Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 26,101
- 34,053
Hao watu wa Spea za pijo wapo hadi leo ,
Kingine ni influency ya siasa za wachagga toka kabla ya Uhuru.... so interesting
Hao wauzaji wa hizo spea ni wachagga?Du. Wachaga wamejitambua siku nyingi. Halafu utasikia baadhi ya wajinga wakisema mafanikio yao ni kwa sababu ya kuiba!