Gazeti la Jamhuri nalo limeingia mtegoni

No sio mtegoni bali huu ndio ukweli wenyewe wa hali halisi ya media tunayopitia sasa ya the law of the jungle. Only the strong and the adaptive media ndio wata survive, Jamhuri wako fit ndio maana wamesurvive, wapi MwanaHalisi?.
Survival is everything!. Mimi mwenyewe na kale ka PPR changu, tuko ICU tunapumulia mishine!.
P
Pole sana Pascal Mayalla lkn, naamini utavuka tu, maana awamu hii imebakiza miezi 13 tu. Baada ya hapo media zote ikiwemo PPR zitaanza kula shavu kama kawaida
 
Nimemtazama kwenye kipindi cha kipima joto cha ITV kiongozi wa gazeti la Jamhuri lililo jizolea sifa za kuibua ufisadi na mambo ya hovyo yaliyokuwa yanafanywa na viongozi mbalimbali akiingia kwenye mtumbwi wa kuhubiri siasa za kuunga mkono nimeshangaa sana.

Eti anasema kusingekuwepo na ndege za serikali yule askofu aliyekuwa amelazwa MOI asingepona!!!!
Huu ni upotoshaji wa hali ya juu maana naamini wakatoriki hawawezi kushindwa kukodi ndege ya kumuwahisha kiongozi wao ili kupatiwa matibabu ili kunusuru uhai wake.
Baba wa Taifa, atakuwa alifariki kwakuwa ndege hazikuwepo, na walikosea sana kumpeleka UK-St.Thomas kwa baiskeli.
 
Basi walishindwa sasa. Hata hospital yao ya KCMC ilishindwa kumtibu.Ikabidi itumike ndege ya magufuli na hospital ya magufuli.

Jaribu kuwa na akili kubwa unapoandika chochote humu jamvini... Hapo kwenye umiliki wa KCMC umepotoka!!
Kwenye umiliki wa ndege na hospitali ndo hoja inayodhihirisha kuwa wewe ni kichwa nazi!
 
When you have no option and you are forced to choose between the two devils, you choose the lesser!, hata yale mambo aliyofanyiwa Mwana wa Adamu, unadhani alipenda?. Yule alikuwa ni Mwana wa Mungu, na ni Mungu pamoja nasi and yet shetani alimsulubisha!. Unajua kabla hajasulubiwa alisema nini?. "Ingekuwa ni amri yangu, ningetaka kikombe hiki kiniepuke, lakini mapenzi ya Bwana, yatimizwe", unafikiri alipenda kusulubiwa?.

When you have a choice ya kujifanya shujaa na kushupaa na kusulubiwa hadi kifo, au kukubali kushirikiana na kuendelea kuishi utachagua kipi?.
P.

Tena wayahudi wa leo wanasema hakuna mtu aliteswa kwa maumivu makali kama kaka mkubwa mpaka leo hii
 
Hapo ndiyo tunaamini maneno ya baadhi ya wana jamvi kuwa ukiwa mwana lumumba inabidi akili zake azikabidhi counter
Jaribu kuwa na akili kubwa unapoandika chochote humu jamvini... Hapo kwenye umiliki wa KCMC umepotoka!!
Kwenye umiliki wa ndege na hospitali ndo hoja inayodhihirisha kuwa wewe ni kichwa nazi!
 
Watu mnajitoa akili kweli yaani hata bila aibu unaita mali za watanzania kuwa ni mali za mtu binafsi?
Magufuli yeye hizo mali kazipata wapi?
Kwa taarifa hizo ndege na hospitali ni mali za watanzania maana zimenunuliwa na kujengwa kwa kodi za watanzania

Leo zimekuwa mali za watanzania mbona ndege ilipokamatwa mlishangilia na kushtumu ni za Magufuli.
 
Nasikia moja leo hii huko mwanza imelazimika kurejea mwanza baada ya kuishiwa nguvu
Leo zimekuwa mali za watanzania mbona ndege ilipokamatwa mlishangilia na kushtumu ni za Magufuli.
 
Nilikuwa nalipwa 7 future pale FCO nikaacha mwenyewe kwasababu I was rolling 8 figure just on Saba Saba alone!. Nilipanga nyumba nzima ya NHC pale Mkwepu for kodi ya pango zaidi ya mshahara wa DC, 20 staff, I was very sure of myself, niliweza kusema chochote popote na kwa yeyote bila kujali who is who thinking I was independent and I depend on me, myself and I.

Kibao kilivyogeuka, Mkwepu nilihama, nikajamia Posta House kwenye kajichumba.
15 heads lay off!. Kamba wanaendelea kukaza, hivyo mkisikia hata mimi nime...
Nawaombeni sana msinishangae!.
P.
Tusikushangae ukiamua kurusha taulo na kuukimbilia ukuu wa wilaya au hata uDAS! Maana bora dharau kuliko kufa kwa njaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom