Gazeti la msimbazi na matangazo ya freemason

Huyo ni tapeli wa mjini hana jipya.

Pesa mbaya sana. Alikuwa mpinzani wa kampuni hadi Mo alipojiongeza na kumpa chake. Kelele za club kuilea kwa kuuza vitumbua na chapati zikaishia hapo. Sasa ni Board Member. Pesa ni tamu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Njaa ilikuwa inamsumbua yule.
 
Freemason si ni shirika halali na limesajiriwa na Serikali.
Lina haki ya kujitangaza kwenye media yoyote.
Angalia unaweza shtakiwa na kaudhibiwa na Mahakama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba wenyewe ndio imani yao,na hao wanaoyaleta ndio waganga wao. Vipi wawakatalie. Nao wakigoma kumpa Kagere hirizi itakuwaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…