Gazeti la Mwananchi laendeshwa kwa hasara

kwanza mwananchi litakopaje Nation group wakt ni haohao? Nation Group ndio wanamiliki gazt la mwananchi. mkuu uko siriaz mwananchi wanauza chini ya nakala laki moja kwa cku???? kama ni ivyo bas gazet kama Jambo leo watakuwa wanauza nakala mia moja kwa cku

Pole sana. Ila Mwananchi huuza nakala 25,000 kwa siku. Si kweli kwamba walijiwekea malengo ya kuuza 350,000 copies maana hata gazeti mama la Nation haliuzwi kiasi hicho. Nation circulation ni 120,000 tu.
 
Mauzo ya magazeti yasiyosomeka ya bongo ni kama ifuatavyo.
Gazeti moja la udaku, Nadhani Ijumaa linaongoza kwa kuuza 80,000 copies, likifuatiwa na la michezo, yaani Mwanaspoti nakala 40,000.
Sasa kwa haya mengine
1. Mwananchi 25,200.
2. Daily News 17,000
3. Nipashe 12,000
4. Tanzania Daima 8,000
5. Mtanzania 5,000
6. The Guardian 3,500
Hizo ni hard facts
 
Navyoona hii habari ya mwananchi kupata hasara imewafurahisha makada flani wanaileta hii habari kila baada ya dakika 5.
 
Kampuni ya Mwananchi Ltd imeanza kuyumba kiuchumi baada ya kushindwa kulipa deni walilokopeshwa na kampuni ya Nation Media Group ya Kenya.

Lengo la mkopo huo ni kuwezesha uchapishaji wa nakala 3,500,000 kwa siku na badala yake ni nakala 100,000 kwa siku huku nusu ikiwa returns.

Tayari wafanyakazi wa kampuni hiyo wameshaanza kuona mwisho wao katika kampuni hiyo hususani baada ya kutangaziwa kuwa wanaweza kuacha kazi kwa hiari.

Chombo hicho kimekuwa kikitoa machapisho ya mlengo fulani ili kupata msaada wa kiuchumi lakini bado hali imekuwa hairidhishi.

we ni mwanamke au mwanaume??
 
kwanza mwananchi litakopaje Nation group wakt ni haohao? Nation Group ndio wanamiliki gazt la mwananchi. mkuu uko siriaz mwananchi wanauza chini ya nakala laki moja kwa cku???? kama ni ivyo bas gazet kama Jambo leo watakuwa wanauza nakala mia moja kwa cku

Mbona ni kawaida sana kukopeshana.inawezekana mkopomwa bila riba au riba ikawa below market value.
 
Mauzo ya magazeti yasiyosomeka ya bongo ni kama ifuatavyo.
Gazeti moja la udaku, Nadhani Ijumaa linaongoza kwa kuuza 80,000 copies, likifuatiwa na la michezo, yaani Mwanaspoti nakala 40,000.
Sasa kwa haya mengine
1. Mwananchi 25,200.
2. Daily News 17,000
3. Nipashe 12,000
4. Tanzania Daima 8,000
5. Mtanzania 5,000
6. The Guardian 3,500
Hizo ni hard facts

Ramli tu, hakuna hata robo ya ukweli. nenda kwa vendor yeyote, muulize gazeti gani linauza zaidi utapata data kuntu na research utakuwa umefanya mwenyewe bila kusubiri kulishwa data pori
 
huo ni uongo !

gazeti la mwanchi linauza nakala 300,000 kwa kanda ya ziwa peke yake.

linauza zaidi ya nakala 250,000 nyanda za juu kusini

linuza zaid ya nakala 300,000 kwa mkoa wa Dar es salaam na Pwani

Tanga , Kilimanjaro na Arusha zinapelekwa nakala zaidi ya 120,000
 
Ukweli ni kwamba gazeti la Mwananchi limepungua sana ubora kulinganisha na miaka ya nyuma,
Zamani nilikuwa nipo tayari nisinywe chai lakini niwe na 800 ya kununuliq gazeti....ilifika mda nikawa na 5kg hm za hilo gazeti???

Lakini tangu walipotishiwa kufungiwa wameingia uwoga sana na sasa wanaandika habari nyingi za kuipongeza serikali hata pale inapofanya vibaya!
Wale mashushushu kina Denis Msack na wengine waliotumwa kulimalizq naona wamefanya kazi yao vyema kabisa...
 
Huyu jamaa nadhani ameajiriwa kama marketing manager wa gazeti pinzani la mwananchi. Ila kifupi ni kwamba, huwezi kunyanyua mauzo ya gazeti lako na kushusha mauzo ya gazeti la mwananchi kwa kutumia propaganda rahisi kama hizi. Marketing manager uliyetoa hii post, rudi darasani, bado haujaiva.
 
Kiukweli nilikuwa msomaji mzuri sana wa mwananchi... Sijui ni nani aliwapotosha wakachagua upande kwenye habari zao. Walipoanza kutumiwa tu nikaachana nalo.

Hakukuwa na gazeti kama mwananchi lilipoharibika sinunui tena magazeti siku hizi.
 
Kampuni ya Mwananchi Ltd imeanza kuyumba kiuchumi baada ya kushindwa kulipa deni walilokopeshwa na kampuni ya Nation Media Group ya Kenya.

Lengo la mkopo huo ni kuwezesha uchapishaji wa nakala 3,500,000 kwa siku na badala yake ni nakala 100,000 kwa siku huku nusu ikiwa returns.

Tayari wafanyakazi wa kampuni hiyo wameshaanza kuona mwisho wao katika kampuni hiyo hususani baada ya kutangaziwa kuwa wanaweza kuacha kazi kwa hiari.

Chombo hicho kimekuwa kikitoa machapisho ya mlengo fulani ili kupata msaada wa kiuchumi lakini bado hali imekuwa hairidhishi.

Mwananch hali iyoo, je Tazama,Jambo leo, uhuru,Raia mwema, Yanawezaje kujiendesha wakati hayanunuliki kabsa?,hata uweke ma nne mezani hayaishi, hayo vp
 
Gazeti lolote linalosifia CCM automaticaly lazima litaendeshawa kwa hasara kubwa
 
Kampuni ya Mwananchi Ltd imeanza kuyumba kiuchumi baada ya kushindwa kulipa deni walilokopeshwa na kampuni ya Nation Media Group ya Kenya.

Lengo la mkopo huo ni kuwezesha uchapishaji wa nakala 3,500,000 kwa siku na badala yake ni nakala 100,000 kwa siku huku nusu ikiwa returns.

Tayari wafanyakazi wa kampuni hiyo wameshaanza kuona mwisho wao katika kampuni hiyo hususani baada ya kutangaziwa kuwa wanaweza kuacha kazi kwa hiari.

Chombo hicho kimekuwa kikitoa machapisho ya mlengo fulani ili kupata msaada wa kiuchumi lakini bado hali imekuwa hairidhishi.

Siku zote malipo ni hapahapa duniani....habari za uchonganishi...habari zisizo na uhakika...habari za kupika.....uandishi wa habari kwa ajili ya kumfaidisha mtu fulani ndicho kinachoitesa MWANANCHI.....inafika kipindi kila mtu anachoka kusoma kwa kuwa anajua ni kitu gani anachokipata.....huwezi soma gazeti ambalo unajua kila siku BUSINESS AS USUAL....nadhani huu ndio mda wa kujifunza ni kipi wananchi wanataka........
 
Kiukweli nilikuwa msomaji mzuri sana wa mwananchi... Sijui ni nani aliwapotosha wakachagua upande kwenye habari zao. Walipoanza kutumiwa tu nikaachana nalo.

Hakukuwa na gazeti kama mwananchi lilipoharibika sinunui tena magazeti siku hizi.

Ni bora wangejitanabaisha kwamba wao ni waupande fulani....wananchi tunataka habari zinazotuhusu sio hizo wanazoona wao....bora lingekuwa Tanzania Daima au Uhuru ila Mwanachi? Kaah na lifeee
 
Ukweli ni kwamba gazeti la Mwananchi limepungua sana ubora kulinganisha na miaka ya nyuma,
Zamani nilikuwa nipo tayari nisinywe chai lakini niwe na 800 ya kununuliq gazeti....ilifika mda nikawa na 5kg hm za hilo gazeti???

Lakini tangu walipotishiwa kufungiwa wameingia uwoga sana na sasa wanaandika habari nyingi za kuipongeza serikali hata pale inapofanya vibaya!
Wale mashushushu kina Denis Msack na wengine waliotumwa kulimalizq naona wamefanya kazi yao vyema kabisa...

Sema tu 800 yako inakusumbua
 
Back
Top Bottom