Gazeti la Tanzania Daima hatarini kufungiwa...!

Gazeti la Tanzania Daima hatarini kufungiwa...!

Mfano mzuri ni deni la taifa kufikia Usd.22 trillion

Hiyo Usd sina uhakika nayo ila ukweli ambao Serikali imekiri ni deni kupita Tshs. trillion 20 na hiyo ilikuwa ni Mwezi October mwaka jana.. So kama wameandika Usd itakuwa ni makosa kwenye uchapaji.. Bado sijaona uchochezi hapo Mkuu..
 
walifungie tu kwa sababu wamezoea kutumia nguvu nyingi kwenye vitu vidogo ila wajue bado kidogo dini zitaifunika nchi na shuka jekundu.na mambumbu wanaongezeka kwa mitihani iliyosahishwa kikuda na wengine wanapena majina na barabara shame on serikali mbovu ya ------.
 
Sasa Tanzania Daima ina maana hawakuwa na mtu ambaye angeweza kuwaambia kilichotokea? Kweli wanaweza kuandika habari nzito kama hii bila uwepo wa ushahidi wa video?

mkuu shikamooooooo!!!!!! kumbe kuna siku zingine unauona ukweli na kuusema.
 
Unataka mifano gani!? Mm ni CHADEMA niyeelimika,,,, Tanzania Daima halipaswi hata kuwepo ktk nchi hii wafungiwe kabisa hawafai,,,, jamaa wachochezi saana.

Samahani Mkuu hii kwenye red ni Chadema ya akina Juliana & Mtela au..?
 
Namfahamu vizuri Isango, sio mtu wa kukurupuka kiasi hicho. Naamini kilikwepo chanzo cha habari hii, labda kilikuwa si cha kuaminika kwa 100%.,lakini tayari gazeti limeomba radhi, na ndio utaratibu tulionao..
aliyetuma ile habari alitumwa kuituma baada ya kuhongwa kwa sababu wamelitafuta muda mrefu sana hili gazeti na kwa sababu walimuamini wakauvaa mkenge.waandishi wa tz wanasalitiana sana.
 
Wapuuzi tu serikali yetu

Siku zote Ansbert Ngurumo amekuwa mwiba kwa serikali ya Kikwete kupitia makala zake kwahiyo toka Kibanda kununuliwa na mafisadi na kuondoka Tanzania Daima, Ansbert Ngurumo amechukua nafasi yake na hivyo wanatafuta kisingizio cha kulifungia gazeti kama walivyofanya MwanaHalisi!!
 
Hili gazeti lifungiwe milele halina habari za maana zaidi ya kupika fitna majungu chokochoki na ufukunyuku tuuu
 
Kuna mambo ya msingi ambayo serikali yangu ingenifurahisha sana mimi na watanzania wenzangu iwapo ingewekeza nguvu ya rasilimali watu, fedha na muda kushughulikia badala ya issues kama hizi, tunataka tujadili sasa kwa nini wadogo zetu wanafeli na nini kifanyike, vurugu za kidini nani wahusika, wanafanywa nini, kwa nini wananchi hawana maji nk.


Kama siyo mambo ya kisiasa kuandika habari za kichochezi na kwenda kupekua majumbani kwao kunahusiana vipi? Halafu kauli ya kwamba eti JK lazima afungie gazeti kama siyo yeye rais ajaye(hapa maana yake rais kutoka ccm) inaashiria kuwa ccm hawatakua tayari kuachia hata wakishindwa ila binafsi sioni kwa nini tuendelee kuwachagua.
 
Mkurugenzi wa Radio Imaan na ustadhi Hassan Ilunga watakamatwa lini?

Yaani ndicho nilikuwa nakiwaza. Ila najua Redio imani na ustaadhi Ilunga hawatakamatwa kwa sababu ni waislamu na serikali inawaogopa au kuwalinda waislamu kwa lolote!...
 
Hili gazeti limevumiliwa sana kwa kipindi kirefu, waandashi wake wamekosa uweledi wa uzalendo pia ni makanjanja ambao wameokotwa mtaa wa Ufipa kwa kazi ya kupigia domo Chadema
 
Mpaka ifike 2015 tutashuhudia mengi
 
Kwa hali hii ya polisiccm kujishughulisha na magazeti makini na kuacha vyombo vya kigaidi kama radio imaan na magazeti ya Al nuur pamoja waraka unaosambazwa na UAMSHO tusitegemee kama hii nchi itakuwa salama ila siku mtakapo anza kupima huo u.s.e.n.g.e wa polisi kwa kuchinjwa ndio mtakapojua kumbe polisi mnapaswa kufanya kazi gani hapa tanzania mbwa wakubwa nyie


Kufungia Tz daima na kuacha Annur, kikundi cha kigaidi cha uamsho na kumwacha mpangaji wa mauaji ya mapadre na maaskofu - Ustaadhi Ilunga akipeta mtaani ni U-NGE-SE mkubwa!
 
Hili gazeti limevumiliwa sana kwa kipindi kirefu, waandashi wake wamekosa uweledi wa uzalendo pia ni makanjanja ambao wameokotwa mtaa wa Ufipa kwa kazi ya kupigia domo Chadema

Kuvumiliwa kwa Redio Imani, gazeti la annur, kikundi cha kigaidi cha UAMSHO, na Mhamasishaji mkuu wa mipango ya mauaji ya viongozi wa kanisa ustaadhi ILUNGA - ni ishara ya kuwepo mfumo ISLAM uliokomaa!..
 
Eti ni Dokta wa binadamu anamilikije gazeti.................... Sijawahi kusikia utumbo kama huu. Tanzania utadhani inaongozwa na mambulula tuuuuu.
 
Ukiomba radhi katika front page maana yake umekiri na ndio utaratibu wa vyombo vya utangazaji. yawezekana hawakuwa na ushahidi wa kilichotokea but habari ilikuwa sahihi!!

habari ipi ilikuwa sahihi, kama ilikuwa sahihinkwanini wameomba radhi???? tz daima mara nyingi sana inaandika habari za kishabiki na udaku udaku kuwafurahisha wasomaji wake badala kuandika ukweli hata kama haufurahishi
 
Back
Top Bottom