Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,941
- 9,947
Kumbe mbeya pia kulikuwa na ule mradi wa kukata kama huku kwetu Shinyanga?hii hospitali watu wamepiga sana hela za wafanyakazi wa kawaida. ni kuanzia kwenye hela za safari, motisha kwa wafanyakazi, call allowances, hela za can, hela za kusoma na nyinginezo.
kuna watu kama birigi walikuwa wanaichukulia hiyo hospitali kama Mali yake. alikuwa anapenda sana kufrastrate wafanyakazi wenzie. huyu ameiba mpaka hela za circumcision mpaka wakamtoa.
waliunda teams za kula hela za hospitali hata alipofika mpoki akakuta wanagombania uongozi.