Gazeti la Mtanzania Laanza Kujishaua

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Eti nalo lina vichwa vya habari vyenye kushawishi watu kulinunua.

maajabu.

mara hii tu munafikiri tumesahau?

wehu kweli nyie watu wa gazeti la Mtanzania.
 
Eti nalo lina vichwa vya habari vyenye kushawishi watu kulinunua.

maajabu.

mara hii tu munafikiri tumesahau?

wehu kweli nyie watu wa gazeti la Mtanzania.

We tazama tu umuhimu wa habari zenyewe.
Kama wamejirudi kwa nini tusinunue,wamerekebisha makosa,safi sana hiyo na watu wengi tunataka hivyo

samehe 7x70
 
Eti nalo lina vichwa vya habari vyenye kushawishi watu kulinunua.

maajabu.

mara hii tu munafikiri tumesahau?

wehu kweli nyie watu wa gazeti la Mtanzania.

Kama kuna magazeti ambayo sitaki hata kuyaona basi ni ya new habari corporation. Waandishi wake wa habari ni wachumia matumbo tu.
 
We tazama tu umuhimu wa habari zenyewe.
Kama wamejirudi kwa nini tusinunue,wamerekebisha makosa,safi sana hiyo na watu wengi tunataka hivyo

samehe 7x70

Hamna cha kusamehe saba mara sabini,anayeua kwa upanga huwawa kwa upanga.Siwezi kupoteza hela yangu kwa kununua magazeti yanayoviza mabadiliko katika nchi.Hata ningepewa bure siwezi kulichukukua.Watanzania tusiwe wasahaulifu,magaezti ya Habari Corporation yanatuangusha sana nyakati za muhimu kwa kuvuruga mambo ya muhimu na kuweka masilahi ya mabosi wao mbele.watanzania tubadilike sasa tusikubali kupelekwa pelekwa kama mazuzu.
 
Kama kuna magazeti ambayo sitaki hata kuyaona basi ni ya new habari corporation. Waandishi wake wa habari ni wachumia matumbo tu.

Hata Tanzania Daima Mhariri wake anatumiwa na kundi la mafisadi inasemekana hata boss wa gazeti hilo anafaidika pia sijui kama hizi tetesi ni za kweli au laa.
 
Halafu mbona hawaupdate tovuti yao wanamatatizo gani hawa jamaa? Au hawataki tupate habari BURE
 
Ileweke gazeti la Mtanzania limepoteza kabisa muelekeo, hivyo labda baada ya uchaguzi kupita wahariri wake wanajua fika kabisa kuwa miaka takribani mitano ya kupata hasara kwa tukio la miezi miwili haliwezekani hivyo limeanza kujirudi kwa wasomamaji!!!!!! Hata kama watafanikiwa itachukua muda na kuvuna walichopanda.
 
Kama kuna magazeti ambayo sitaki hata kuyaona basi ni ya new habari corporation. Waandishi wake wa habari ni wachumia matumbo tu.

Uliyeanzisha thread hii nawe ni kipindupindu tu sawa na malaria sugu!!! tuliisha sahau vijarida hivi vya Mkuu wa mafisadi Tanzania.
 
Hamna cha kusamehe saba mara sabini,anayeua kwa upanga huwawa kwa upanga.Siwezi kupoteza hela yangu kwa kununua magazeti yanayoviza mabadiliko katika nchi.Hata ningepewa bure siwezi kulichukukua.Watanzania tusiwe wasahaulifu,magaezti ya Habari Corporation yanatuangusha sana nyakati za muhimu kwa kuvuruga mambo ya muhimu na kuweka masilahi ya mabosi wao mbele.watanzania tubadilike sasa tusikubali kupelekwa pelekwa kama mazuzu.

Acha magazeti hayo yapambane na Peoples Power tuone mshindi!!!!!!!!!! Anayetaka kuyaona , kuyanusa na kuyasoma ruksa, lakini watanzania wenye msimamo, wanaharakati na wapambanaji wanaotaka mabadiliko tumeisha sema kamwe hatutaki hayo magazeti hata kwa kufungia vitumbua hatutaki! Huo ni upupu hatutaki kuhusiana nao asilani!
 
Magazeti yote ya Habari corpartion siyasomi kabisa hata kwenye mtandao niliyasusia. Nilifuta kabisa site yao hata kwenye cookies za computer yangu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom