Gazeti la Mwananchi laendeshwa kwa hasara

rajabs

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
384
Reaction score
73
Kampuni ya Mwananchi Ltd imeanza kuyumba kiuchumi baada ya kushindwa kulipa deni walilokopeshwa na kampuni ya Nation Media Group ya Kenya.

Lengo la mkopo huo ni kuwezesha uchapishaji wa nakala 3,500,000 kwa siku na badala yake ni nakala 100,000 kwa siku huku nusu ikiwa returns.

Tayari wafanyakazi wa kampuni hiyo wameshaanza kuona mwisho wao katika kampuni hiyo hususani baada ya kutangaziwa kuwa wanaweza kuacha kazi kwa hiari.

Chombo hicho kimekuwa kikitoa machapisho ya mlengo fulani ili kupata msaada wa kiuchumi lakini bado hali imekuwa hairidhishi.
 
Tangu walivyoanza kuweka mipicha ya urembo kujaza gazeti ndipo mwanzo wa mwisho ulipoanza.Ukisikia mbongo anaboresha kitu ujue ndio anaharibu.
 
Watakunya,magazeti yote yanayoandika habari za ccm kuitetea hayanunuliki kabisa,watu wamechoka.
 
kwanza mwananchi litakopaje Nation group wakt ni haohao? Nation Group ndio wanamiliki gazt la mwananchi. mkuu uko siriaz mwananchi wanauza chini ya nakala laki moja kwa cku???? kama ni ivyo bas gazet kama Jambo leo watakuwa wanauza nakala mia moja kwa cku
 
Kampuni ya Mwananchi Ltd imeanza kuyumba kiuchumi baada ya kushindwa kulipa deni walilokopeshwa na kampuni ya Nation Media Group ya Kenya.

Lengo la mkopo huo ni kuwezesha uchapishaji wa nakala 3,500,000 kwa siku na badala yake ni nakala 100,000 kwa siku huku nusu ikiwa returns.

Tayari wafanyakazi wa kampuni hiyo wameshaanza kuona mwisho wao katika kampuni hiyo hususani baada ya kutangaziwa kuwa wanaweza kuacha kazi kwa hiari.

Chombo hicho kimekuwa kikitoa machapisho ya mlengo fulani ili kupata msaada wa kiuchumi lakini bado hali imekuwa hairidhishi.
sina uhakika na hizi habari,,,,,labda unipe source ya hii taarifa otherwise ni uzushi tuuuuu.....
 
Kampuni ya Mwananchi Ltd imeanza kuyumba kiuchumi baada ya kushindwa kulipa deni walilokopeshwa na kampuni ya Nation Media Group ya Kenya.

Lengo la mkopo huo ni kuwezesha uchapishaji wa nakala 3,500,000 kwa siku na badala yake ni nakala 100,000 kwa siku huku nusu ikiwa returns.

Tayari wafanyakazi wa kampuni hiyo wameshaanza kuona mwisho wao katika kampuni hiyo hususani baada ya kutangaziwa kuwa wanaweza kuacha kazi kwa hiari.

Chombo hicho kimekuwa kikitoa machapisho ya mlengo fulani ili kupata msaada wa kiuchumi lakini bado hali imekuwa hairidhishi.
Mlengo gani tena huo mkuu, mimi nilidhani utazungumzia mabo ya bihashara - sasa unapoingiza masuala ya mlengo napata wasi wasi na taarifa yako. Tupe source ya taarifa hii.
 
kwanza mwananchi litakopaje Nation group wakt ni haohao? Nation Group ndio wanamiliki gazt la mwananchi. mkuu uko siriaz mwananchi wanauza chini ya nakala laki moja kwa cku???? kama ni ivyo bas gazet kama Jambo leo watakuwa wanauza nakala mia moja kwa cku

Si ndio hapo!! Mkuu waswahili usema njia ya .... ni fupi - hivi alikuwa hajui gazeti hilo linamirikiwa na Nation Group?
 
Tupe source ya taarifa hii.

Na wewe rudi kwenye jukwaa la kimataifa ukatuwekee source ya uzushi wako kuwa parade ya wakomunist wa Moscow ilionyeshwa kwenye kuta za nje za White House.

I still can't believe you could be that stupid.

I just can't!
 
Back
Top Bottom