Gazeti la Mwananchi laendeshwa kwa hasara

Gazeti la Mwananchi laendeshwa kwa hasara

Pia naskia hata wapinzani sasa wameanza kuelekeza bajeti yao kwenye uchaguzi mkuu. Hivyo ile bajeti iliyokuwa ikienda huko kupata upendeleo imesitishwa.
 
Mkome kuandika habari za ccm, na leo mmeandika wachaga sijui nini, wachaga wameapa kutolinunua kabisaaaaaaa, na wanasambaza ujumbe kwa njia ya sms kwa wachaga wote wasinunue gazeti lenu
 
Back
Top Bottom