Gazeti la Mwananchi na gamba la CCM! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gazeti la Mwananchi na gamba la CCM!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mzee wa Rula, May 8, 2011.

 1. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #1
  May 8, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Ukipita katika website hii, Gazeti la habari za kiswahili la kila siku Tanzania, linaongoza utakutana na kipengele cha kupiga kura chenye title ya CCM kujivua ‘Gamba' inatosha kujisafisha? Kwa kweli maswali yaliyowekwa ili yapigiwe kura ni shubiri kubwa kwa CCM, yaani yamekaa kuchekesha chekesha, dharau na kejeli kwa CCM juu ya zoezi hilo. Hebu cheki Questionnaire yao hapa chini kisha uniambie hawa jamaa Msekwa si anaweza kuwaita JF2!
  Maswali yenyewe ndiyo haya hapa,


  1. Ndiyo kutaimarisha chama, na kuja na mikakati mipya ya kujenga nchi
  2. Hapana huu ni ubabaishaji wa siasa za maji taka, wanazunguka mbuyu
  3. Wataleta mabadiliko ya nukta baadaye watarudi katika hali yao ya ufisadi
  4. Ni bora wakifutilie mbali na kuanzisha chama kingine, gamba huwa linakomaa tena
  Yaani kwa mashabiki wa CDM wanaweza kushindwa kuvote kwa jinsi maswali hayo yanavyoleta raha na kero kwa CCM!
  Mimi binafsi yangu, namba mbili ndiyo kura yangu je wewe namba ngapi imekufurahisha?
   
 2. k

  kagamba kadogo Senior Member

  #2
  May 8, 2011
  Joined: Apr 24, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wamenunuliwa na chenge hao
   
 3. k

  kilombero yetu JF-Expert Member

  #3
  May 8, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,007
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  atamwanahalisi likisema kweli siku hyo mtasema limeshanunuliwa
   
 4. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #4
  May 8, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Gamba baya ndugu yangu nipe namba uliyoipenda?
   
 5. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #5
  May 8, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 453
  Trophy Points: 180
  dahh namba 4 imekaa mbaya kinoma....wakifutilie mbali...hii itakuwa CDM kulamba dume ikitokea!! Nadhani akina RACHEL watakuwa wapo kazini sasa!!
   
 6. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #6
  May 8, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Ili tupishe zoezi la kila mara kuvua magamba maana halichelewi kurudi tena.
   
Loading...