambo ya nje. Kama ilivyo kwenye mechi za ndani za Simba na Yanga, washabiki wa Simba au Yanga, wataishaghilia timu yao, na ikishindwa watasikitika kuwa ni bahati mbaya, na kujifariji kuwa japo wamefungwa lakini chenga wamewala.

Katika mechi za kimataifa, Simba ikicheza, mashabiki wote wa Simba na wa Yanga wanaungana kuishangilia Simba, the same applies to Yanga, hapa tunatanguliza mbele maslahi ya taifa.

Hivyo katika zile nyaraka mbili za EU na US, hawa ni mabeberu na wakoloni mambo leo against nchi yetu na rais wetu, hivyo uzalendo wa kweli ni kuipigania nchi yako dhidi ya mabeberu na wakoloni mambo leo.

P.

Lakini press freedom ni moja ya issues walizozitaja kwamba hazijakaa vema, au kwenye media suppression mabeberu wale wale wanakuwa malaika weupe ila kwenye ushoga na human rights na demokrasia hapo ni mashetani na adui! Paskali umenichanganya!
 
BAK ni nani Dikteta?
Hapo ndipo mnapokosea. Unataka kumweka Ngosha na Mtani wangu Mayalla kwenye box kama kaka yake Evarist Chahali Cyprian Musiba. Yeye ni mwandishi huru wa habari na ni Broadcaster hahitaji kukosoa tu pale anapoona kuna ukweli lazima aandike ukweli. Mwanamuziki Akon alituambia vizuri sana alisema Waafrika kila kukicha kazi yetu kuanika mambo yetu ya ndani hadharani as if huko watu wanaishi kama malaika kumbe ni zaidi ya wanyama.

USA polisi wanaua wamarekani weusi kama wanyama hakuna sheria inayowaweka ndani kila wakipelekwa mahakamani wanaachiwa. Hapa Polisi akiua mtu serikali nzima ina lalamikiwa utadhani magufuli ndiye aliyemtuma. Leo tunasema USA watusaidie haki za binamu wakati hata juzi juzi kwenye Mid term election wameawanyima watu weusi haki ya msingi ya kikatiba kupiga kura. Hivi watu hua mnasoma habari zinazohusu Tanzania na Afrika tu hamfuatilii za huko kwao????
 
Lakini press freedom ni moja ya issues walizozitaja kwamba hazijakaa vema, au kwenye media suppression mabeberu wale wale wanakuwa malaika weupe ila kwenye ushoga na human rights na demokrasia hapo ni mashetani na adui! Paskali umenichanganya!
Rais wao angekua na katiba kama ya kwetu angeshafunga watu zamani. Anawaita enemies of the people mpaka vichaa wanataka kuwaua. Halafu leo wanataka kutufundisha sisi
 
Duh!, .. yaani hata baada ya zile nyaraka mbili za EU name US kuhusu media suppression bado wanafanya hizi makitu!. Anyway thanks kwa taarifa, hii sio new situation, tumeisha zoea tena thanks God mambo yanayotukuta sisi individual critical journalists, hatuyasemi, tunakufa tuu kizungu na tai shingoni. Ila hawa watu Mungu anawaona!.

Fungia Fungia Magazeti: Ni Udikiteta wa Serikali Magufuli, Yalaaniwa na Yasulubiwa - Jicho Letu Ndani ya Habari!. - JamiiForums
P
Unashangaa la kufungia Gazeti, Jana tu huko Mafinga wapinzani wamekamatwa kwa kuitisha mkutano wa ndani !!
 
Duh!, .. yaani hata baada ya zile nyaraka mbili za EU name US kuhusu media suppression bado wanafanya hizi makitu!. Anyway thanks kwa taarifa, hii sio new situation, tumeisha zoea tena thanks God mambo yanayotukuta sisi individual critical journalists, hatuyasemi, tunakufa tuu kizungu na tai shingoni. Ila hawa watu Mungu anawaona!.

Fungia Fungia Magazeti: Ni Udikiteta wa Serikali Magufuli, Yalaaniwa na Yasulubiwa - Jicho Letu Ndani ya Habari!. - JamiiForums
P

Kaka Pascal ukiona giza totoro ujue pamekaribia kukucha.

The today's demi-gods, they will be slaves one day
 
Unajua hata kama tajiri ni CCM ama UKAWA lazima kuna siku hivyo vyama vitakua vimefanya kweli, Tangu nianze kuona vichwa vya habari vya TANZANITE wao kusifu tu kila kukicha na hilo TANZANIA DAIMA vilevile.

USA Fox News ni chombo cha habari za Conservative na kina kera mno maana kazi yao kumtetea Trump kwenye Prime Time mfano Fox and Friends, Tuck Carlson, Sean Hannity, Judge Pirlo na Laura Ingrham hawa mpaka wanaudhi maana wanatetea na wamekua kama wapiga zumari wa Trump, lakini Shep Smith na Chris Wallace ukiwasikiliza unaweza ukadhani siyo waajiriwa wa Fox News.

CNN ni Liberal nao vile vile kazi kumkosoa Trump lakini wanakosoa ubovu zaidi na pale kwenye ukweli wanausema hapa nyumbani tumekuwa kama Urusi kazi kusifiu kusifu na kuwaita makamanda huku wengine wanaitana wazalendo hata kama ni pumba tu zinaandikwa. Hapo ndipo ninakosa kutoa utetezi hivi vyombo vyenu vikifungiwa.
Bora umeliona hili.Huwez kuta Tanzania Daima imesifu au kuandika habari chanya kwa serikali, Wao ni propaganda tu dhidi ya serikali na ukija Tanzanite nao ni propaganda tu dhidi ya wapinzani wa serikali. CCM wakizidiwa propaganda kwakua wao ndio wameshika mpini wanafunga gazeti huku upinzan nao wakizidiwa propaganda na Tanzanite au akina musiba hukimbilia jf kutoa mapovu.
 
Kwani hao wenyewe wamethibisha hilo isije ikawa wana matatizo ya kwao ikaonekana wamefungiwa
 
Duh!, .. yaani hata baada ya zile nyaraka mbili za EU name US kuhusu media suppression bado wanafanya hizi makitu!. Anyway thanks kwa taarifa, hii sio new situation, tumeisha zoea tena thanks God mambo yanayotukuta sisi individual critical journalists, hatuyasemi, tunakufa tuu kizungu na tai shingoni. Ila hawa watu Mungu anawaona!.

Fungia Fungia Magazeti: Ni Udikiteta wa Serikali Magufuli, Yalaaniwa na Yasulubiwa - Jicho Letu Ndani ya Habari!. - JamiiForums
P
Sikio la kufa..!
 
Cyprian Musiba...ama kweli amekuwa shubiri, dume la mbegu na nyani gumegume asiyetishwa na kelele za mkulima.

Yaani inafikia hatua mtu anataja majina ya watu wazi wazi na kudai ati mmojawapo anajiuza "msenge" kwa mabeberu?! Hivi kweli?

Tuna sheria inayopinga hayo...polisi kimyaaa, idara ile kimyaaa, viongozi kimyaaa!!! Leo wanaibuka kudai wanapinga ushoga??

Serikali yetu ni ya wote, hakuna mmiliki wa serikali.
 
Tulikosea kumwuliza jiwe atuoneshe rafiki zake tungemjua tabia yake nadhani haya yanayoendelea yasingekuwepo
 
Back
Top Bottom