Gazeti la Mawio lafungiwa kwa miezi 24 kwa kosa la kuwahusisha Mkapa na Kikwete sakata la madini

Ndugu kwa hasira ulizonazo lazima utakuwa na cheti feki ama sivyo ulikuwa hewa si bure
Kibaya zaidi magufuli ameshajua utamu wa hiki kipendele cha kutokushitaki rais akiwa madarakani. Atakitumia ipasavyo!!
Hapo tayari ameshawalazimisha wanasheria wasaini mikataba ya bormberdier na wala hatapeleka bungeni ijadiliwe. Ameshawalazimisha tayari wanasheria wasaini mkataba wa ujenzi wa chato international airport na hawezi kupeleka sheria husika ipitiwe bungeni na akili kubwa za upinzani.....
 
Kwa hiyo tubaki na Uhuru,mzalendo na habari Leo? Hata mkitoa na posho kwa wasomaji " sinunui,sisomo" Pumbavu kabisa.
Hivi kweli wewe magazeti unanunua au unachungulia vichwa vya habari kwenye mbao za wauza.Hilo gazeti halina faida kwa taifa
 
Unaweza kukaa sehemu ukitafakari haya yanayoendelea nchi hii ukaishia kupata kichaa.

Tafuta fedha, kuwa na busara linda familia yako iishi vizuri. Mengine yahusuyo siasa yanachanganya!
 
Hivi kweli wewe magazeti unanunua au unachungulia vichwa vya habari kwenye mbao za wauza.Hilo gazeti halina faida kwa taifa
Njoo nikuonyeshe nakala zingine hujazaliwa ninazo.wewe so unafungia vitumbua au kuuza kwa wauza duka?!
Unaweza kukaa sehemu ukitafakari haya yanayoendelea nchi hii ukaishia kupata kichaa.

Tafuta fedha, kuwa na busara linda familia yako iishi vizuri. Mengine yahusuyo siasa yanachanganya!
 
Mbona adhabu ndogo? They deserved more than that oh my God only 24months? I can't believe!

Jana Mbona Imetoka taarifa ya Serikali ya Kuyakataza Magazeti Leo Tarehe 15.06.2017 wamekuja na Habari Zilizokatazwa? Mmmh! Tuheshimu Mamlaka!
View attachment 524518
Hii inayoitwa freedom of speech inauzwa wapi Tanzania
Ngoja tuone unafiki wa vyombo vya habari Tanzania na jinsi vinavyopangiwa cha kuandika na serikali
Hii nchi ni takataka viongozi wake hawajiamini
Kinga ipi waliyo nayo waharifu waliotawala nchi hivi
Wanautukufu gani wakutukuka hadi wasiguswe?
 
Alafu mnajidanganya kuwa rais na CCM eti ana nia ya dhati???

Hivi kama waziri leo anatumwa na rais afungie gazeti kwasababu tu gazeti limeweka picha na kuandika habari za marais wanaoonekana dhahiri ni vinara wa ufisadi huu inamaana CCM na Rais inapambana na mafisadi au inapambana kufungia vyombo vinavyowataja mafisadi???
 
Hawakusoma alama za nyakati hawa wiki hii wangekausha tu wangesifia makinikia
Tatizo la hili gazeti, huwa linachapishwa mapema! Jana, unatolewa ule mkwala, lenyewe lilikuwa limeshatoka. Wakashindwa kubadilisha gia angani! Yaani, yale yaliyotumwa mikoani, yasiingizwe sokoni, na ya Dar yasisambazwe kwa wauzaji!
 
Screenshot_20170615-205401.png
 
Magufuli anaelekeza hasira na frustrations zake kusikohusika. Kama kamati imewataja kwa majina former ministers na former AG, former president anaponaje? MAWIO wameonewa tu.
 
Hii inayoitwa freedom of speech inauzwa wapi Tanzania
Ngoja tuone unafiki wa vyombo vya habari Tanzania na jinsi vinavyopangiwa cha kuandika na serikali
Hii nchi ni takataka viongozi wake hawajiamini
Kinga ipi waliyo nayo waharifu waliotawala nchi hivi
Wanautukufu gani wakutukuka hadi wasiguswe?
Tanzania ni takataka? wewe mwenzetu raia wa nchi gani maana hili ni tusi kwetu wazalendo, kama wewe ni mtanzania pia tafadhali tangulia dampo tutakukuta.
 
Back
Top Bottom