Gazeti la Nipashe limepotosha vikali

Kwenye hili naona mkuu upo upande wa acacia. Hongera mkuu hiyo ndo demokrasia
 

Wewe na Mimi hatutofautiani, hicho Kipande Kidogo cha Dhahabu au hivyo vipande Ingots chache za Dhahabu bado utahitaji Lori Lenye Capacity kubwa Tonage kuibeba. Lakini aliyetoa amaelezo Ni wazi alitaka Kuweka Picha kwa Wananchi kuwa ni Dhahabu ya Kujaza Malori Mawili na Ushee! Kwani angezingatia Nature ya Uzito wa Dhahabu, angejua kuweka kwa wananchi inabebwa na Malori Mangapi ingepotosha na To be honest Dhahabu hiyo inabebwa na Meli, Treni au Lori halikuwa na Maana lengo lilikuwa Kuchora picha ya Uwongo!
 
Jana rais alizungumzia uzito na sio ujazo na alitumia lugha ya malori kama lugha ya picha ili kuonyesha wingi/idadi ili iweze kueleweka kiwepesi.
Nafikiri hivyo.
 
Sijaona unachobishia
Anachobishia ni lile swali la kilo moja ya pamba na kilo moja ya mawe ipi nzito. Alidhani mkuu aliposema fuso mbili na pick up moja alidhani lile fuso lijae kama limepakia pamba kumbe tani saba za dhahabu ukubwa ni kama pipa la maji. hapo maana yake tani 7 zinakuwa zimejaa hata kama bado kuna nafasi ila uzito tayari tani saba.
 
Rais jana alizungumzia uzito na kujaribu kufafanua kuhusu uzito huo ni gari mbili za tank sabasaba na pickup moja. Hivi ni lini watanzania tutasimama kupinga unyonyaji unaofanywa na wawekezaji hawa? Tusipotoshe umma jmn nchi hii ni yetu sote twapaswa kuipenda
 
Ninyi ni majinga flani hivi
Ubarikiwe kwa ujanja wa kijinga ulionao,
Kwa jicho lako la upofu.
Naamini hata masikio yako ni mapambo tu!!!
Masikini hayana uwezo wa kusikia!!!!!!
 
Jana mkuu alizungumzia uzito sio ujazo.
Sio Kweli Msikilize hata kuna mahali altaja Kavokswagon kote ni dhahabu, Ukijaza Vokswagon dhahabu utakuwa umeweka zaidi ya Tani 30 Za dhahabu! Itavunjika vyuma na Matairi yatapasuka kabla hata hujamaliza kuipakia!

In Short Nipashe Walikurupuka, Kuandika Upotoshaji.
 
Ndio maana hata hao ACACIA wanashangaa hiyo ripoti.
Mnahangaika bure bavicha....maana kila kina mmebaki wenyewe tu hata magazeti pendwa yenu yako kwa Magufuli, Lissu na wenzake wako kwa Magufuli
 
Nimeuliza maana naona anashutumiwa Muhongo kana kwamba yeye ndiye kaamuru huo mchanga upelekwe nje.
Muhongo anashutumiwa kwa usimamizi hafifu lkn kupeleka mchanga nje ni sehemu ya mkataba na utaendelea kupelekwa nje mpk tutakapojenga smelter yetu.
 
Ujinga wakati wa kwenda!
Nyerere alituambia kuwa kupigania uhuru wa wenzetu ilikuwa na faida kwetu. Wajomba zetu wamefia msumbiji wakiwapigania wana msumbiji matokeo yake uliona tukifurushwa msumbiji kama vibaka.

Inatupasa kutumia akili mara zote.
 
Muhongo anashutumiwa kwa usimamizi hafifu lkn kupeleka mchanga nje ni sehemu ya mkataba na utaendelea kupelekwa nje mpk tutakapojenga smelter yetu.
Ishu hapo sio kusafirisha udogo ila ni kudanganya kiwango cha madini yalioko katika mchanga hui
 
Ishu hapo sio kusafirisha udogo ila ni kudanganya kiwango cha madini yalioko katika mchanga hui
In addition: ndiyo maana amechuka hatua zinazohusu upande wake WA serikali. Upande wa wawekezaji hajasema lolote mpaka ripoti kamili ikamilike. Naona cha muhimu hapo ni kuwaonyesha watanzania kuwa sio kila taarifa unayopewa ni ya kiutafiti. Tukumbuke kuwa katika utafiti wa namna hii kny kila hatua za fundings pande zote zina endorse for acceptance of the findings
 
Umetumwa mwe.hu wewe, kumbuka hizo ni pesa za hayo wanayoyaita mabaki, kwamba yako na 30% ya dhahabu yote ilochimbwa, sasa piga hesabu kama hizo trillions ni za 30% je za 70% ni ngapi?

Kwanza we ni American citizen nashangaa ya huku yakuwashia nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…