TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,815
MARANDU, Fuso la tani saba, utahitaji mbili = 14 tones remains 5 tones na pick up kama tano if one pick up carries 1 tone.. Toyota Hilux!Kwenye Gazeti La Nipashe leo ambalo link naiweka Wamedai kuwa Dhahabu inayokuwa kwenye Makontainer 227 ni Takriban Tani 15 Za Dhahabu. Na kwa Mbwembe nyingi wakasema kuwa Kiasi hicho cha dhahabu kinajaza Malori ya Fuso Mawili na Pickup Moja.
Ambalo wamelisahau ni Density ya Dhahabu, Dhahabu ina Density ya 19,320 Kg/M³ hii ina maana Mita moja ya Ujazo wa Dhahabu ni Tani 19.32 sasa hii ni zaidi ya Tani hizo 15. Ukweli ni kuwa ingawa utahitaji Lori la Tani angalau 20 kubeba Tani 15 za Dhahabu, ujazo wake ni kama Pipa moja tu la maji. (Less than 1 M³)
Nchi hii inangamia kwasababu za kisiasa.Kizunguzungu mtindo mmoja.
Phd holder ndio alituambia hivyo!!!!
Halafu yeye anawashangaa wenzie eti ni maprofessor gani!!😀😀
always kichaa anamwona mwenzie ndo kichaa zaidi hiyo ni dalili kuu ya ukichaaKizunguzungu mtindo mmoja.
Phd holder ndio alituambia hivyo!!!!
Halafu yeye anawashangaa wenzie eti ni maprofessor gani!!😀😀
Ujazo my friend! Gold density is 19,320kg/M³ Maana yake ni kuwa Kipande cha dhahabu chenye urefu wa futi Tatu, upana waFuti tatu na kina cha futi tatu, kina Tani 19. Ukitaka kulinganisha uzito ingekuwa ni maji unahitaji Pipa Lenye ukubwa wa Mara 19 zaidi ya Kipande hiki ili uweze kulijaza Tani 19 za Maji.MARANDU, Fuso la tani saba, utahitaji mbili = 14 tones remains 5 tones na pick up kama tano if one pick up carries 1 tone.. Toyota Hilux!
Sijaona unachobishiaKwenye Gazeti La Nipashe leo ambalo link naiweka Wamedai kuwa Dhahabu inayokuwa kwenye Makontainer 227 ni Takriban Tani 15 Za Dhahabu. Na kwa Mbwembe nyingi wakasema kuwa Kiasi hicho cha dhahabu kinajaza Malori ya Fuso Mawili na Pickup Moja.
Ambalo wamelisahau ni Density ya Dhahabu, Dhahabu ina Density ya 19,320 Kg/M³ hii ina maana Mita moja ya Ujazo wa Dhahabu ni Tani 19.32 sasa hii ni zaidi ya Tani hizo 15. Ukweli ni kuwa ingawa utahitaji Lori la Tani angalau 20 kubeba Tani 15 za Dhahabu, ujazo wake ni kama Pipa moja tu la maji. (Less than 1 M³)
Jibu moja tu.....Utapelekwa mpaka tutakapojenga kinu chetu.Swali moja tu, mchanga utaendelea kupelekwa nje au hautapelekwa?!
Bwana wa majeshi genarali mkuu kamanda wa vita mzee wa chatoFedha na dhahabu ni mali ya Bwana
Alisema anajiita Prof kumbe ni Doctor.HV, yule prof alie pondwa jana na Rais ni nani? Naomben msaada.