Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,172
Eti nalo lina vichwa vya habari vyenye kushawishi watu kulinunua.
maajabu.
mara hii tu munafikiri tumesahau?
wehu kweli nyie watu wa gazeti la Mtanzania.
Eti nalo lina vichwa vya habari vyenye kushawishi watu kulinunua.
maajabu.
mara hii tu munafikiri tumesahau?
wehu kweli nyie watu wa gazeti la Mtanzania.
We tazama tu umuhimu wa habari zenyewe.
Kama wamejirudi kwa nini tusinunue,wamerekebisha makosa,safi sana hiyo na watu wengi tunataka hivyo
samehe 7x70
Kama kuna magazeti ambayo sitaki hata kuyaona basi ni ya new habari corporation. Waandishi wake wa habari ni wachumia matumbo tu.
Kama wale wa free mediaKama kuna magazeti ambayo sitaki hata kuyaona basi ni ya new habari corporation. Waandishi wake wa habari ni wachumia matumbo tu.
Kama kuna magazeti ambayo sitaki hata kuyaona basi ni ya new habari corporation. Waandishi wake wa habari ni wachumia matumbo tu.
Hamna cha kusamehe saba mara sabini,anayeua kwa upanga huwawa kwa upanga.Siwezi kupoteza hela yangu kwa kununua magazeti yanayoviza mabadiliko katika nchi.Hata ningepewa bure siwezi kulichukukua.Watanzania tusiwe wasahaulifu,magaezti ya Habari Corporation yanatuangusha sana nyakati za muhimu kwa kuvuruga mambo ya muhimu na kuweka masilahi ya mabosi wao mbele.watanzania tubadilike sasa tusikubali kupelekwa pelekwa kama mazuzu.