Gazeti la Raia Mwema la leo mmmh..

Ulimakafu

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
29,002
10,631
Gazeti pendwa na maarufu la uchambuzi wa siasa na wa kijamii la Raia Mwema la leo 06/07/2011,toleo na.193,limejaa matangazo tu.Kati ya kurasa 36, 21 ni matangazo ya hotuba za kule Dodoma.Mimi kama msomaji wamuda mrefu hili limenikera.Mjirekebishe.
 
Ngoja nikalitafute kwanza maana na mimi ni msomaji wake mzuri
 
Gazeti pendwa na maarufu la uchambuzi wa siasa na wa kijamii la Raia Mwema la leo 06/07/2011,toleo na.193,limejaa matangazo tu.Kati ya kurasa 36, 21 ni matangazo ya hotuba za kule Dodoma.Mimi kama msomaji wamuda mrefu hili limenikera.Mjirekebishe.

Unanitia mashaka. umeanza kusoma magazeti lini?
 
Nashukuru kwa taarifa ngoja nikajikamatie TZ daima na MwanaHalisi nadhani yatanitosha kwa leo.
 
Gazeti pendwa na maarufu la uchambuzi wa siasa na wa kijamii la Raia Mwema la leo 06/07/2011,toleo na.193,limejaa matangazo tu.Kati ya kurasa 36, 21 ni matangazo ya hotuba za kule Dodoma.Mimi kama msomaji wamuda mrefu hili limenikera.Mjirekebishe.

Hata mimi ni mpenzi wa Raia mwema,ila toleo unalolizungumzia sijaliona.Kama kuna matangazo mengi labda wamekosa habari ya maana ya kuandika.Lakini hata hivyo ,si unajua matangazo yanalipa zaidi.
 
Hayo matangazo ni sehemu ya chanzo cha mapato kwa gazeti na hulazimiki kuayasoma.......wewe unadhani 500/= kwa nakala iataendesha gazeti kweli? Hebu soma hizo kurasa 15 zilizobaki na kama ni utumbo umeandikwa ndio iwe hoja.
 
Ni jambo la heri kama serikali wamewapatia Matangazo italipa nguvu zaidi gazeti, serikali ilikua inabana sana kutoa matangazo kwa haya magazeti yenye mrengo wa Kushoto ila naomba isije ikawa rushwa.
 
Hapo ndipo inapothibitika kwamba gazeti hili si tishio kwa wserikali. Ndiyo maana serikali inaweka matangazo yake humo.
 
Wrong........serikali kama inataka kusikika inabidi itumie media zinazosomwa na kuangaliwa na wengi....hasa pale ujumbe unapokuwa na umuhimu kwao
 
Gazeti pendwa na maarufu la uchambuzi wa siasa na wa kijamii la Raia Mwema la leo 06/07/2011,toleo na.193,limejaa matangazo tu.Kati ya kurasa 36, 21 ni matangazo ya hotuba za kule Dodoma.Mimi kama msomaji wamuda mrefu hili limenikera.Mjirekebishe.

Mwenyewe nimenunua nasikitika nimekula hasara nimeamua kumpa mama mchoma vitumbua afungie wateja
 
Hawana ruzuku kutoka serikalini kama uhuru,mzalenda na daily news.matangazo ni njia pekee ya kujiingizia kipato ili waweze kujiendesha na isitoshe matangazo ni ya muhimu.kuhusu hotuba za bungeni,sisi wengine ngeleja/umeme kakatika siku ya tatu hatujasikiliza bunge so ni muda muafaka wa kupitia hizo hotuba na ndio maana likaitwa gazeti la wiki unalisoma wiki nzima.pole ndugu yangu.
 
Hakuna tena cha kuandika kuhusu EL na very soon there will be nothing to write about Chenge!
 
u DU NGOJA NAMI NIKALITAFUTE. LKN NIJUAVYO MATANGAZO YA BIASHARA NDO YANAENDESHA MAGAZETI.
 
Back
Top Bottom